President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Misumari hii imeacha maumivu makubwa kwa wakunya
Planning zero kabisaMisumari hii imeacha maumivu makubwa kwa wakunya
View attachment 1781231
Lazima tulie maana hiyo quality mbovu sana.View attachment 1781229
Hiyo road ikiisha Wakenya mtalia.
Kenya mpaka maskini wananunua gesi, makaa yanapimwa kidogo alafu moshi tupu.
Wewe mpumbavu kweli
Hili ni soko la dhahabu yaani hapo wanunuzi wa dhahabu ni wa bongo na wana uwezo hata wa kununua hundreds of gold kilograms kwenda kuiuza Dubai
Fanya tena analysis yako ya kipumbavu
Yani hii ni mess nyingine kenyatta kaandika kwenye historia ya kenya 🤣🤣🤣 baada ya SGR na lamu portHizo pesa mpaka watanzania watalipa😁😁😁😁 mmezoea kutumia miradi yetu bure, leo mmepatikana😂😂😂
Acha roho mbaya...Lazima tulie maana hiyo quality mbovu sana.
Yani aeke hela yake pale alaf alipe basi atakua mwendawazimu 🤣🤣🤣🤣🤣 hio ni mess mzeeHio barabara tunalipa sote mpaka mchina😁😁 unapinga???
Yani tumepunguza nafuu ya kuleta bomba tanga ndio nafuu yetu maana 🤣🤣 mama kacheza kama peleWatanzania wenzako wanalalamika kwanini kenya iuziwe gesi ilhali nyumbani hamjitoshelezi.
Ishu kubwa nadhani ni ile kabanga Nickel au?Wasimuangushe tu mama yetu!
Hujaelewa point ya tuusan kasema planing ya kupeleka mabomba majumbani sio zike gas za kununua kwenye cylinder huku zimejaa watu wanazo na bei nzuri tu yeye anazungumzia mabomba direct to homes hio kwenu ni historia ya miaka 100 mbele🤣🤣Huku kenya, gesi katika nyumba ni swala la lazima sababu makaa bei ghali sana, nashangaa bado tz mnatumia kuni.
Me niliamua kumuacha mana anaonekana ni layman wa gas.Hujaelewa point ya tuusan kasema planing ya kupeleka mabomba majumbani sio zike gas za kununua kwenye cylinder huku zimejaa watu wanazo na bei nzuri tu yeye anazungumzia mabomba direct to homes hio kwenu ni historia ya miaka 100 mbele![]()
Na ule mji uliozukwa na slums plan ikwapi 🤣🤣🤣👇👇👇👇Planning zero kabisa
Eti kenya maskini ananunua gesi 🤣🤣 hvi kuna nchi east africa gas ni bei rahisi kuliko tanzaniaKenya mpaka maskini wananunua gesi, makaa yanapimwa kidogo alafu moshi tupu.
Yani mambo ya gas aachane nayo sisi huku tunatumia mpaka kwenye magari ya uber na bolt yanaongoza 🤣🤣🤣🤣
Kuna mpumbavu mmoja kauliza eti nani ame finance mradi wa mbezi kibaha highway 8 to 12 lanes 🤣🤣🤣🤣🤣 sijui nimjibu au niache, yeye alijua na sisi tumechukua loan kama wao walivochukua ya thika 😁😁😁
Yani hii ni mess nyingine kenyatta kaandika kwenye historia ya kenya 🤣🤣🤣 baada ya SGR na lamu port
Hii barabara tunalipa sote jiulize kwanini imeanzia JKIA😁😁 wageni ikiwemo malazy ndo mtalipa sana, akili kubwa😝😝Yani aeke hela yake pale alaf alipe basi atakua mwendawazimu 🤣🤣🤣🤣🤣 hio ni mess mzee
So mchina akilipa alaf hela yake inaenda kwa nani???😅😅😅 ni sawa na kutoa mfuko wa shati kuweka wa suruali ama ni namna ganiHii barabara tunalipa sote jiulize kwanini imeanzia JKIA😁😁 wageni ikiwemo malazy ndo mtalipa sana, akili kubwa😝😝