Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hizo ndio decent houses jinsi mwenzako alivyosema?
Hzo ni nyumba na makazi kama vile nilivokutoa nishai tandale na sasa nitaenda nikuletee ground video kama vile tandale manake utaelewa tu usijal🤣🤣🤣🤣 sioni tabu kupoteza mafuta ili wewe uelewe sioni tabu 😄😄😄😄😄
 
utekelezaji wa budget.
kwa mwaka 2020/2021.. jumla ya km 446.99 za lami za barabara za kuu na mikoa zimetengenezwa
IMG_1621320549.311687.jpg
 
Mtanganyika, huwezikuwa na ubishi asubuhi hadi usiku. It doesn't change any facts. Hizo nyumba unaita ni za mainvestors nyingi sana zinajengwa kwa ajili ya wanunuzi, na wanaozinunua na kuzimiliki ni wakenya. Unakumbuka nikikuambia wakenya wako na purchasing power? That's what I meant.

Kuna baadhi ya projects za nyuma ambazo zinajengwa specifically kwa ajili ya kuuza wala sio kurent. At the end of the day, wakenya wengi end up owning decent houses than hizo ushuzi zenu mlizojaza hapo Dar that you proudly call dreamhouses. Najua gated communities nyingi sana ambazo zinajengwa kwa minajili tu ya kuuza. I can mention so many of them here
Sasa unanibishia mm au unabishana na nn? Nakwambia masaki nyumba nyingi ni za wenyewe na appartments ni chache na zinahesabika sasa tunabishana au 🤣🤣👇 unalazmisha sukari iwe chumvi wewe akili yako iko sawa kweli
0C7DF1F5-52E2-48A2-9FDD-AA6C3D012E5E.jpeg
 
Hzo ni nyumba na makazi kama vile nilivokutoa nishai tandale na sasa nitaenda nikuletee ground video kama vile tandale manake utaelewa tu usijal🤣🤣🤣🤣 sioni tabu kupoteza mafuta ili wewe uelewe sioni tabu 😄😄😄😄😄
Ile video yako ya barabara inahopita katikatika ya Tandale. Hats Kibera iko na barabara tens ya lanes nne inayopita katikati. Tuleteee real images za ndanindani. Sio kelele za ndani ya gari
 
Watu wanahangaika kutafuta slum dar 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani mzungu afunge sattelite za trillions of money juu aone slums za dunia nzima asione ya dar pekee, maajabu ya musa haya
 
Sasa unanibishia mm au unabishana na nn? Nakwambia masaki nyumba nyingi ni za wenyewe na appartments ni chache na zinahesabika sasa tunabishana au 🤣🤣👇 unalazmisha sukari iwe chumvi wewe akili yako iko sawa kweli
View attachment 1789300
Si unaona ulivyo mjinga. You end up quoting me even on a wrong subject. Ni wapi nimetaja Maaaki kwenye hiyo comment angu uliyoquote? Comment yangu ya maskini is totally different from this one. Acha bangi
 
Hzi ni estate 95% wame rent so niambia who own those estate ?? Au nikusaidie 🤣🤣🤣 na je ukiweza ku rent unakua middle class au nyinyi middle class munawachukuliaje
Kwanza hizo ni lower middle class., Eastlands., Middle class ni akina kilimani types., Eti 95% rent😂😂😂., Unajua wakaazi wa Buruburu? Donholm?., Jacaranda? , Kenyans own, ndio maana we have SACCO s through which Kenyans wanajijenga.., hatuwezi fanana dogo😂😂😂😂😂😂, usilazimishe tuwe kama nyinyi, village living standards mjini😂😂 😂😂😂😂., Mnapeleka ushamba mjini.😂😂😂😂
 
Ile video yako ya barabara inahopita katikatika ya Tandale. Hats Kibera iko na barabara tens ya lanes nne inayopita katikati. Tuleteee real images za ndanindani. Sio kelele za ndani ya gari
Hvi wewe unajua hio ni iko ndani ya tandale kabisa na nimekyketea real video zaidi ya nne location tofaut tofaut kabisa alaf unaongea nn mbona tangu sikuile sisikii ukiitaja tandale🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mutaelewa kwann mzungu anaakili kuliko nyinyi
 
Watu wanahangaika kutafuta slum dar 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani mzungu afunge sattelite za trillions of money juu aone slums za dunia nzima asione ya dar pekee, maajabu ya musa haya
Hatutafuti slums, battle ni comparison ya lower middle class na middle class residentials kilaza, hauna pa kutokea leo😂😂😂😂😂 wacha kukwepa mada na Kiswahili mingi😂😂😂😂😂😂., Umehema kwa vile umeishiwa, hauna za kuonyesha..,, Eastlands pekee imetoa dar kamasi na minyambo😂😂😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣 wanajenga wapi anakwambia wanategemea nyumba za urithi na unakuta ukoo una watu 100 hakuna nyumba vijijini wala mamayake nyumba, unafkiri huyu Nicxie hatamani kua na nyumba nairobi anatamani sana lakini ndio historia kwake tena historia hio iko kwenye ndoto
Sisi tunaishi juu ya miti kama ndege. Huo uwezo wa kuwa na nyumba tutoe wapi?
 
Kwanza hizo ni lower middle class., Eastlands., Middle class ni akina kilimani types., Eti 95% rent😂😂😂., Unajua wakaazi wa Buruburu? Donholm?., Jacaranda? , Kenyans own, ndio maana we have SACCO s through which Kenyans wanajijenga.., hatuwezi fanana dogo😂😂😂😂😂😂, usilazimishe tuwe kama nyinyi, village living standards mjini😂😂 😂😂😂😂., Mnapeleka ushamba mjini.😂😂😂😂
Nimekuuliza swali jibu who own estate in eastland hzo estate 95% wame rent hakuna maskini wa kenya hata middle class ana own his estate hapo na kwa hili tukibishana sana ntakuaibisha hao sacco ni group of some people wanaunda sacco wanafanya investment alaf munarent na sio sacco tu majority pia wapo investors kibao 🤣🤣 sasa leo unataka kuniambia ukirent nyumba tayar ww ni middle class au middle class kwenu inamaana gani🤣🤣🤣🤣
 
Sisi tunaishi juu ya miti kama ndege. Huo uwezo wa kuwa na nyumba tutoe wapi?
Eti tuna urithi kijijinu kwani ukoo mzima ulizaliwa peke yako na mlivoazaana kama kunguni 🤣🤣🤣🤣 sijui ni urithi gani unaongelea hapa
 
Si unaona ulivyo mjinga. You end up quoting me even on a wrong subject. Ni wapi nimetaja Maaaki kwenye hiyo comment angu uliyoquote? Comment yangu ya maskini is totally different from this one. Acha bangi
Kwani nimekujibu nn ??? 🤣🤣🤣 unalazmisha masaki, masaki yenyewe huijui bado unabishana na sisi 🤣🤣🤣🤣 masaki ina wenyeqe mzeee na ni kubwa sana na mombasa nzima
 
Kwani nimekujibu nn ??? 🤣🤣🤣 unalazmisha masaki, masaki yenyewe huijui bado unabishana na sisi 🤣🤣🤣🤣 masaki ina wenyeqe mzeee na ni kubwa sana na mombasa nzima
Ninachojua ni kwamba masaki imejaa apartments za Eastlands
 
Lishamba kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., Nenda ukalilie kwa choo, umejiharia humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., nilikuambia utume ujinga?.., jiangalie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., next time do a research kwanza[emoji23][emoji23][emoji23].,
hivi kumbe we ni fara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
asa apo kunya mna TV gani ya kufananisha na azam?
 
Hizi vitu unasema hapa zinapatikana kila sehemu hata huku Kenya. Usifanye nianze kukupigia picha vijijini kwetu nizitume hapa. Hapa tunaongea maisha ya watu wa Dar na Nairobi. Unataka kuniambia Mtu anayemiliki nyumba hapa ako na uwezo wa kujengwa nyumba kijijini kama hiyo uliyopost.
View attachment 1789255
Si angejengatu nyumba kama hiyo uliyopst hapa badala ya huu ushuzi
kwa picha ya mbali hivyo almost zitafanana tuu
"ila tatizo ni vitu kwa ground
 
Back
Top Bottom