Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 1781002
Hesabu na njia za kutokea na kuingia uite lanes uchekwe sasa🤣🤣🤣🤣
Hehe hizo Ni 12,,kwani service lanes si njia za gari,,ama ni za kupitia mguušŸ˜‚eti njia za kuingia na kutokeašŸ˜‚šŸ˜‚we hujielewi,, service lanes huenda sako kwa bako na highway from start to end so they should be included
 
Walisema kutakuwa na Barabara za Brt kwenye express way tusubir tuone finishing yake🤣🤣🤣🤣
Matatu italipa,,kwani pesa kwako ni shinda na husemi usaidiwe hapa jf,šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Walisema kutakuwa na Barabara za Brt kwenye express way tusubir tuone finishing yake🤣🤣🤣🤣
Subiri kaka,,ata ya Thika superhighway mlisema haitajengwa,,jionee BRT station ikijengwa sasašŸ˜œšŸ˜œšŸ˜šŸ˜šŸ˜‚šŸ˜‚

Screenshot_20210511-173827.png

Screenshot_20210511-173959.png

Screenshot_20210511-173912.png
 
We hujielewi,,kwani mchina analazimisha mtu kupita kwa expressway šŸ˜‚šŸ˜‚Kama huna ya kulipa unapitia tu barabara ya kawaida tu😁hii Kenya tunajua kujipanga kweli #uhurunakazi
Haya kila la kheir majirani🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hehe hizo Ni 12,,kwani service lanes si njia za gari,,ama ni za kupitia mguušŸ˜‚eti njia za kuingia na kutokeašŸ˜‚šŸ˜‚we hujielewi,, service lanes huenda sako kwa bako na highway from start to end so they should be included
Hio 8 lanes njia ya kuingia nakutoka hua haziwehesabiwi kwenye lanes punguza upupu kichwani🤣🤣
 
Walisema kutakuwa na Barabara za Brt kwenye express way tusubir tuone finishing yake🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 mchina kawanyea tena kichwani kwa mara ya pili bado lamu port sasa hio ndio itakua balaa
 
We hujielewi,,kwani mchina analazimisha mtu kupita kwa expressway šŸ˜‚šŸ˜‚Kama huna ya kulipa unapitia tu barabara ya kawaida tu😁hii Kenya tunajua kujipanga kweli #uhurunakazi
Kupita mutalazmishwa na kulipa mutalipa na maumivu mutayaskia manake lazma serekali itengeze mazingira magumu sana huko kwengine ili mutumie kwa lazima na mchina atengeze pesa 🤣🤣🤣 hata SGR simulilazmishwa kutua au umesahau
 
Kwani ile toll yenu mwapita bure.
Sisi pesa inakwenda kwa serekali nyinyi je?? Itakwend kwa nani ??? 🤣🤣🤣 Hamuna akili yakumshinda mchina nyinyi wakat nchi imefika kwenye red line kwenye debt crisis
 
Back
Top Bottom