Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwalimu nyerere alikua anaongea kingereza safi akiwa nje kwani alimzuia kua mtanzania mzalendo?
We jamaa ujaelewa pointi yangu tunakipromote kiswahili iwe lugha ya Africa sasa sisi wenye lugha tunaongea kingereza alafu Uganda hapo ingekuwa nchi ya mbali angalau
 
KQ inaujua utamu wa faida, ndio manake bado wanatafuta mchawi nani ndio irudi katika zama zake za kupiga mpunga..
Lkn tukija upande wa south faida kwenu hata hamjui zinakaaje katika shirika lenu la ndege
Hamujui mchawi nani kwani 🤣🤣👇👇
Ndio mulisanganywa na kenyataa hvo
3 owned and fully paid
17 loan from foreign banks
20 leased
😂😂😂😂👇👇👇👇 ww na macharia nani anajua zaidi View attachment 1751140View attachment 1751142
 
Hivi vitasa aisee....sijui kama Muhongo atarudi Bungeni!


kitu nilichonotice biteko ni waziri sahihi wa madini.. yeye sio msomi sana ila ana uzoefu na uchimbaji wa madini.. anatokea geita.. sidhan kama angekuwepo wazir (Dr. au Prof). ambae sio mwenzeji wahio mikoa angefanikiwa kama biteko

msukuma anaongeaga points sana japo eti LY
 
kitu nilichonotice biteko ni waziri sahihi wa madini.. yeye sio msomi sana ila ana uzoefu na uchimbaji wa madini.. anatokea geita.. sidhan kama angekuwepo wazir (Dr. au Prof). ambae sio mwenzeji wahio mikoa angefanikiwa kama biteko

msukuma anaongeaga points sana japo eti LY
LY ndo nn? Huyu Prof Muhongo tatizo lake anasujudu sana nadharia za kibeberu yaani ana ukibaraka na pia ana machungu ya kukosa Uwaziri! Anakosa common sense ya kumuambia miradi kama hydropower ina chain effect kubwa kwa local industries and local population yaani cement, aggregates and steel and many local manual jobs unlike miradi kama ya geothermal ambayo zaidi ya drilling all heat harnessing plants and power generation plant r imported from abroad ready to be assembled by expatriates meaning creating jobs overseas and to expatriates up to 95%!
 
it’s the same na alioipost december, 2020
IMG_1618339415.097058.jpg
IMG_1618339457.654147.jpg


december


today
(looks like imepigwa na rangi ya neno air tanzania imefifia(labda vumbi) juu ya neno GPPU kuna vumbi pia
 
Back
Top Bottom