Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Je uko na ushahidi kwamba wakenya wamesabotage shughli zenu?? Kama jibu lako ni la jua basi wewe ni fear monger.
As I earlier suggested "you must be very stupid", I reinstate my suggestion.

It's not a crime to read and re-read something until you fathom what has been communicated.
 
Sie wazoefu wa haya mambo,tuna reli inayoenda mpaka south africa
3 May 2021

Arrivals \\ ROVOS Rail luxury train arrives in Lusaka from South Africa en-route to Dar-es-Salaam



The Rovos Rail is a private luxury train that goes from Pretoria to Dar-es-Salaam on a 2 week journey. It comes through Victoria Falls, Livingstone and proceeds through Lusaka Kapiri and onwards to Tanzania.
Source : the khumba guy
 
Elite residence progress. 20 floors
1618060500271.png
1618060346182.png
1618060319482.png

A nice cluster is forming around GTC. This place will have around 9-10 buildings with over 20 floors once all the projects here are done
 
Juzi kenyata anataka tushirikiane kwenye utalii 😄,kishasahau alivyojaribu kuanzisha cow na kutaka kututenga 😄,wazungu wameanza kushtuka vivutio vingi vipo TZ now mungiki wanataka ushirikiano 😄
Na hao ndio watalii wenye pesa sasa sio wale wanakwenda masai mara wanalipia hotel za 20$ Per night🤣🤣🤣🤣

🤣🤣🤣 huyo ni kilaza wa aina yke
 
So unafkiri ukiweka toll unalipa nn mawe au?? Au unafkiri bei yake itakua kama ya kununua githeri 😄😄😄 au unafkiri mchina hana akili
Hizo pesa mpaka watanzania watalipa😁😁😁😁 mmezoea kutumia miradi yetu bure, leo mmepatikana😂😂😂
 
Sisi pesa inakwenda kwa serekali nyinyi je?? Itakwend kwa nani ??? 🤣🤣🤣 Hamuna akili yakumshinda mchina nyinyi wakat nchi imefika kwenye red line kwenye debt crisis
Hio barabara tunalipa sote mpaka mchina😁😁 unapinga???
 
Pipeline ikifika tanga pale nyingine inaenda moshi arusha nyingine mombasa na nyingine uganda na hii ndio plan 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Watanzania wenzako wanalalamika kwanini kenya iuziwe gesi ilhali nyumbani hamjitoshelezi.
 
Ushirikiano wakat utakii kwao umekufa 🤣 inestors wamefunga alot of hotels na wengi wamekua jobless over one million people
Jk alikua anamchora tu kwenye tv 😄,naamini bi mkubwa alipewa picha yote na jk wakati yuko kule kule kunyaland na ndio maana akakomaa na ushirikiano wa kibiashara,sijamsikia kule akiongelea utalii,aviation wala work permit,pipeline kaongelea kijuu juu sana 🤣
 
Watanzania wenzako wanalalamika kwanini kenya iuziwe gesi ilhali nyumbani hamjitoshelezi.
Kuna mambo mengi sana yanazuia gas kufika majumbani mojawapo Ni poor planning of residential areas,majority of us are still using charcoal n fire woods for cooking,sababu ni tele. ..pia bado serikali haijahamasisha vya kutosha matumizi ya gas majumbani....
 
Huyo mama ukimtazama tu kwenye rangi ya ngozi utajua tu kwamba ana damu ya kiarabu. Mababu zake walikuwa ni waarabu. Yaani ana ngozi nyeupe pepepe.
View attachment 1780281Mimi nataka niletewe ngozi nyeusi tititi iliyowekeza mamilioni ya USD katika viwanda vikubwa huko TZ. Mengi ndiye alikuwa ngozi nyeusi aliyewekeza katika biashara kubwa kubwa ila kasepa.
Leteni watu sampuli hii hapa chini waliowekeza mamilioni ya USD katika viwanda huko TZ.
View attachment 1780282View attachment 1780283


Kumbuka watu ngozi nyeusi tititi ndio majority ya watu wa Tanzania. Hawa watu wenye ngozi nyeupe pepepe ni minority huko Tanzania. Ni wachache mno.
Wewe mpumbavu kweli
Hili ni soko la dhahabu yaani hapo wanunuzi wa dhahabu ni wa bongo na wana uwezo hata wa kununua hundreds of gold kilograms kwenda kuiuza Dubai

Fanya tena analysis yako ya kipumbavu

 
Kuna mambo mengi sana yanazuia gas kufika majumbani mojawapo Ni poor planning of residential areas,majority of us are still using charcoal n fire woods for cooking,sababu ni tele. ..pia bado serikali haijahamasisha vya kutosha matumizi ya gas majumbani....
Huku kenya, gesi katika nyumba ni swala la lazima sababu makaa bei ghali sana, nashangaa bado tz mnatumia kuni.
 
Back
Top Bottom