Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Sasa ni nini mko nayo mpya kando na hizo mmeshinda mkipost wiki nzima? And then huku hatutegemei nyumba kama hizo kujengwa tu na serikali ndio ziwepo. Gated communities are almost everywhere in Nairobi na sio miradi ya serikaliMmetuacha mbali kwenye nini mzee.? Miradi ya nyumba ya serikali au. .?




