ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mbona slums ziko nyingi sana lakini chakushangaa sioni ukizitaja au nikuleter list hapa 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇Sasa huyo mzungu wako aambiwe saa hii achague sehemu ya kuishi kati ya Tandika middle income estate na Ruai 'slum' unafikiri atachagua wapi kati ya hizi sehemu mbili?
Tandika middle income estate
View attachment 1782153
Ruai 'slum'
View attachment 1782154
Tofauti ni kama ardhi na mbingu
Hzi ni chache hebu tuguse hapa alaf tufananishe na tandale au tandika ukitoka hapo wewe mwanaume 🤣🤣👇👇👇 nakutajia chache kwanza
