The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Mada ilianzia hapa [emoji3516][emoji3516]S70k hapo nilipunguza tu,ilala nyumba zinauzwa zaidi ya pesa hiyo,na wanaonunua hapo wananunua kiwanja kwani wanavunja hizo nyumba na kujenga ghorofa,na kuhusu muonekano wa roof usikutishe,hapo ni mitaa ya kueleweka dada
Sasa wewe ukaanza kutaja ubungo, so Ubungo ipo ilala?Wapi mahali nimetaja Ubungo hapo? Mbona unatapatapa?
Sent using Jamii Forums mobile app