Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usione aibu post maziwa na toothpick kama kawaida yako😀
Usidhani mimi ninafanana na mama Ngina. 🤣 🤣 🤣 Chang'aa imekula medulla oblongata yako.

images - 2021-05-12T155256.831.jpeg

Huna balance kwenye brain yako.

Sitaki kukuita wewe ni mpumbavu, kwa sababu wewe ni zaidi ya upumbavu wenyewe.
 
Usituforce tufanane, gesi kenya si luxury ni neccessity lazima umiliki. Mkipigwa bao kubalini mbona tuusan amekubali bila ubishi.
Na ni cheaper ku own gas than kununua gunia moja ya makaa! Hawa hawajui Kenya, gas is taking over, na tunangoja gas ya mama Samia.,
 
Na ni cheaper ku own gas than kununua gunia moja ya makaa! Hawa hawajui Kenya, gas is taking over, na tunangoja gas ya mama Samia.,
Gunia la mkaa ni cheap San pwani. ..kule moshi mkaa ni ghali kiasi...Mimi natumia mkaa gas na umeme me pamoja nikijaza mtungi wa 30kg natumia 3months,apo inaenda sambamba na mkaa...siku gas ikiisha natumia plate za umeme
 
Ukhekhekhekhekhekhe boga mwenzio kasema hii ni slum ama 🤣🤣🤣👇👇👇 Nicxie hvi nyinyi munafkiri mzungu ni mpumbavu kama nyinyi View attachment 1781853View attachment 1781855
Sasa huyo mzungu wako aambiwe saa hii achague sehemu ya kuishi kati ya Tandika middle income estate na Ruai 'slum' unafikiri atachagua wapi kati ya hizi sehemu mbili?

Tandika middle income estate
2771333_E84C4255-9DB0-4E5F-A249-B2E361B5380F.jpeg

Ruai 'slum'
Screenshot_20210512-163546~2.png

Tofauti ni kama ardhi na mbingu
 
Usidhani mimi ninafanana na mama Ngina. 🤣 🤣 🤣 Chang'aa imekula medulla oblongata yako.

View attachment 1782090

Huna balance kwenye brain yako.

Sitaki kukuita wewe ni mpumbavu, kwa sababu wewe ni zaidi ya upumbavu wenyewe.
Yani umeenda ukadownload picha ya ubongo uniwekee, lazima umeumia vibaya sana. 😁😁😁 ugua pole
 
Huyu ndo yule taahira wakupost maziwa, haya leo post tena tucheke😂
Huyu ni yule smomi wa hisibati aliyetufanyiea hesabu za ajabu ajabu kwenye uzi fulani humu ndani. Yani alijiaibisha aise! Anajiita IT expert 😂 😂
 
Huyu ni yule smomi wa hisibati aliyetufanyiea hesabu za ajabu ajabu kwenye uzi fulani humu ndani. Yani alijiaibisha aise! Anajiita IT expert 😂 😂
Hapa hakuna mama Ngina wa kukutetea. Umeacha kusoma hesabu umeingia kwenye hisabati nikuulize maswali!?
 
Hapa hakuna mama Ngina wa kukutetea. Umeacha kusoma hesabu umeingia kwenye hisabati nikuulize maswali!?
IT expert 😂 😂 😂 😂
No wonder wengi wenu wanakuja Kenya kusoma. Sio kwa jinsi ulivyokata ile hisibati kwa shoka
 
IT expert 😂 😂 😂 😂
No wonder wengi wenu wanakuja Kenya kusoma. Sio kwa jinsi ulivyokata ile hisibati kwa shoka
Jifunze kutawadha kwanza.
Mzee hiyo hisibati ni yako na mama Ngina. Sisi tunafanya hisabati mwanangu.
Unajua Calculus wewe!?
 
Haya scandle ya kimataifa imepiga hodi failed state🤣🤣🤣👇👇👇

8F2A916E-0028-4AC9-B333-73974C66FFB0.jpeg
 
Back
Top Bottom