Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunakuja sasa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Mama angethubutu kutamka wakenya nao waje Tz kufanya kazi Tanzania bila work permit kesho Teargass na familia yake yote wangekua dar lux,but bi mkuu kaukwepa huu mitego yote,sio ajira utalii wala avition hotuba zake zote kakomaa na ushirikiano wa kibiashara tu ๐Ÿ˜…,biashara biashara biashara ๐Ÿ˜…
 
Nimecheka pale makampuni zaidi ya 500 kutoka Kenya kuunvest only $1.7bn yn ukifanya average ya kila moja imeinvest kiasi gani ndio utajua hizo kampuni 500 ni km za washona viatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Waruhusu wawekezaji from Tz waende Kenya alafu muone kwnn Tz tuna millionaires wengi EA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale muhimbili kuna local carwash wakenya,wanaosha kwa ndoo na matambala,labda huko kwao wanadai wamefungua kampuni ya kuosha magari TZ na yenyewe iko kwenye ile orodha ya kampuni 500 ๐Ÿ˜‚
 
Nimecheka pale makampuni zaidi ya 500 kutoka Kenya kuunvest only $1.7bn yn ukifanya average ya kila moja imeinvest kiasi gani ndio utajua hizo kampuni 500 ni km za washona viatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Waruhusu wawekezaji from Tz waende Kenya alafu muone kwnn Tz tuna millionaires wengi EA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hayo makampuni makubwa ni yale foreign owned ambayo subsidiary zake za Kenya zime-invest Tanzania kama EA Brew, Unilevel na many of flower firms! Hamna hata moja la kizawa la Kenya lililo na muscles ya ku-invest over $100 mln!
 
Pale muhimbili kuna local carwash wakenya,wanaosha kwa ndoo na matambala,labda huko kwao wanadai wamefungua kampuni ya kuosha magari TZ na yenyewe iko kwenye ile orodha ya kampuni 500 [emoji23]
Hawa wa kuosha magari kwa matambara waje tu tupambane na hali. Nawaonea huruma sana. Kwao hali ya umasikini ni mbaya sana. Waje tu kuhangaika [emoji23]
 
Your president said either compet and complicate things or go cooperate and do the the business pande moja mna UHURU wakufanya biashara na SULUHU wa kuenda vikwazo ๐Ÿ™‚๐Ÿ˜›
Mzee Kazi yangu vipi mbona unavunga. Imekushinda sasa ni miezo 6 imepita.
 
Hawa wa kuosha magari kwa matambara waje tu tupambane na hali. Nawaonea huruma sana. Kwao hali ya umasikini ni mbaya sana. Waje tu kuhangaika [emoji23]
Waje kufanya nini? Wa Tanzania wameshindwa kufanya hizo kazi?
 
Is that three level ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ hvi ww akili yako iko sawa kweli hio na pangani interchange inatofaut gani hebu tuanzie hapo???๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Okay it's one level,moving on swiftly
 
Ya mchina kwa ajili ya mchina kwa miaka 30 mukilipia ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ aisee ni kichaa tu anaeza kubali
Expressway Westlands,hii ata kulipa 100yrs naweza,,kitu safi ,๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Screenshot_20210505-223411~2.png




Screenshot_20210504-181431~2.png
 
We fala kweli yn Azam anauzia wazungu huko ulaya na wamekubali standards eti we mnuka mavi wa mathare unasema hazina standard unajisikia lkn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiria anatoa bidhaa Tz moja kwa moja ama anawekeza na kutengeneza huko huko?.,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nyie kawadharau anawatengenezea vitu uchwara๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Zoom sasa hapo uone nyumba za matope mpaka utachoka ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Lia hadi basi., Mombasa sio Dar , ukipata nyumba ya tope in that area hapo nafunga account., Dar is slum in EAC๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., vumilia na usonge mbele, Kiswahili punguza, wacha picha ijiongelee.,
 
Rais wenu alivyo mpumbavu anasubiri reciprocal ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mtakaa sana
Tanzania mtabaki kuiona kwenye bongo flava na bongo movies
Hamuna kende ata kidogo ni domo domo, kama mko na uwezo si mgefungua tupatane uso kwa uso, mko ovyo hakuna chenye unaniambia wewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., na bado tutawatafuna, wakulima wanaleta mazao yao kwa bei uchwara, raw materials pia, we process into finished goods and export as made in Kenya and make dollars, idiots!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mumeingia box kirahisi sana!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Watu wa roho mbaya ni watanzania, wengi wamenuna, as we appreciate, mko ovyo vichwani., Kenya is a big brother Tanzania is a whining baby๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., jiangalie kwanza, chunguza vile raiya wenu na viongozi wanavyofikiria๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, pole bro, hii tabia yenu sio laana ni ujinga tu, na dawa iko.,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.,
 
Yani Kenya watakuja kutumia Rasilimali ZETU kutajirisha nchi yao alafu sisi serikal yetu inafuraia Ajira za mishahara ya laki laki yani kwenye Rasilimali ZETU tunapata asilimia 1% ya 100 alafu 99% zinaenda Kenya kwa kutupoza wanasema tukauze maind [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona tayari๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., mwenzako kaudhika anataka ukojoe ulale๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ichoboy01 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mama angethubutu kutamka wakenya nao waje Tz kufanya kazi Tanzania bila permit work kesho Teargass na familia yake yote wangekua dar lux,but bi mkuu kaukwepa huu mitego yote,sio ajira utalii wala avition hotuba zake zote kakomaa na ushirikiano wa kibiashara tu ๐Ÿ˜…,biashara biashara biashara ๐Ÿ˜…
Hatutaki kukuja into poverty stricken country, tunataka mlete raw materials haraka upesi., Kaeni huko huko kwa poverty na low life., superstition and mediocrity.., naah we don't want., It is your resources we are after not your country, get it clear, and we have them๐Ÿ’ช๐Ÿ˜๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Pale muhimbili kuna local carwash wakenya,wanaosha kwa ndoo na matambala,labda huko kwao wanadai wamefungua kampuni ya kuosha magari TZ na yenyewe iko kwenye ile orodha ya kampuni 500 ๐Ÿ˜‚
Nyie omba omba wako kwa ile orodha ya kampuni 23๐Ÿ˜…๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., always the worst๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Waliopinga hapa kuwa uchumi wa Tanzania imeshikiliwa na Wakenya wapo wapi.

Bwana wenu Mwarabu Rostam Aziz ametufungia hilo.

Screenshot_20210506-082555.png
 
Tunakuja sasa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Mnakuja kuzubaa zubaa tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.,
1620224610388.jpg

Mko ovyo, hapa mtakuja kutalii na kuzubaa zubaa tu, Mtajua hamjui., Wacha tumenyane na waarabu wenu na wahindi nyie mikwara bakini tandale muendelee kutizama kwa mitandao, jamii forums haswa, na through Azam or Millard Ayo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.,
 
Back
Top Bottom