Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikuletee appartments kwan ww unafkiri maisha ya tanzania mtu anasubiri appartment akodishe wakat ardhi iko nje nje na uweza wa kujenga mtu anao 🤣🤣
Kwani hizi hapa zilizojaa Masaki sio apartments? Ubishi haisadii chochote bongolala. Your best neighbourhood ni apartments kushoto kulia
2778437_AA0F6BF3-DEA2-4B02-9C3E-EFF3EB23C90B.jpeg
2778436_2FC60C03-1647-4421-9489-8C8E8585CB4B.jpeg


Apartments kama hizo huwezipata Runda, Muthaiga ama Karen. Hata Loresho sidhani kama kuna apartments
 
nyie wakunya [emoji1139][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]

njooni mtoe ushamba apa[emoji116]
#azam wakifanya vitu vyao!View attachment 1788817
Mshamba yaani unafikiria Azam ni dunia😂😂😂😂😂., ata Uganda kunazo, yaani media equipment inakutia orgasm😂😂😂😂., hizi ni vitu vya kawaida in the media world, uliza anyone in the media industry, ukienda ata Kigali utapata, especially during sports coverage ziko tena sana😂😂😂😂, Kampala wanazo, sitashanga na Chad pia😂😂😂., Kweli ndio mnatoka porini😂😂😂😂., kuna siku mwenzako alipost speed gun ya traffic police kama chombo Cha ajabu sana😂😂😂., mwingine naye kaleta modern trucks za kuzoa taka mjini😂😂😂., na pia studio za Tv eti big deal😂😂😂., yaani nyie mbona washamba hivyo?., Ndio mnaziona kwa sasa?😂😂😂😂., balaa!,😂😂😂.,
 
Mshamba yaani unafikiria Azam ni dunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., ata Uganda kunazo, yaani media equipment inakutia orgasm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., hizi ni vitu vya kawaida in the media world, uliza anyone in the media industry, ukienda ata Kigali utapata, especially during sports coverage ziko tena sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kampala wanazo, sitashanga na Chad pia[emoji23][emoji23][emoji23]., Kweli ndio mnatoka porini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., kuna siku mwenzako alipost speed gun ya traffic police kama chombo Cha ajabu sana[emoji23][emoji23][emoji23]., mwingine naye kaleta modern trucks za kuzoa taka mjini[emoji23][emoji23][emoji23]., na pia studio za Tv eti big deal[emoji23][emoji23][emoji23]., yaani nyie mbona washamba hivyo?., Ndio mnaziona kwa sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., balaa!,[emoji23][emoji23][emoji23].,
wewe shoga la jela Unayajua sana matusi eeh?
 
wewe shoga la jela Unayajua sana matusi eeh?
Lishamba kweli😂😂😂😂., Nenda ukalilie kwa choo, umejiharia humu😂😂😂😂., nilikuambia utume ujinga?.., jiangalie😂😂😂😂., next time do a research kwanza😂😂😂.,
 
View attachment 1788670

ambazo hajifika nchini (orders) ni
-Airbus A220-300 mbili
-Boeing 787-8 moja (passenger aircraft)
-Boeing 767-300 moja (cargo aircraft)
-Dash8-Q400 (hapa sijui ipo moja au mbili) maana kuna moja ilitakiwa kufika dec,2020 then baadae wakasema wataongeza nyingine moja
Wame-order Boeing 787-8 mbili na si moja!

 
Tanzania uku mtu anaeishi kwenye apartment tena mbovu kama idadi kubwa ya estate hapo kwenu zilivyo, huyo category yake ni maskini tu au wenyewe tunaita watu wa maisha ya kawaida.. lakini sio watu wa maisha ya kati .. huwezi kuwa mtu wa kipato cha Kati ilihali haunauwezo wa kujenga nyumba yako .. ngoja nikupe mfano mdogo kwa video . Huo ni ujenzi unaofanywa na shirika la nyumba la Taifa NHC na ni kwaajili ya watu wenye kipato cha kawaida.. kwahyo majority of Nairobians ni watu wa kipato cha chini au kipato cha kawaida

Kwa hivyo hawa wasioishi kwenye apartments ndio matajiri? Hizi ndio nyumba zinazomilikiwa na matijiri wa Dar 😂 😂 😂 😂
Screenshot_20210515-100453~2.png
Screenshot_20210515-100338~2.png
Screenshot_20210515-100425~2.png
Screenshot_20210515-100318~2.png


No thank you, endeleeni tu na huo utajiri wenu. Hatuitaki! 😂 😂
 
Ubaya ni kwamba uko na uwezo mgumu wa kuelewa. Nitarudia mara ngapi kwamba wakaazi wengi wa Nairobi wanamiliki ardhi na nyumba vijijini walikozaliwa? Kwani huo uwezo wa kujenga nyumba vijijini walitoa wapi? Au hizo nyumba zilianguka ardhini kutoka mbinguni? Ama kigezo cha kuwa na uwezo wa kumiliki nyumba na ardhi ni kwamba lazima mtu awe na nyumba na ardhi Nairobi? Imeandikwa wapi? Mimi mwenyewe namiliki ardhi niliyoridhi kutoka kwa babangu (ancestral land) na pia kuna zile nimejinunulia.

Kitu cha pili ni kwamba hata hiyo middle-class unayotaja Kenya imeacha Tanzania mbali sana. Kipato cha wakenya and spending power pia zipo juu kushinda yenu and these are confirmed facts. Ajabu ni pale unasema wakenya kipato chao kipo chini. Ubaya wenu ni kwamba mnapenda ubishi ilhali hammna uelewa wa mambo
Low IQ hawezi shika chochote, akili zimeganda kishenzi😂😂😂😂😂😂.,
 
Ss km Wakenya wengi wanajenga vijijini mbn hatuzioni hizo decent houses huko vijijini zaidi ya huts?
Refer: Afrikan Traveller on youtube akujuze Kenya., utaviona tu.,Tz bado sana, ni Kiswahili najifunza kutoka kwenyu humu, nothing to show😂😂😂😂😂😂.,
 
Kwani hizi hapa zilizojaa Masaki sio apartments? Ubishi haisadii chochote bongolala. Your best neighbourhood ni apartments kushoto kuliaView attachment 1789204View attachment 1789205

Apartments kama hizo huwezipata Runda, Muthaiga ama Karen. Hata Loresho sidhani kama kuna apartments
Masaki 95% ni nyumba za matajiri wenyewe na wanaishi wenyewe appartment ni chache sana kwa wageni tatizo lako ww unauelewa mdogo sana juu ya dar 😂😂😂😂😂 na kuna baadhi ya hotel kwa ajili ya wageni pia na hio masaki ni kubwa vibaya sana yanu kubwa kweli kweli 😃😃😃😃
 
Kila siku nakuambianga hujui vitu unasema. Huwa huelewi kabisa, wewe bora tu unaongea. Kenyans have the highest purchasing power than any other people in this region - another fact that you know but just ignore or totally don't know.
Huwa wanajitia hamnazo kabisaa.,😂😂😂😂
 
Sasa unakataa hapa Ni maeneo ya yombo??zoom hii wacha kuchagua penye pazuri
View attachment 1789198View attachment 1789198
@kikihboy maisha ya Tanzania kila mtu anaweza kujenga popote pale haijalishi tajiri au maskini sie tumechanganyikana ndo maana kila sehemu hata vijijini huwezi pita nyumba 10 hujakutana na nyumba ya kisasa

tanzania ujenzi yani style unabadilika unaendana na wakati mtu aliejenga mwaka 2010 hawezi kulinganisha nyumba yake na ya sasa now days vijana wanafyatua vitu vizuri si mchezo
sie wazee tumepitwa na wakati tena

tanzania raia wengi tumelinganalingana kipato,kiuwezo ,pia ujenzi huku ni rahisi sana!





nyumba kama hizi unaeza kutanana nazo popote pale [emoji116]
20210428_202356.jpg
IMG-20210326-WA0000.jpg
 
Kila siku nakuambianga hujui vitu unasema. Huwa huelewi kabisa, wewe bora tu unaongea. Kenyans have the highest purchasing power than any other people in this region - another fact that you know but just ignore or totally don't know.
Yawezekana najadiliana na taahira. Nilikuuliza kwamba Ni lazima wakaazi wa Nairobi wamiliki nyumba huko? Na imeandikwa wapi? Kwa hivyo mkazi wa Nairobi ambaye ako huko kikazi akipewa transfer itabidi na huko alikoenda pia aanze mchakato wa kujenga nyumba asahau ile alijenga nairobi? Owning a house in the city is just a dream as you put it but it's not a must. Pia kuna wale wako tu na pesa but they've never had that dream of building a house in Nairobi. Sio eti uwezo hawana.

Lengo langu la kukutajia ardhi niliyoridhi na pia yenye nilinunua ni pale uliposema kwamba wakenya wengi hawana uwezo wa kujenga nyumba au kumiliki ardhi. Kwani wakenya wanaishi juu ya miti? Unapenda ubishi za kijinga sana wewe kijana.

Kuhusu middle-class, huu uharo wako hautabadilisha chochote. Ukweli ni kwamba Kenya iko na middle-class wengi kuliko Tanzania and there's nothing you can about it. That's the sad fact. Utalia hata damu but ukweli itabaki pale pale
Haya ona sada unachoandika ni kitu gani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hvi mwenye nyumba anaishi kwakwe na aliepanga nyumba nani mwenye nafuu ya maisha hata kua na ndoto za maendeleo, ongea tu ukweli japo inauma 😂 umesema mwenyewe kua ardhi nairobi ni ghali nikakujibu ndio ni ghali na inamilikiwa na wachache sana na hao wachache wengi wao ni politicians na hili huwezi kataa mpaka dunia itasmama 😁😁😁😁

ardhi inayorithiwa ni ile ya ukoo vijijini au ya familia na familia za kenya sio za mtoto mmoja au wawili au watatu ni familia kubwa unakuta ina watu zaidi ya 15 saaa unategemea kwenye akili yako utawazia kiwanja cha urithi 😄😄😄

hvi wewe Nicxie tuongee ukweli wa dhati hvi hutamani kua na ardhi nairobi na ukawa na nyumba ongea ukweli kutoka moyoni 😁

Narudia kukwambia maskini wa tanzania ana nafuu mara 100 kuliko maskini wa kenya na hili hailitabadilika mpaka kiyama go east go west
 
Sisi tumejenga nyumba zetu Dar 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hatuishi kwenye estates za investors. Alafu jamaa anakuwa tu proud!
I remember days when they used to deny these aren't Dar pictures
😁😁😁😁👇👇👇 hajajibu mbona kakimbia sasa
Niambie place inaitwaje ???? Alaf nizoom kwa both 2D and 3D ili tuhakikishe wewe unaakili zAidi ya mzungu🤣🤣🤣🤣🤣

yani mzungu afunge sattelite z technology ya hali ya juu billions of money alaf asione slum dar pekee 😁😁
 
Ss km Wakenya wengi wanajenga vijijini mbn hatuzioni hizo decent houses huko vijijini zaidi ya huts?
🤣🤣🤣🤣🤣 wanajenga wapi anakwambia wanategemea nyumba za urithi na unakuta ukoo una watu 100 hakuna nyumba vijijini wala mamayake nyumba, unafkiri huyu Nicxie hatamani kua na nyumba nairobi anatamani sana lakini ndio historia kwake tena historia hio iko kwenye ndoto
 
Vijijn wapi labda kama ni ya kurithi hawa jamaa hawawezi kumiliki ardhi Nairobi na Nairobi metro in general, k.m ukienda kiambu huwezi kupata mtu wa kabila lingine anamiliki ardhi eneo ilo zaidi ya mkikuyu

Yani mkalenjin atoke rift valley aje amiliki ardhi kiambu izo ni ndoto za alinacha haitowahi kutokea
Na urithi wenyewe ni waukoo sio familia sasa kwenye ukoo wako watu 100 wanarithi nn hapo??🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom