komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hawa jamaa lazima tuwauzie gesi yao wenyewe, manake sio kw bei zile wanazopigwa kumbe
Hawa jamaa lazima tuwauzie gesi yao wenyewe, manake sio kw bei zile wanazopigwa kumbe
Tafuta sehemu utulize akili kwanzaKwanza jua asili ya joho ni wapi alaf njoo biashana na mm fala wewe

, yani joho tangi hata bungeni hayupo tunamjua aje mwarabu koko ndio anifundishe asili yake..

Na kama ulikua hujui asiki ya joho baba yake mzazi katokea tanga na wanafamili tanga sasa ndio maana nakwambia kwanza jua asili ya joho ndio tubishane 😁😁😁 na joho sio jina la ukoo wao lipo jina la ukoo waoTafuta sehemu utulize akili kwanza, yani joho tangi hata bungeni hayupo tunamjua aje mwarabu koko ndio anifundishe asili yake..
We utakua unaumwa sio bure![]()
Unaniumbua mm au umekalia kuti kavu tena 🤣🤣🤣 kwamba internet bundle kenya haiko juuKawaida yangu hyo kukuumbua, sijaanza leojana ishu ya gesi ulikimbia
Heheh yani nyinyi mutuuzie sisi gesi 🤣🤣 aisee kweli kuna ndoto za kihayawani, mwenye bomba hakai foleni wahenga walisemaHawa jamaa lazima tuwauzie gesi yao wenyewe, manake sio kw bei zile wanazopigwa kumbe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nchi imeoza 70b ksh loss
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nchi imeoza 70b ksh loss
.njoo nikulipie karo dogo ufunguke akili angalau kidogo tu;
Wenzako wako na ushuhuda;View attachment 1783186
Pia mimi nimeshuhudia kua wewe uko na matatizo ya ubongo kama mwenzako anavyowajua., Mwenye kuvaa kiatu...dadeki🤣
View attachment 1783181