To be in a middle class lazma uwe na uwezo wakumiki house na kama huna uwezo maana yake ww uwezo uko chini na kipato chako kiko chini pia, ku rent nyumba sio kigezo cha wewe kua middle class, kama unajua bei sio shilingi mbili ndio maana nakwambia majority hamuna ndoto ya kua na land wala nyumba na wachache sana wakiwemo politicians na investors ndio watakaoendelea kumiki ardhi mpaka kiyama 😃😃😃😃 unalipa rent unaenda mbio kutafuta pesa ya rent same time utafute pesa ya uji hujaugua hujalipa social services na hapo hapo unemployment rate iko 40% 😀😀😀😀 hapo hapo 79% ya watu kipato kimekwenda chini
View attachment 1789023