Nakuongezea na hii, watanzania wengi wanaondoka tz ni wale waliofeli shele na wanatafuta urahisi wa maisha, wabongo wengi hususani Dar indigenous na Tanga wanakimbilia SA kutafuta maisha since sisi wabongo hapo SA tunaingia tu bila Visa, wenye visenti kidogo wanakuja kwenu Kenya uko kufanya biashara, wasomi wengi wa bongo wanasoma tz na wanafanya kazi tz na ukiwaona wanaenda America na Europe ujue ni aidha wanaenda kuongeza elimu (masters na PHD) au biashara, sisi tz tunayo makampuni ya kandarasi ya kutengeza mpaka barabara na kila kitu na zinakula tenda, for your information kimara kibaha high way inatengenezwa na kampuni zawa (estim), stendi ya Dodoma na nyingine zote zimetengenezwa na kampuni za wazawa, tunazo kampuni za wazawa za kutengeneza mpaka meli n.k .. heb tuembi ninyi mbajidai mnaelimu bora mnaweza kufanya nini ..mnaweza kutengeza hata barabara za lami.? au mpaka mchina awafanyie..?