Kwao ni kawaida kama wanaukabila unategemea nn ??😀😀😀 ardhi yote imeshikwa na wachache wakiwemo politicians na investors wachache waliobakia hawana ndoto zaidi yakutafuta pesa ya uji 😃Huu upuuzi ndio huwezi kuupata bongo yani wenye uwezo na wasio na uwezo wanatenganishwa kwa fensii
Yani hawa wazee wa bedsitter ukiingia kwwnye bedsitter , hatua ya kwanza tuu ushafika sebuleni ,chumbani ,jikoni na chooni hatua ya pili upo njeeUkikodi bed sitter kwao ni middle class 🤣🤣 yani middle class hana ndoto ya ardhi wa nyumba
🤣🤣🤣🤣 alaf huyo huyo kwao ni middle class hana ndoto ya kua na ardhi mpaka kiyamaYani hawa wazee wa bedsitter ukiingia kwwnye bedsitter , hatua ya kwanza tuu ushafika sebuleni ,chumbani ,jikoni na chooni hatua ya pili upo njee
Nyingi bila mwana.
Nimedokezwa "Bajeti ya Wizara ya Ujenzi imepunguzwa kwa 20%", ukijumlisha na ufisadi utakaoanza kwenye miradi, sijui kama hata 20% ya Magufuli atafika. Yaani tumerudi kulee kwa Kikwete.
That's Masaki, mtaa wa kifahari zaidi Dar kushinda zote 😂 😂 😂Kila sehemu dar kumejengeka na kila sehemu kuna majority na uzuri wa huku ni mixed class sasa ikiwa masaki alone ni size ya mombasa wewe unategemea nn 👇👇👇👇
View attachment 1788884View attachment 1788885
Duuhhh aloo, yn vi estate ni eneo dogo sana alafu maslums yamezunguka kotee, baba basi basi basi inatosha mkuu tumekoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]Kibera ni slum danganyikan so lazima tu pawe pachafu. Lengo langu ilikuwa ni kuwaonyesha maeneo yanayozunguka Kibera. Umeona kuna hadi golf course hapo kando ambayo kilaza mwenzako aliita pori just because Dar has one golf course.
Ukiangalia maeneo yanayozunguka kibera utoaona ni bora mara mia kushinda zile uswazi zenu mnaita dream houses. Ndio maana kila siku hapa mnaleta picha za kibera kwa sabu ndio sehemu pekee Nairobi mnaweza kulinganidha na hiyo glorified fishing village yenu.
Bonus truck
View attachment 1788863View attachment 1788866View attachment 1788867View attachment 1788869
Compare with your uswazis that dot the entire city [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 1788880
Masaki ndio ni kubwa sawa na mombasa yote sasa kama masaki alone inaukubwa huo vp kuhusu oyesterbay, msasani, mikocheni, mbezi, bunju, Kinondoni, mwenge, etc 🤣🤣 yani middle class wa tanzania anautajiri sawa na high class wa kenya😂😂That's Masaki, mtaa wa kifahari zaidi Dar kushinda zote 😂 😂 😂
Hii game bado hamuiwezi. Yani panafanana tu kama pale Lavington ama westlands hivi
Na sasa muulize swali nani anamiliki hzo estate 🤣🤣🤣 ili ujue ratio ya umaskini wao estate inamilikiwa na politician mmoja au investor waliopanga ni elf 50 hao hao elf 50 hawana ndoto ya ardhi wala nyumba wanachitafuta mjini ni rent na hela ya uji anakwambia na hao ni middle classDuuhhh aloo, yn vi estate ni eneo dogo sana alafu maslums yamezunguka kotee, baba basi basi basi inatosha mkuu tumekoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1788920View attachment 1788921
Kakimbia, eti kajilipua kuweka maslums ili tuyazoee tuchukulie poa kumbe kajifedhehesha, ikiwapendeza wakuu naomba leo Nicxie apewe ulinzi mana watamuua wakunya wenzie[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na sasa muulize swali nani anamiliki hzo estate [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili ujue ratio ya umaskini wao estate inamilikiwa na politician mmoja au investor waliopanga ni elf 50 hao hao elf 50 hawana ndoto ya ardhi wala nyumba wanachitafuta mjini ni rent na hela ya uji anakwambia na hao ni middle class
Linganisha huo uchafu aka dreamhouses na hizi mitaa za kawaida Nairobi.Do you see any resemble?Ngoja nizoom tena nione kwann mzungu anaakili kuliko ww na wajaluo wote🤣🤣👇 mm nazoom picha unayopost wwView attachment 1788904
Masaki hata iwe kubwa kushinda Tanzania nishakuambia haiwezi linganishwa na mitaa za kifahari (leading ones) za Nairobi. Hii hapa Kitisuru tu. Najua hujawahi sikia hata hilo jina 😂 😂Masaki ndio ni kubwa sawa na mombasa yote sasa kama masaki alone inaukubwa huo vp kuhusu oyesterbay, msasani, mikocheni, mbezi, bunju, Kinondoni, mwenge, etc 🤣🤣 yani middle class wa tanzania anautajiri sawa na high class wa kenya😂😂
Hiyo Ni Kibera kijana wa Tandale. My focus was to show you areas around Kibera slum so you can compare with your dreamhouses. This is how the area around Kibera slum looks like from the air. Nionyeshe hizo slums zingine hapo. Kubalini yaisheDuuhhh aloo, yn vi estate ni eneo dogo sana alafu maslums yamezunguka kotee, baba basi basi basi inatosha mkuu tumekoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1788920View attachment 1788921
🤣👇👇👇👇👇👇Linganisha huo uchafu aka dreamhouses na hizi mitaa za kawaida Nairobi.Do you see any resemble?
View attachment 1788936View attachment 1788937View attachment 1788938View attachment 1788939View attachment 1788941View attachment 1788942View attachment 1788943View attachment 1788944
Nilishakwambia kama unaijua masaki vzr inaukubwa sana mombasa yote 🤣🤣👇Masaki hata iwe kubwa kushinda Tanzania nishakuambia haiwezi linganishwa na mitaa za kifahari (leading ones) za Nairobi. Hii hapa Kitisuru tu. Najua hujawahi sikia hata hilo jina 😂 😂
View attachment 1788945