Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Hatutaki mipasho😂😂😂 leta pichaWazee wa bedsitter hamna lolote
Hatutaki mipasho😂😂😂 leta pichaWazee wa bedsitter hamna lolote
Unaniletea apartments? 😂 😂 😂 😂 Hizo zimejaa Eastlands huku NairobiNilishakwambia kama unaijua masaki vzr inaukubwa sana mombasa yote 🤣🤣👇
View attachment 1788956View attachment 1788957View attachment 1788958
Hata mm naona 🤣🤣👇👇👇 ww unanionesha estate ya mtu mmoja akimiliki mm nakuonesha nyumba kila mmoja akimilikiMasaki hata iwe kubwa kushinda Tanzania nishakuambia haiwezi linganishwa na mitaa za kifahari (leading ones) za Nairobi. Hii hapa Kitisuru tu. Najua hujawahi sikia hata hilo jina 😂 😂
View attachment 1788945
Huku ndo super majority wanakoishi😁😁
Nikuletee appartments kwan ww unafkiri maisha ya tanzania mtu anasubiri appartment akodishe wakat ardhi iko nje nje na uweza wa kujenga mtu anao 🤣🤣Unaniletea apartments? 😂 😂 😂 😂 Hizo zimejaa Eastlands huku Nairobi
wanauchizi wa hali ya juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwezi ukaamka tu from no where na ukaanza implementation. BRT is a system must be planned well. Siyo kuchora barabara na kuandika ONLY BRT
View attachment 1788099
Kila sehemu dar ni super density tafuta sehemu haina watu wengi unitajie nikuwashw sasa hvi 🤣🤣🤣🤣Huku ndo super majority wanakoishi😁😁
JPM alikuwa kiongozi bora[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Hii ni appartments wewe unawazimu wa kichwa wewe🤣🤣🤣😂😂😂😂Unaniletea apartments? 😂 😂 😂 😂 Hizo zimejaa Eastlands huku Nairobi
tiyari ni kanpuni hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaongeza total kama kawaidamkenya amekuja kuwekeza..kapata frame hapa mawasiliano.. tutafatilia anaweka nn [emoji23]
tuzisave hizo pics za frem
Hakuna kitu utaleta zaidi ya estate hakuna mark my words 🤣🤣🤣🤣 ndoto za kujenga na kumiliki ardhi ziko wapi??🤣🤣 Sasa hao middle class wako wapi ???Masaki hata iwe kubwa kushinda Tanzania nishakuambia haiwezi linganishwa na mitaa za kifahari (leading ones) za Nairobi. Hii hapa Kitisuru tu. Najua hujawahi sikia hata hilo jina 😂 😂
View attachment 1788945
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]shamba la cotton na nyasiNairobi aerial view
View attachment 1788187
Wewe umejenga shanty hapo uswazini Dar kisha unajiona umefanikiwa sana maishani. Nairobi watu wengi wako kikazi. Leo uko huku kesho kazi inakupeleka kwingine, unaanza maisha mpya huko ulikoenda. Wakenya wengi wanaoishi Nairobi wako na ardhi na nyumba vijijini walikozaliwa. Wewe kama ulizaliwa Dar hauna budi ila kijifinya na watanzania wenzako ndani ya kidreamhouse yako coz probably that's all you own in your life.Na sasa muulize swali nani anamiliki hzo estate 🤣🤣🤣 ili ujue ratio ya umaskini wao estate inamilikiwa na politician mmoja au investor waliopanga ni elf 50 hao hao elf 50 hawana ndoto ya ardhi wala nyumba wanachitafuta mjini ni rent na hela ya uji anakwambia na hao ni middle class
What is your understanding of the word estate?Hakuna kitu utaleta zaidi ya estate hakuna mark my words 🤣🤣🤣🤣 ndoto za kujenga na kumiliki ardhi ziko wapi??🤣🤣 Sasa hao middle class wako wapi ???
Hii ata haiwezi likoni😅😅Kila sehemu dar kumejengeka na kila sehemu kuna majority na uzuri wa huku ni mixed class sasa ikiwa masaki alone ni size ya mombasa wewe unategemea nn 👇👇👇👇
View attachment 1788884View attachment 1788885
Zote ni bed sitter wamepanga Hapo ukiwauliza sasa watakwambia ni middle class huyo middle class hana kiwanja wala nyumba anatafuta pesa ya uji tu 🤣🤣🤣🤣🤣
Estate ni nyumba amabzo zinamilikiwa na mtu mmoja au shirika na kusudio ni kukodisha kwa watu wenye mahitaji ya makazi na uzuri wa estate kenya ni biashara na hatuwezi bishana 🤣🤣🤣🤣🤣What is your understanding of the word estate?
In short, the best neighborhood in Dar and Tanzania in general for that matter, inalambishwa sakafu na Likoni ya Mombasa 😂 😂 😂Hii ata haiwezi likoni😅😅
View attachment 1788970
Wehh Nairobi huwa sawa walai 😍,, sijawahi tembea hii sideThis is eastlands where 70% of nairobians call home. Venus Star show us something similar.View attachment 1788286View attachment 1788288View attachment 1788290View attachment 1788291View attachment 1788292View attachment 1788295