ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ruksa kaka nzi kufa kidondani ni halali yake 🤣Nataka nitoneshe kidonda🤣🤣🤣🤣
Ruksa kaka nzi kufa kidondani ni halali yake 🤣Nataka nitoneshe kidonda🤣🤣🤣🤣
Tutegemee waanza route za joburg na cape Town. Wanapoteza pesa nyingi sana.
Na afumgwe kabisa! !!
Mmmm, I wish niwe sijaelewa wanachomaanisha. Yaani kwamba mwanafunzi akipata ujauzito anaweza kupata elimu mbadala (mf. kufanya mtihani kama private candidate) kisha akimaliza form four anaweza kuchaguliwa kwenda mfumo rasmi (school candidate)! Yaani kwa jinsi nikivyoelewa "wazazi" hao wanaweza kurejeshwa tena kwenye high school za gvt!Mkuu, Hii ilibidi iwe hivi Kulingana na masharti ya ile pesa kutoka WB.
Mama hakuwa na namna hata JPM angekuwepo angebana tu ila mwisho wa siku angeachia kiaina kama ilivyofanyika sasa...soma hiyo thread utaona namna itakavyo kuwa.
Hebu waoneshe ulipo Google slums in Tz tuone ulipata jibu ganiNgoja nikwambie kitu bro hawa watu huwa wanaona tumepiga sana bao kutokua na slum sasa hua wanajiuliza kwann slum hakuna tanzaniasasa wanajaribu kuforce ili walau tufanane wasionekane wao wamepotea sasa wanalazmisha tupotee wote ili tusipate kuwabeza
sasa chakushangaza hata nyani alieko australia anajua hiiii
View attachment 1783670








Aiseee, inahuzunisha sana.Kinachofanyika ni kumchafua Magufuli as though yeye ndio alitunga sheria ya mtoto wa kike aliyeshika minba asirudi shuleni. Wakipitisha hili, media za west zitaishikia sana bango na kumchafua vyema Magufuli kua ni dikteta na mama ndio mtu sahihi huku akiachia nchi kwa wapigaji wa ndani na wakigeni.
Mada ishawatokea kwenye kipumulio 🤣🤣Hebu waoneshe ulipo Google slums in Tz tuone ulipata jibu gani![]()
mambo ya BBI huko kenya, Kenyatta na Odinga wameshakula bure mabilion ya walipa kodi
View attachment 1783718
yalivyo mambumbumbu walikuwa wanakubaliana na kenyatta
Kelele za chura hzomambo ya BBI huko kenya, Kenyatta na Odinga wameshakula bure mabilion ya walipa kodi
View attachment 1783718
yalivyo mambumbumbu walikuwa wanakubaliana na kenyatta


Si mileleAnother win to chinnese 30yrsama kweli aliewaroga nyinyi lazma alikua uchi


History ya nnNajua huwezi gusa kwenye history manake unajua lazma nikunyuke![]()


Zaidi ya robo karne 😂😂😂😂 mchina amewakamata pabaya unafkiri hio miundombinu after 30 yrs itakua kwenyw hali gani just take a dreamSi milele![]()
Nimekwambia ww joho humjui na historia yake huijui kaa kimya tu mzee 😀😀😀History ya nn
Kumbe na wewe fuata upepo, narudia tena mzee baba..hunifundishi lolote kuhus gavana wangu