Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanahangaika kutafuta slum dar 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani mzungu afunge sattelite za trillions of money juu aone slums za dunia nzima asione ya dar pekee, maajabu ya musa haya
Hatutaki mipasho leta picha, 😂😂😂 kwani ni ngumu vipi😁😁😁😁
 
Sisi tunaishi juu ya miti kama ndege. Huo uwezo wa kuwa na nyumba tutoe wapi?
Hapo umemjibu kikamilifu, anataka hivyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂.,ukweli ulioko Nairobi na yeye ni kama maji na mafuta, hawapatani😂😂😂😂
 
Kwani nimekujibu nn ??? 🤣🤣🤣 unalazmisha masaki, masaki yenyewe huijui bado unabishana na sisi 🤣🤣🤣🤣 masaki ina wenyeqe mzeee na ni kubwa sana na mombasa nzima
Mzee mbona unarukaruka kama chura😂😂😂
 
hivi kumbe we ni fara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
asa apo kunya mna TV gani ya kufananisha na azam?
Bado lishamba linaendelea kubwabwaja ushamba😂😂😂😂., nenda habari na hoja mchanganyiko kule ukalilie huko., hapa umejiharia tayari😂😂😂., eti kulinganisha Tv stations 😂😂😂😂😂., ama leta mapicha ya Dar tu to keep the thread busy., utoto niondolee😂
 
Msaidie kusema ni wapi mm nikuletee picha ukitoka ww mwanaume [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila sehemu pamejengeka na kila sehemu kuna majority sasa taja ww panapokupa shida nikupe dawa
Muorodheshee mwenzake sehemu pamoja na jina la eneo[emoji23][emoji23]
 
Wewe umejenga shanty hapo uswazini Dar kisha unajiona umefanikiwa sana maishani. Nairobi watu wengi wako kikazi. Leo uko huku kesho kazi inakupeleka kwingine, unaanza maisha mpya huko ulikoenda. Wakenya wengi wanaoishi Nairobi wako na ardhi na nyumba vijijini walikozaliwa. Wewe kama ulizaliwa Dar hauna budi ila kijifinya na watanzania wenzako ndani ya kidreamhouse yako coz probably that's all you own in your life.

Sisi hatuna kitu inaitwa slum mpaka dunia itasmama slum za dunia hii utazipata nairobi liberia na nigeria 🤣🤣🤣👇👇👇View attachment 1789000
Kunyaland inaongoza kwa slums duniani
 
kuna ukweli budget imepunguzwa hasa sehem ya uchukuzi

View attachment 1789250
hii ni budget ya mwaka ujao(2021/2022)
total = 3.747 trillions
ujenzi = 1.627 trillions
uchukuzi = 2.12 trillions

budget ya mwaka jana ilikuwa hiv
total = 4.768 trillions
ujenzi = 1.616 trillions
uchukuzi = 3.152 trillions

tofauti: budget ya mwaka ujao umepunguzwa kwa almost 1.021 trillions (21%) pungufu ya mwaka jana
View attachment 1789251
View attachment 1789252

summary ya budget ya mwaka huu hii hapa
Ila kuna uwezekano fedha nyingine zimeenda TAMISEMI kumbuka kuna suala la kujenga mji wa Kiserikali ikiwemo majengo ya wizara na taasisi zake! Hebu angalia vizuri!

Pia kama mama pia anajaribu ku-balance kama vile sekta za Afya na maji pia amezipa kipaumbele chake! Unajua wapiga kura wengi wakina mama?
 
Nakwambia maskini wa dar ana nafuu mara mia kulik Mtu anaiishi hapa 🤣🤣🤣👇👇👇 kibera alone imebeba watu million 2 na laki tano bado tubishane nn 🤣🤣🤣View attachment 1789297
😂😂😂😂😂😂limelemewa sasa ni porojo na propaganda, umebanwa kweli😂😂😂😂😂😂. Pakutokea hautopata, leta picha za middle class estate na lower middle class za Dar, hekaya za abunuasi sisi hapana tambua 😂😂😂😂😂, ama usha jiharia tayari?😂😂😂😂.,,
 
Hapo umemjibu kikamilifu, anataka hivyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂.,ukweli ulioko Nairobi na yeye ni kama maji na mafuta, hawapatani😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 mwambie mwenzako apunguze hasira hazifai alaf hujanijibu swali who own estates in kenya hili swali kua nalo makini kujibu tafadhal sana sitaki tuvunje urafiki wetu😁😁😁😁
 
Bado lishamba linaendelea kubwabwaja ushamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., nenda habari na hoja mchanganyiko kule ukalilie huko., hapa umejiharia tayari[emoji23][emoji23][emoji23]., eti kulinganisha Tv stations [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., ama leta mapicha ya Dar tu to keep the thread busy., utoto niondolee[emoji23]
karibu chai budaa.....

kununanuna ni dalili ya njaa kula kwa macho inaruhusiwa pia
IMG-20210424-WA0004.jpg
 
Hatutaki mipasho leta picha, 😂😂😂 kwani ni ngumu vipi😁😁😁😁
Atoe wapi?😂😂😂😂😂., anatapatapa humu, ni povu tu imebaki,😂😂😂😂😂😂, sasa anakimbia Kibera eti watu 2million, kujikomboa from the beating 😂😂😂 linatia huruma kweli, linahema tu😂😂😂😂😂😂,.,
 
🤣🤣🤣🤣🤣 mwambie mwenzako apunguze hasira hazifai alaf hujanijibu swali who own estates in kenya hili swali kua nalo makini kujibu tafadhal sana sitaki tuvunje urafiki wetu😁😁😁😁
I asked u to prove me wrong..., na usijaribu kugeuza gear hewani.,leta picha wacha umwehu..,😂😂😂😂😂.,

In ownership wacha nikurahisishie kazi, tafuta program inaitwa property show Kenya kwa YouTube, ujionee, ata watu wengine wa boda boda utaona through their SACCO wamejijengea estate, Tz hakuna hilo., be my guest..,
 
Back
Top Bottom