Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Sold out si kwa maana ya kuuzwa dogo,sold out hiyo ni kwa maana ya kuwa appartments are full occupied.. Usiwe mjinga
Angalia sasa wewe ndo mjinga😂😂😂 hazikodishwi mzee😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkenya ukimsikiliza manenonyake unaeza sema ni nchi iko europe aiseeesa hata sijui hzi sifa zinawasaidi kushiba ama vp