ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Leta link kua kenya inajenga mwanza airport ukipata mm nafunga acc jamii forum 🤣🤣🤣Tunawajengea mwanza airport, msijali vifaa vyetu ni bora zaidi
Leta link kua kenya inajenga mwanza airport ukipata mm nafunga acc jamii forum 🤣🤣🤣Tunawajengea mwanza airport, msijali vifaa vyetu ni bora zaidi
Ni kawaida ya demand and supply. Kama demand ni kubwa bei inapanda and vice versa . Hakuna jipya hapoNa TunawavishaBila sisi mtavaa ngozi za Ngombe,We are your Customers and Customer is always the Boss
Cheza nasi muangamie
![]()
Mm nimefurah kuona mchele sasa tunawatandika kwa 2500 per kg yani wakulima watafaidika sana 😀😀😀😀Ni kawaida ya demand and supply. Kama demand ni kubwa bei inapanda and vice versa . Hakuna jipya hapo
Alaf ikitokea kwenu inakua nn sufuria au🤣🤣🤣🤣😀👇👇👇 Wazee wa sufuria na mchina hawapi pesa manake mutakula anawapa vifaa tu sasa muibe matairi na viti muuzeWazee wa bakuli mpo
Maskini nyie, siku zote tumeambiwa wasaidieni maskini na nwenye uwezo mkopeshe ila km hana uwezo heri umpe bure...
Km hauna ukipewa balaa ni lile la kukamatiwa assets wengine wakiwaonea huruma na kuwafutia madeni kabisaView attachment 1783775
Mzee mshaurini hyo mwandishi wenu aache ku copy paste habari za kenya, akitaka habari aje mwnywe afanye research..Angefanya magufuli wangesema dikteta sasa kafanya baba yao sijui watatumia neno gani

wanapinga highcourt si aanze kwanza chief justice..
..Tunawajengea airport mwanzaMunamvisha nani nyinyihebu tuanzie hapo

Hehehe!!we lia baba lkn mwanza airport tunawajengea sisiLeta link kua kenya inajenga mwanza airport ukipata mm nafunga acc jamii forum![]()
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇tulia urambe dawa siasa kenya ni za wizi tu hakuna siasa kenya🤣🤣🤣🤣 BBi imekunywa 14b ksh taxpayers money yani ndio maana nasema tajiri kenya atabaki kua tajiri na maskini atabaki kua maskini😝😝😝😝Mzee mshaurini hyo mwandishi wenu aache ku copy paste habari za kenya, akitaka habari aje mwnywe afanye research..
Siasa zetu hamziwezi nyiewanapinga highcourt si aanze kwanza chief justice..
Hyo ya highcourt ni cinema tu lkn mchezo umeshaandaliwa vyema ukamalizika..
Siasa zetu zitokeni jamani..
Vichwa vyenu na siasa za kenya bado sana, ICC tu walichezwa shere itakuja high court..
Mbona bunge walipitisha kitambo
Ukipata sehemu kenya inajenga mwanza airport nitag mm niwe wakwanza kufunga acc 😃😃😃 mark my wordsHehehe!!we lia baba lkn mwanza airport tunawajengea sisi
Na Mbona wakenya have higher chances of being employed than Tanzanians(Bongo Lala's) in Tanzanian CompaniesElimu ya Kenya ni trash, Tanzania kuna bright people wengi mara million kuliko Kenya, I'm researching why.
👇👇👇👇👇👇👇Tunawajengea airport mwanza![]()
Ukipata sehemu kenya inajenga mwanza airport nitag mm niwe wakwanza kufunga acc 😃😃😃 mark my words
Hehehe!!unakufa njaa na hku unamiliki AK47 na G3 tatuSisi wanaleta wenyewe nyie munaletea kwa huruma watu wanakufa na njaa sasa huruma ndio inawafanya walete chakula na mbaya zaidi ni nchi zenye jangwa![]()


ukiongezea zaidi jamaa ana ngombe 1000 na kila wiki kuna soko la kuuzia mifungo..Siasa zetu km series vile, unapelekwa mbele alafu unarudishwa nyuma km flashback...tulia urambe dawa siasa kenya ni za wizi tu hakuna siasa kenya
Unawazungumzia wa turkana na wapokot ngoja uone 🤣🤣👇👇👇👇Hehehe!!unakufa njaa na hku unamiliki AK47 na G3 tatuukiongezea zaidi jamaa ana ngombe 1000 na kila wiki kuna soko la kuuzia mifungo..
Mbona ruto alipotaka kuona makaburi machifu walisepa
👇👇👇👇👇👇👇👇Mwanza airport tunawajengea sisi(wakenya)
Ukipata sehemu kenya inajenga mwanza airport nitag mm niwe wakwanza kufunga acc 😃😃😃 mark my words
In Tanzania Unaweza enda miles and miles ukiona Uswazi.Dar is Slum/TZ is Slum👎😛Nyie wajomba Yosef Festo Nicxie na Coco reborn nyie tuliwaambia jana kwamba haya maneo sio ya Dsm slums kama kwenu uko, leo nimewaletea clear pictures za hayo maeneo alaf mlinganisha na slums zenu,twende kazi .. View attachment 1783330View attachment 1783331vs your slums View attachment 1783333View attachment 1783334View attachment 1783335NB: SISI HATUISHI KWENYE MABATI KAMA WANAYAMA
Ndio nakwambia tayari sasa, wakenya ndio tunajenga mwanza airporrUkipata sehemu kenya inajenga mwanza airport nitag mm niwe wakwanza kufunga accmark my words

Na wapi zile 14b ksh za wakenya maskini ?? Zimekwenda kwenyw matumbo ya wale wale wanasiasa 😅😅😅😅😅Siasa zetu km series vile, unapelekwa mbele alafu unarudishwa nyuma km flashback...
Kwanza wewe akili zako ndogo huwezani kabisa, View attachment 1783806
Hehehe!!unakufa njaa na hku unamiliki AK47 na G3 tatuukiongezea zaidi jamaa ana ngombe 1000 na kila wiki kuna soko la kuuzia mifungo..
Mbona ruto alipotaka kuona makaburi machifu walisepa