tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Barabara iko sawa ila izo nyumba ni cheap ,nothing to brag abtKuna mtu sijamuelewa hapa kwenye forum, husema kwamba mzungu akisema kitu ndo hivyo basi??? Akili gani hii??? Kwani mzungu ndiye mungu wake au vipi??? Akasema hapa kuwa mzungu amesema Umoja, Donholm yani Eastlando in Nairobi ni Slum. Sawa iwe ni slum, na kama hapa ni Slum, Dar ita itwa nini??????? Maana hapa pameshinda Dar mara Ishirini.
View attachment 1775793
View attachment 1775794
View attachment 1775795
Kama nadanganya, mtu achukue muda wake akatazame zile video humu za ujenzi wa SGR Dar. Zina aerial views nzuri za kufunga mjadala.