Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Kipindi uhuru kachaguliwa tena kuwa Rais wao Magufuli hakuhuthuria uapisho, ilikua national debate Kenya why JPM didn't attendMagufuli amefanya Rais wa Tanzania aogopeke na aheshimiwe sn, ona Wakenya wanavyomtetemekea Samia bado wanahisia za kimagu magu viumbe wengine atari yn mtu kafa lkn bado anatawala[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app