Tunazidi kumwaga pilipili kwenye kidonda cha wakunya

Kwa capacity hiyo watajenga majukwaa ya maana! Naona Mkapa stadium ikipata mwenzie!nimefurahi kusikia wataexpand seats capacity wa huo uwanja to 35k![]()
Najua hapa lawama zitaenda kwa JPM...subiri thread ikifunguliwa halafu ufuatilie comments za humohaya madeni yanatia aibu.. kwann wasifanye auditing na kukubaliana wadai kulipa yote.. madeni yenyewe ya zaman kbla magu hajafufua hili shirika. good wamelipa hili tayar
View attachment 1783037



Najua hapa lawama zitaenda kwa JPM...subiri thread ikifunguliwa halafu ufuatilie comments za humo![]()
Ndio tunashindana na hawa watu wachafu wananuka yani sijui wanalaana gani hawa 🤣 mtu kwenye jua kali amevaa suti jua kaliHapo ni cbd nairoberry 🤣
Ilipigwa enzi gani 🤣🤣🤣🤣 heby tuletee hio picha iliopigwa enzi hio tuonewwe Unakuanga Kama kichwa mbovu,Ushai tuma hii Picha Tena,Uliambiwa iyo Picha ilipigwa enzi Gani,Na pia ukaoneshwa Picha ya mahali hapohapo na Bado Bongolala umeleta Picha Ile yako.It seems your brains thinks backwards🖕🤏👌😃
wwe Unakuanga Kama kichwa mbovu,Ushai tuma hii Picha Tena,Uliambiwa iyo Picha ilipigwa enzi Gani,Na pia ukaoneshwa Picha ya mahali hapohapo na Bado Bongolala umeleta Picha Ile yako.It seems your brains thinks backwards🖕🤏👌😃
Kanitukana bure tu 🤣🤣🤣🤣🤣Duh, hii ya jana kabisa![]()
Umekasirika tena bado tu unahasira🤣🤣Lumbe bado waumwa mpka leoyani hyamini, maskini
Hata mm naona tbt 🤣🤣🤣👇👇👇Asante kwa tbt kweli tumetoka mbali.
ndo maana nikauliza ile bombardier Dash8-400 C-GPPU tunayoiona miezi na miezi mbona haifiki Tanzania?haya madeni yanatia aibu.. kwann wasifanye auditing na kukubaliana wadai kulipa yote.. madeni yenyewe ya zaman kbla magu hajafufua hili shirika. good wamelipa hili tayar
View attachment 1783037
tutegemee ile DashQ400 kufika. hiv ile iliyoenda China imerud?
Alafu tuko hapa tunatambiana wakati wasee wanapanga allocations za tax zetu. Nafkiri hapa tunabishana ni nani anaweza kuibia chi yake na watu wake wasishtuke kiurahisi 😂😂😂H
Huu ni upuuzi sasa. Si ilikuwa $1 billion. Sasa imehamia hadi $2.5 billion. Hii ni white elephant na haitajengwa.
Dreamliner yetu toka China imerudi?haya madeni yanatia aibu.. kwann wasifanye auditing na kukubaliana wadai kulipa yote.. madeni yenyewe ya zaman kbla magu hajafufua hili shirika. good wamelipa hili tayar
View attachment 1783037
tutegemee ile DashQ400 kufika. hiv ile iliyoenda China imerud?
Vibanda vipo havijaondolewakaribu usome hapa
Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa
Kawaida yangu hyo kukuumbua, sijaanza leoUmekasirika tena bado tu unahasira![]()

jana ishu ya gesi ulikimbia