Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We tena ni mzalendo, mbona unawanengukia maneberu tena live .ole wako hayati katangulia lkn ungelikipatapata
Leo waziri wa mambo ya africa wa uingereza anaingia TZ kuonana na mama,atakaa bongo siku 2,kama nawaona mungiki watakavyonuna
 
. Kenyans wanaoiga kelele kuhusu watu weusi wa TANZANIA hawaonekani kwenye list ya wabongo wenye hela 😂😂 ikiwa uku hadi wa mama/mama moja mweusi una uwezo wa kuweza 50m-60m us dollar .. Tony254 Yosef Festo Coco reborn njoeni hapa mpate funzo. NB .hii ni uko porini geita 😂😂

Kunyaland mtu mweusi mwenye uwezo wa kuwekeza hivyo lazima atakua mwanasiasa,huwezi kukuta raia wa kawaida ana mshiko wa maana
 
Mambo yapo mwishoni kabisa
IMG_20210511_080719.jpg
IMG_20210511_080716.jpg
IMG_20210511_080713.jpg
IMG_20210511_080710.jpg
 
Express way inajengwa na mchina kwa fedha yake na ataimiliki kwa miaka 30 na mutatoa ushuru kwa miaka 30 bado unakenua meno wakat mumeingia mkenge tayar kama SGR🤣
😂😂😂😂Sa stress yako ni kulipa tu,hio si issue,,ata walipishe 100 yrs tutalipa,that road is classic men😍😍
 
Back
Top Bottom