Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Take a chill pill hommie, I took that pic on my way home from work,what's your problem. That's towards junction mall.
Another Tz sleek Merc a couple of minutes before the previous one, this is Redhill Road
Naona pia roads are marked congrats.
 
Take a chill pill hommie, I took that pic on my way home from work,what's your problem. That's towards junction mall.
Another Tz sleek Merc a couple of minutes before the previous one, this is Redhill Road
So ulitaka kuongopa kwamba upo Tz au?
 
Nicxie bhn unachekesha kweli wewe, mara useme una nyumba ushagoo, mara nyumba ya ukoo, mara ukapiga picha upo getini ukasema nyumba yako ukasahau kabisa kwamba upo mazingira ya watchman, leo unasema una nyumba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 1790028
Anakwambia ana plot nairobi hawa watu hawa 🤣🤣🤣🤣🤣 Mungu atupe subra
 
😂😂😂😂Unajaribu kukwepa nini,,zoom hizi dream houses marked X View attachment 1790048tuone
Mm hua nakwambia mzungu hawezi kua mjinga aone slum za dunia nzima asione ya dar hio sahau 🤣🤣🤣👇👇👇 na nitafunga safari kuwaletea video za ground kwa gharama zangu kaeni mkao wa kula tu 👇👇👇👇👇👇 kama nilivofanya tandale
11E86E09-72FD-487A-A565-19D42587BEFC.png
64BC630D-114D-4DE2-BF89-0E3E9F6CE9F5.png
55118D7D-06C5-449E-A86A-C69A92B1FD31.png
 
Please can someone zoom for me hizi dream houses pia nzione na 2D na3D😂😂😂 eti dream houses 🤮🤮
View attachment 1790052View attachment 1790053
Ukimwambia zoom tuone kwann mzungu hakuona slum anakimbia mbio 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 yani mzungu awekeze trillions of money hewani aone slums za dunia asione ya dar haitawah tokea 😃😃😃😃 hapo utaona unplanned settlements lakini hzo nyumba ni za kisasa hakuna tope waa mabati wall 👇👇
F061F986-6466-465B-91D1-0BEE3C13CC3B.png
ABCA7B0D-D54B-4B98-ABEE-5469AF3EC5D9.png
F03886A4-0C66-4BBA-909F-9BB1700F3F57.png
F45700C2-181E-46B9-A962-05866DA7EF1B.png
 
Angalia sasa wewe ndo mjinga😂😂😂 hazikodishwi mzee😁😁😁View attachment 1789933
Walionunua wakwapi?? Hao wanatangaza kuuza walionunua wakwapi??🤣🤣🤣 kwa ajira gani na mshahara gani?? Kutangaza biashara kuna kununuliwa au kutonunuliwa tegemea mawili kwenye moja mkenya
600unity in unity ni nini hio bedsitter ama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 start at 7m ksh depend on size😀😀😀😀😀
 
Najaribu kuwaza hivi wakenya wangekuwa wanajenga nyumba zao wenyewe kama sisi tunavyofanya,dah wangejenga ujinga wa karne...jamaa ni masikini sana
Achilia mbali kujenga hata ile ndoto ya usingizi ya alinacha hawana 🤣🤣🤣 ndoto yakumiliki ardhi itakua ndoto ya kujenga ??😅😅😅😅 kilichobaki akilini mwao hudhani mtu anaeza kulipa rent bedsitter nae ni middle class ukija kumkagua huyu mtu jasho linatokea kwenyw kipumulio vile maisha alionayo
 
Wakiwa twitter wanaongea vingine kabisa 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇

 
Back
Top Bottom