Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

.njoo nikulipie karo dogo ufunguke akili angalau kidogo tu;
Wenzako wako na ushuhuda;View attachment 1783186
Pia mimi nimeshuhudia kua wewe uko na matatizo ya ubongo kama mwenzako anavyowajua., Mwenye kuvaa kiatu...dadeki
View attachment 1783181
Waelewe mkuu huenda wanasumbuliwa na minyoo
FB_IMG_16207150770347843.jpg
 
Na kama ulikua hujui asiki ya joho baba yake mzazi katokea tanga na wanafamili tanga sasa ndio maana nakwambia kwanza jua asili ya joho ndio tubishane na joho sio jina la ukoo wao lipo jina la ukoo wao
Bwahahasina time na hekaya zako mwarabu, nenda kahangaike na kujua kwenu kwanza ndio uje uhangaikie ya watu
 
ngoja nikupe ukweli leo, kwa shule za secondary, wabongo waliofeli bongo afu wanahela huwa wanakimbilia kenya na uganda, kwa vyuo, wabongo waliofeli form six afu kwao wanahela huwa wanakimbilia china kwasababu huko kufaulu na kupata cheti au degree huko ni rahis kuliko nyumban Tanzania. mdada ukiona kila mwanaume anakufata ujue you’re touchable/catchable.. na wanauhakika wa kukukula mda wowote

mnajisifia mna elimu nzuri wakat kila mwez maghorofa yenu yanaanguka
Hzo ni fikra zako tu, lkn ukweli ni kwamba watazania huku hawaji chuo wengi wao wananzia la msingi mzee baba..acha kulisha watu matango pori
 
ngoja nikupe ukweli leo, kwa shule za secondary, wabongo waliofeli bongo afu wanahela huwa wanakimbilia kenya na uganda, kwa vyuo, wabongo waliofeli form six afu kwao wanahela huwa wanakimbilia china kwasababu huko kufaulu na kupata cheti au degree huko ni rahis kuliko nyumban Tanzania. mdada ukiona kila mwanaume anakufata ujue you’re touchable/catchable.. na wanauhakika wa kukukula mda wowote

mnajisifia mna elimu nzuri wakat kila mwez maghorofa yenu yanaanguka

FACT, Nina masela kibao wenye nazo wameenda huko baada ya kuzungusha.
 
Wale wakusomea vyuo feki huku
Ukienda kutoa vyeti vyako katika ofisi za serekali unaambiea hatukifahamu hicho chuo..

Kumbe na nyie mnapigwa mkija hku
 
What is ailing southerners 😜😅😅🤣🤣🤣😂
View attachment 1783210
View attachment 1783212

ngoja nikupe ukweli leo, kwa shule za secondary, wabongo waliofeli bongo afu wanahela huwa wanakimbilia kenya na uganda, kwa vyuo, wabongo waliofeli form six afu kwao wanahela huwa wanakimbilia china kwasababu huko kufaulu na kupata cheti au degree huko ni rahis kuliko nyumban Tanzania. mdada ukiona kila mwanaume anakufata ujue you’re touchable/catchable.. na wanauhakika wa kukukula mda wowote

mnajisifia mna elimu nzuri wakat kila mwez maghorofa yenu yanaanguka

mnipe mfano wowote wa mtanzania aliepata division one form six afu akataman kwenda kenya au uganda. ni losers pekee ndo wanafikiria kwenda sehem rahis ili wapate vyeti.. nina marafiki zangu form six walikuwa wa mwisho darasan.. wote wakaenda china.. huko china kwenyewe wameishia kuwa wauza simu/pc na vyombo vya nyumban.. hawajapata hata degree wala babu yake degree

huwa najiuliza kwann waliofeli hawakimbilii US au UK, kimbilio lako ni China kwasababu China wanapokea hata mamluki wa darasan
Nakuongezea na hii, watanzania wengi wanaondoka tz ni wale waliofeli shele na wanatafuta urahisi wa maisha, wabongo wengi hususani Dar indigenous na Tanga wanakimbilia SA kutafuta maisha since sisi wabongo hapo SA tunaingia tu bila Visa, wenye visenti kidogo wanakuja kwenu Kenya uko kufanya biashara, wasomi wengi wa bongo wanasoma tz na wanafanya kazi tz na ukiwaona wanaenda America na Europe ujue ni aidha wanaenda kuongeza elimu (masters na PHD) au biashara, sisi tz tunayo makampuni ya kandarasi ya kutengeza mpaka barabara na kila kitu na zinakula tenda, for your information kimara kibaha high way inatengenezwa na kampuni zawa (estim), stendi ya Dodoma na nyingine zote zimetengenezwa na kampuni za wazawa, tunazo kampuni za wazawa za kutengeneza mpaka meli n.k .. heb tuembi ninyi mbajidai mnaelimu bora mnaweza kufanya nini ..mnaweza kutengeza hata barabara za lami.? au mpaka mchina awafanyie..?
 
.njoo nikulipie karo dogo ufunguke akili angalau kidogo tu;
Wenzako wako na ushuhuda;View attachment 1783186
Pia mimi nimeshuhudia kua wewe uko na matatizo ya ubongo kama mwenzako anavyowajua., Mwenye kuvaa kiatu...dadeki🤣😂😂
View attachment 1783181
Mtihani wa form 4 wa kenya kuingia chuo kikuu ni mrahisi kuliko mtihani wa form 4 Tanzania kuingia Diploma na form 6
 
Nyie wajomba Yosef Festo Nicxie na Coco reborn nyie tuliwaambia jana kwamba haya maneo sio ya Dsm slums kama kwenu uko, leo nimewaletea clear pictures za hayo maeneo alaf mlinganisha na slums zenu,twende kazi .. View attachment 1783330View attachment 1783331vs your slums View attachment 1783333View attachment 1783334View attachment 1783335NB: SISI HATUISHI KWENYE MABATI KAMA WANAYAMA
Hzo labda ulinganishe na kibera hvo hvo
Uswazi middle class katika ubora wake
 
Nyie wajomba Yosef Festo Nicxie na Coco reborn nyie tuliwaambia jana kwamba haya maneo sio ya Dsm slums kama kwenu uko, leo nimewaletea clear pictures za hayo maeneo alaf mlinganisha na slums zenu,twende kazi .. View attachment 1783330View attachment 1783331vs your slums View attachment 1783333View attachment 1783334View attachment 1783335NB: SISI HATUISHI KWENYE MABATI KAMA WANAYAMA
Kinachotuangusha sisi ni bati,watanzania tunajitahidi sana kujenga ila bati tunazotumia huota kutu,kwa nini serikali isitumie udikteta kutulazimisha tutumie bati za rangi,yaani kusitishwa uzalishaji wa hizi bati za kutu!!..
 
ngoja nikupe ukweli leo, kwa shule za secondary, wabongo waliofeli bongo afu wanahela huwa wanakimbilia kenya na uganda, kwa vyuo, wabongo waliofeli form six afu kwao wanahela huwa wanakimbilia china kwasababu huko kufaulu na kupata cheti au degree huko ni rahis kuliko nyumban Tanzania. mdada ukiona kila mwanaume anakufata ujue you’re touchable/catchable.. na wanauhakika wa kukukula mda wowote

mnajisifia mna elimu nzuri wakat kila mwez maghorofa yenu yanaanguka
Wabongo wengi huzani elimu bora ni kuongea kingereza na co output, Kenya hamna elimu na wanachofuata wazazi wengi wa hapa Tanzania ni watoto wao kujua lugha ngeni ndio maana utakuta ada ya medium school apa bongo ni kufuru cz mzazi anataka mwanaye ajue tu lugha ngeni na ndiyo maana unakuta Wakenya wengi wameajiriwa huku bongo kwasababu ya "yes" "No" wanazoongea, but nothing new thus y matoto yanayotoka Kenya huwa ni mazembe mno, ila mtoto aliyetokea vyuo vya Tz huwa fasta kuelewa shida huwa ni English tu ambapo nayo huwa inamkaa hapo baadaye.
 
Back
Top Bottom