Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuilia swali rahisi sana. Do you know something called market analysis?
Unabadilisha kiki sasa 🤣🤣🤣 umeona huko pagumu unarudi kwengine tulizana kwanza sehemu moja

middle class wa mshahara 30 to 40kshs yani aweze kunununu nyumba kwa masharti haya mpaka dunia itasmama 🤣🤣👇👇👇
442927EA-8434-4B19-B951-7629C108879D.jpeg
 
I already own a house in Nairobi. Na sio dreamhouses kama ile yako ya Gongo la mboto
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 basi imetosha ndugu pumzika
 
Kwanza rudi kwenye mada iliopoanzia alaf uje tuongee unafandia kichwa kichwa tu muulize mwenzio tulianza wapi mpaka sahii tuko wapi kenge wa kiume wewe
Kwhyi unakataa ya kwamba mnasema hapa km kenya kumiliki ardhi ngumu
Amekamatwa huyooo, leo lazima tukupeleke mwizi mwizi
 
Kwhyi unakataa ya kwamba mnasema hapa km kenya kumiliki ardhi ngumu
Amekamatwa huyooo, leo lazima tukupeleke mwizi mwizi
Rudi mada ilipoanzia ukishaelewa njoo tuongee kwa sasa naona povu na moshi mbele yangu 🤣🤣🤣🤣🤣 hasira za nn sasa
 
Kwa ku rent sina shaka hio hata hunidanganyi lakini kuown land and a house kwa mkenya wa middle class na kushuka chini ni ndoto ya alinacha na hili unalijua
Wakenya wana mijengo mzee, mpka nakuhurumia aisee ..unavyowehuka acha tu
 
Sold out si kwa maana ya kuuzwa dogo,sold out hiyo ni kwa maana ya kuwa appartments are full occupied.. Usiwe mjinga
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkenya ukimsikiliza manenonyake unaeza sema ni nchi iko europe aiseee sasa hata sijui hzi sifa zinawasaidi kushiba ama vp
 
Sold out si kwa maana ya kuuzwa dogo,sold out hiyo ni kwa maana ya kuwa appartments are full occupied.. Usiwe mjinga
Si nyie mumesema wakenya hawana uwezo wanakodi, vipi tena manake naona umeelewa vizuri kilichoandikwa hapo
 
Hehehe Kuna siku we were driving around in Dar nikiwa na Mtz, nikamuomba anipeleke sehemu wanakoishi matajiri, yaani upper class kabisa kwenye majengo ya kifahari ambapo wanapakubali wote, tulizunguka kanipeleka sijui Ununio mara sijui wapi, nilitafuta nini cha kulinganisha na mitaa ya kifahari hapa Kenya nikakosa.
Kwa hiyo ulikuwa unataka kuona apartheid hapa dar kama ilivyoshamiri huko kunyaland..kwamba hii ni sehemu ya matajiri tuu,na kule ni kwa masikini.. fuc#in' mindset
 
Si nyie mumesema wakenya hawana uwezo wanakodi, vipi tena manake naona umeelewa vizuri kilichoandikwa hapo
Kukodisha sio kumiliki two different things 🤣🤣🤣🤣 kuown ni ndoto iko usingizini ukilala utakutana nayo
 
Si nyie mumesema wakenya hawana uwezo wanakodi, vipi tena manake naona umeelewa vizuri kilichoandikwa hapo
Sasa nani ashindwe kukodi apartment, kibongobongo kwanza ni ushamba,wenzako wana own houses we umekazana na rent..hakuna middle class asiyeweza kumiliki ardhi..ardhi ndo asset kubwa ulimwenguni
 
Back
Top Bottom