Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani we Kachengcheng umemaanisha unaweza kununua hili jengo πŸ‘‡. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mr Mapesa , serikali yenu yenyewe haiwez jenga hii πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 1774167View attachment 1774168View attachment 1774169View attachment 1774170
Mkiti

A mosqueπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., sasa imepata the right resident.
 
Ngoja Tuone,Sasa hivi Ni Fair trade,Mutajua hamjui my Friends[emoji857][emoji1139]
hapo hakuna chochote hapo kitakachozingatiwa ni suala ya hilo bomba la gesi tu hivyo vingine kuhusu kuruhusu watu kuwekeza vitabaki na figisu kama vilivyokuwa
 
Ww kataa kubali azam kashika coast ya kenya na baadhi ya maeneo ya bara kenya na tusibishane kwa hili nakwambia 🀣🀣🀣
Which coast? Been in Mombasa for the last two years they are not popular!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Products are there but not popular at all!., Coca cola anauza Mombasa kushinda Azam by far!,., products uchwara haziwezi Kenya, hilo nakuhakikishia wewe mwehuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Wewe ni kilaza kabisaa!., Kaa ukijua., hujui popularity sio mapato, Azam ni TV(decoder) na football clubπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,so kwasabavy wengi mnatazama Azam Tv n club mnadhani Azam sasa ndio kusema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, weka annual profit yao tuone hawezi kua wa kwanza hata hiyo Tz yenyeweπŸ˜‚.,
Oya jamani mnaskia huyu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Azam sio tv decoder, tv na Azam club tu wew mjomba,Azam ina vyaluka, vinywaji, na vitu kibao ambavyo ni popular Africa nzima n bado haipo kampuni ya Kenya ya kushindana na Azam, ukibisha ngoja ukibisha nakupa fact MZEE, n guess what tz kuna kampuni kibao zinazoipiga gepu Azam
 
Which coast? Been in Mombasa for the last two years they are not popular!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Products are there but not popular at all!., Coca cola anauza Mombasa kushinda Azam by far!,., products uchwara haziwezi Kenya, hilo nakuhakikishia wewe mwehuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Coca cola ni brand ya Kenya.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .. taja brand za kenya ambazo zinaweza shindana na brand zetu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. heb zitaje au hakuna .?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Hawa jamaa vipi.? Nimemtaka huyu jomba Yosef Festo ataje kampuni kubwa za uko kwao Kenya anazodai eti zinaingiza faida kubwa kuliko kampuni za tz, naona anaruka ruka tu eti wao wanapata faida kubwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hovyo kabisa
Kaka kilaza, sasa unataka nijibu rhetorical questions! Since when?., such obvious facts I ignoreπŸ˜‚ Nikama kuniuliza Kama akina dada wanataga mayai ama wanna zaa?., Boss check yourself, kiddish contests peleka vijiweni, data ziko tu waazi, can't massage your ignorance and laziness πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., you have to prove me wrong with facts showing comparison analysis, hekaya za abunuasi peleka mbali.
 
We ni mpuuzi sana, nimekupa kazi rahisi sana leta kampuni ya kenya kubwa unayoijua wewe tulinganshe na kampuni za tz , mfano kampuni ya Azam pekee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Which coast? Been in Mombasa for the last two years they are not popular!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Products are there but not popular at all!., Coca cola anauza Mombasa kushinda Azam by far!,., products uchwara haziwezi Kenya, hilo nakuhakikishia wewe mwehuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Uheheheheh maumivu kwenye area yake 🀣🀣🀣🀣 azam tv imeshika coast ya kenya kila ukipita mombasa dish zote azam tv alaf unataka kutuambia nnπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Unafkiri hawayajui hayo wakenya.? Wanayajua yote hayo wanaogopa kupigwa bao tu.. tz ipo vizur bhana .. hii EA hakuna nchi ya kushindana na tz kwasasa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wekezeni na kwa akina DRC, South Sudan, Uganda, Rwanda, Burundi n.k., above what Kenya has done tuone piaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hadithi hadithi hatutaki, eti hakuna nchi ya kushindana na Tz!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Kiswahili mingi bure kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uheheheheh maumivu kwenye area yake 🀣🀣🀣🀣 azam tv imeshika coast ya kenya kila ukipita mombasa dish zote azam tv alaf unataka kutuambia nnπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Unadanya wenzakoπŸ˜‚πŸ˜‚, Azam can't beat GOTV and Zuku in coastπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, unapenda kujikweza mr. Mwanza, sasa wewe unaishi Mombasa kunishinda eti?., Uko ovyo sana, wewe ni muongo sana, nikama wewe ni kafiri hivi, hauogopi kudanganyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., MwehuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wekezeni na kwa akina DRC, South Sudan, Uganda, Rwanda, Burundi n.k., above what Kenya has done tuone piaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hadithi hadithi hatutaki, eti hakuna nchi ya kushindana na Tz!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Kiswahili mingi bure kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa mfano, league ya Ug, Rwanda na Burundi, Azam ndio wanairusha live .. bidhaa zetu zetu uko ndio zinatamba kila chochoro yani ni kama makoloni yetu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, mtatuambia nini bhana .. mambo ya ajabu kabisa
 
Oya jamani mnaskia huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Azam sio tv decoder, tv na Azam club tu wew mjomba,Azam ina vyaluka, vinywaji, na vitu kibao ambavyo ni popular Africa nzima n bado haipo kampuni ya Kenya ya kushindana na Azam, ukibisha ngoja ukibisha nakupa fact MZEE, n guess what tz kuna kampuni kibao zinazoipiga gepu Azam
Achana na huyo mbu mbu mbu.

Azam is the jewel of East Africa in continental brands ranking.

Azam was Tanzania's number one top of mind brand and came at number five in the ranking of most admired African brands when prompted, according to the 2020 Brand Africa 100 survey. The survey is the continent's best brands highlight which is done every 10 years.

Back
Top Bottom