Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuelimisha mitanzania ni balaa!, alafu wanasema hatuwapendi but ni fikra zao zinashangaza.,
😂😂😂😂 Eti hamtupendi? Kwani nani hata anataka kupendwa na ninyi? 🤣🤣🤣

Sura zenyewe za kuvuta huo upendo hamna 😜😜😜
 
Subiri kaka,,ata ya Thika superhighway mlisema haitajengwa,,jionee BRT station ikijengwa sasa

View attachment 1781056

View attachment 1781057

View attachment 1781058

hiv hamjionni kuwa mnakurupuka na kuchekesha sana?? hiv hiz vibanda vinaweza kuaccomodate abiria during peak hours?? au ndo watapanga folen hadi nje hadi barabara za pili huko.. vyetu vyenyewe nilivyovikubwa watu wanapanga folen hadi nje sembuse hiv vibanda vyenu? mnakurupuka kama mlivyojenga the ultra modern terminal in nairobi

pia, hapo sion usalama wowote wa kuzuia watu kuingia bila kulipa.. kunaonekana kbsa kipo level sawa na barabara

nyingine geza kaeleza kwenye zile ngazi za kwenda kwenye footbridge, mmewaconsider walemavu wanaotumia vile vibaiskel vyao?
 
nangoja dude likianza kazi!

Na jinsi wakivyojenga hapo Kati na Chini chini..gari ikikosea njia inakivaa kituo chotre..very risky..hawajiulizi why ss vituo vipo juu
 
Clean city,,
si kwa nia mbaya
20210511_193700.jpg
 
Na jinsi wakivyojenga hapo Kati na Chini chini..gari ikikosea njia inakivaa kituo chotre..very risky..hawajiulizi why ss vituo vipo juu

mtu kachoka zake maisha anaplan aondoke na watu, akifikiria hivi vituo ni rahis sana kusepa na watu.. anaplan akikaribia tu hapo anakunja kulia.. anapiga kituo.. anatokea upande wa pili wa barabara
 
Back
Top Bottom