Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Sasa wewe ndio mstaarabu?We mwanaume kuwa mstaarabu mbona maswali ya ovyo?kama Huna hoja Bora kukaa kimya ningekutakana sema basi tu🙂
Sasa wewe ndio mstaarabu?We mwanaume kuwa mstaarabu mbona maswali ya ovyo?kama Huna hoja Bora kukaa kimya ningekutakana sema basi tu🙂
Waziri wa viwanda Kenya 😂😂😂 vipi MZEE mwaka huu mmeingiza raw materials kiasi gani kutoka Tanzania .?😂😂 We mjomba muongo muongo sanaHawa ni watu wa google na propaganda, wapate Kenya uone vile wanakaukiwa maneno, ni kuzuba zuba tu😅 normal standards of living ya Nairobi, zenye bado ni categorized as slums kwao itakua kwa middle class na matajiri kwa kiasi, hizo nyumba zao za Kiswahili zinasinya sana😅🤣🤣., Dar na Mombasa ni exactly the same look kwa average housing(Swahili houses), ila Mombasa Kuna estates na gated kadhaa., and Mombasa organized residential is growing fast..,
Kwa hivyo ni lazima mzungu aseme ni slums ndio iwe slum? Wewe huwezitumia akili yako ya kuzaliwa? Wewe unafaa mzungu akurudishie akili yako uanze kufikria vyema. Inaama kila kitu anachosema mzungu ni kweli sababu tu ana ngozi nyeupe?? Hii utumwa wa kili utaacha lini?Hebu zoom tuone hio slum ambayo mzungu hajaiona toka dunia imeumbwa 🤣🤣🤣 najua utakua mwafrika wakwanza kugundua
Huyo jamaa hachoki na kuaibishwa daily, kila mkenya anambaka kwa zamu.😁😁 sasa ni zamu yako ji-enjoy😂Let him be., wachana na yeye apumue🤣😅😅, on average modern/latest model matatus hawatoboi., watatafuta vijisababu tu, kama vile wakibanwa kwa hoja mkombozi wao huwa ni Kibera 🤣🤣😅😅🤣.,
Exactly. Yani wanataka na sisi tufanane nao. Wanaona jinsi jiji lao ilivyojaa Swahili shanties that they proudly call dreamhouses na wanashanga where they went wrong as far as urban residential planning is concerned. Kama kuna kitu mtanzania haweziniambia ni makaazi ya watu. I have seen enough images of their residentials to know what am talking about. Hovyo sana.Hawa ni watu wa google na propaganda, wapate Kenya uone vile wanakaukiwa maneno, ni kuzuba zuba tu😅 normal standards of living ya Nairobi, zenye bado ni categorized as slums kwao itakua kwa middle class na matajiri kwa kiasi, hizo nyumba zao za Kiswahili zinasinya sana😅🤣🤣., Dar na Mombasa ni exactly the same look kwa average housing(Swahili houses), ila Mombasa Kuna estates na gated kadhaa., and Mombasa organized residential is growing fast..,
Kujitetaa ni kawaida yenu., mbona zinafika Mombasa pale mwembe tayari., very old vans., am not ichoboy01 eti nisambaze propaganda., bro jikubali, then grow up and songa mbele., pole pole Africa will grow, jeuri na majigambo hayasaidiii, facts scream louder than words🤣😅😅
Huyu jamaa ni muongo muongo huyu msimwamini huyu yani huyu ni pungasese .. eti huyu Coco reborn anasema kila nyumba Kenya Ina gesi 😂😂😂. 👇. . Muache uongo uongo nyie mungiki. ..pia Uganda gas bado sana., 😅😅🤣🤣., ichoboy01 hawezi kukibali kushindwa, huyo Mr Mwanza huwa anaumwa na ukweli🤣😅
Nishampa picha za Uthiru ambayo huyo mzungu wake anasema ni slum na hajibu chochote. Yani hiyo Uthiru wanayosema ni slum 90‰ can't even afford life thereEbu zoom out those area, aerial view wide angle, just Google earth kama una kende, not cherry picked pictures na propaganda za abunuasi, uone kama utapata muonekano kama wa 90% low life inavyo onekana Dar yote, Dar ni kama inner city ya Bangladesh., hapa utapingavlakini ni hali ilivyo, narudia tena; hamujikomboi karne hii😅🤣🤣🤣
Alafu in Nairobi guys go to hustle, not necessarily eti wamekosa ardhi., wewe kweli ni kilaza., 🤣🤣😅
Wewe unajua unaingilia mada hujui! Kama mwenzako alishashindwa kujibu hilo swali hadi akaachana nayo wewe ndio utaweza? Hizo picha umeleta unaona kuna mwenye anauza maji? Hiyo ndio ilikuwa ni mjadala kati yangu na yule kilaza mwenzako. Acha kudandia train kwa mbele. Niletee picha ya trolley za wauza maji cbd kama hii yenu
Huyo kilaza alikuwa akidandia train kwa mbele achana naye. Hiyo story ya trolleys ilikuwa kati yangu na kilaza mwenzake ambaye alishakimbia kwa kukosa jibu. Yeye anakufa kifo cha maji. Mpuuze tuUnateseka hadi unatafuta historia kujiliwaza🤣😅😅😅😅.., si you google earth sahi hizo maeneo umeweka then zoom out closely uone kama utaona kile ume post, na ukipata sahi, right now infront of city hall kuna taka nafunga account, I dare u dogo, just google earth tuone, Niko hapa, propaganda za abunuasi hazinipiti.,😅😅🤣🤣🤣, yani unabakia ovyo siku zote🤣🤣😅😅😅🤣.,
Shitty looking houses that they proudly call dreamhouses. Ila wenzetu jamani!! 🤣 🤣 🤣 🤣Masikini wa fikra hakombelewibrahisi.,🤣🤣🤣😅😅., itabidi uombewe, umeganda akili😅🤣🤣😅, kwani unemployment inamaanisha mtu hajiwezi ama hana kwao? ama uko wa kwao, nyie mmejazana Dar na kuongeza ufukara wa vijijini, ndio maana mumefinyana in those shitty looking houses across Dar., hauna lolote la kiniambia dogo, uko way below in your reasoning 😅🤣🤣🤣😅😅.,
ZOOOOM!!
Tanzania ya CCM 😂😂, nyinyi wengine muna amuliwa mnako pelekwa, hamna lenyu🤣😅😅😂..,Kenya ya Kenyatta, Tanzania ya Watanzania
Huyu ndo yule taahira wakupost maziwa, haya leo post tena tucheke😂Kenya ya Kenyatta, Tanzania ya Watanzania
kenya ukitoa nairobi wanaishi m,aisha ya dhiki sana, poor kenyansEti wana maisha hawa watu 🤣🤣🤣🤣 nye nye nye kila mtu kenya anatumia gas mamaeeee watu asilimia arbaini hawana kazi wala ajira alaf hao hao ndio wanandoto ya kumiliki ardhi nairobi😄😄😄😄
View attachment 1781902View attachment 1781903View attachment 1781904View attachment 1781905View attachment 1781906
Huyu jamaa ni muongo muongo huyu msimwamini huyu yani huyu ni pungasese .. eti huyu Coco reborn anasema kila nyumba Kenya Ina gesi 😂😂😂. 👇. . Muache uongo uongo nyie mungiki
CCM ni nini!?Tanzania ya CCM 😂😂, nyinyi wengine muna amuliwa mnako pelekwa, hamna lenyu🤣😅😅😂..,
Yuko wapi huyo!?Huyu ndo yule taahira wakupost maziwa, haya leo post tena tucheke😂
Usione aibu post maziwa na toothpick kama kawaida yako😀Yuko wapi huyo!?
Hizo video hapo ni wapi mdogo angu.? Sio kenya hapo.? 😂😂 Mnataka kutulisha matango.?Usituforce tufanane, gesi kenya si luxury ni neccessity lazima umiliki. Mkipigwa bao kubalini mbona tuusan amekubali bila ubishi.