ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hii mbona huoneshi sasa ambako kuna 70% nairobi people 🤣🤣🤣👇👇👇 asilimia 70 watu wanaishi kwenye slums haya tudanganye hzo slums zilizozunguka nairobi nzima wanaishi masokwe au????Sasa huyo mzungu wako aambiwe saa hii achague sehemu ya kuishi kati ya Tandika middle income estate na Ruai 'slum' unafikiri atachagua wapi kati ya hizi sehemu mbili?
Tandika middle income estate
View attachment 1782153
Ruai 'slum'
View attachment 1782154
Tofauti ni kama ardhi na mbingu