Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Vikwazo vikiondolewa sisi tunawatawala nyie mbuzi .. mtashindana na sisi kwenye nini.? πππ .ikiwa hata chakula hamuwezi kuzalisha .? ππWhat a speech ππhizo vikwazo mkiondoa,,tnateka Tz yoteππ
https://www.facebook.com/
We jamaa unanichosha sana πππ. Nyie hamtuwezi bhana, hebu lete kwanza kampuni ya Ken
Ujinga na utoto zitakuuwa siku mojaππππ., Kaa ukingoja uone., wewe nikama kiumbe cha ichoboy01 πππ , mnafana sana πππ., so relax wacha kuhema sana.,Vikwazo vikiondolewa sisi tunawatawala nyie mbuzi .. mtashindana na sisi kwenye nini.? πππ .ikiwa hata chakula hamuwezi kuzalisha .? ππ
Be the judgeπ€£π€£π€£π€£π€£ then speak truth is that how three or four level interchange looks like??
π€£π€£π€£π€£π€£ then speak truth is that how three or four level interchange looks like??
Huyu atajinyonga when the road is done, akuonyeshe anything like that outside Dar, kisha ni tagπ., ama what Kisumu has or is doing on roads outside Dar.,
Kimsingi Kenya haiwezi kuwa na lengo la ku-export gas kutoka Tz in the near future. Huo utakuwa zaidi ya ukichaa kwao.[emoji3516][emoji3516] labda pia wajenge plant ya ku compress gas into liquid useme watauza mitungi kitu ambacho hamna, hyo plant itajengwa Tz, ss cc tunahofia nn? Ok ngj waje wataalamu kina Geza Ulole joto la jiwe Uhuru n Umoja Tanzanature and the likes waje watuambie.
Sent using Jamii Forums mobile app
mna capital? Au mnaenda kuomba Mchina kutia dole?What a speech ππhizo vikwazo mkiondoa,,tnateka Tz yoteππ
https://www.facebook.com/
Apart from your assumptions and opinions, kama kawaida yenu, this is a fair enough response., though ni maoni yako tu.Kimsingi Kenya haiwezi kuwa na lengo la ku-export gas kutoka Tz in the near future. Huo utakuwa zaidi ya ukichaa kwao.
Kwa kuzingatia kanuni za uchumi wa usafirishaji ni more economical kuelekeza hilo bomba Mombasa kabla ya Nairobi hata ikiwa Nairobi ndiko kuna viwanda vingi.
Miji ya pwani ina potential kubwa zaidi ya kuwa industrialized kuliko ile ya inland. Hapa nazungumzia miji iliyoko kati ya Dar na Nairobi (Tanga inclusive). Hivyo bila shaka wanatambua kuwa sisi tutataka bomba lipite kwanza Tanga.
Pia hizi nchi zetu bado hazijajenga misingi ya industrialization. Ili ujenge sekta imara ni lazima ujenge kwanza basic industries ambazo mainly ni steel & chemical.
Ukiiangalia Jiografia ya Kenya, ni wazi mji unaopaswa kubeba hizo heavy industries ni Mombasa (kwa kuanzia na pengine Lamu hapo baadae). Gesi ni input kubwa sana kwenye basic industrialization.
Hivyo ni wazi bomba lazima liambae kwenye Pwani ya EA kisha kuwa branched kuelekea mainland.
Nadhani itakuwa rahisi tu kuliextend kutoka Mombasa hadi Nairobi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magu alipindua meza mkuu. Pindi wanaongea hizo kitu hata sisi huenda "ma-genius" wetu wa wakati ule walikuwa wanapanga sisi pia tununue umeme nje. Ndiyo sababu huenda ile njia ya kusafirisha umeme Tz to Ethiopia ina design ya kupeleka na kuleta umeme.Mlikuwa mnasema hapa kwamba mtanunua umeme wa Ethiopia imekuaje tena [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji1139][emoji117][emoji205][emoji529][emoji2781]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeua [emoji23][emoji23][emoji23]Sikieni hiii pimbi hio ilikua deal ya magufuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116] na mumeingia mule mule alipopataka
View attachment 1773625
View attachment 1773626
Nilisema hapa jana. Wakenya wanaofurahia destination Mombasa kwa minajili ya "udalali" ni very short sighted.Wakenya wavivu sn wa kufikiri eti wanashangilia sisi kuwauzia umeme na gas yn wanahisi gas yetu wao ndiyo watakuwa mawakala km walivyofanya kwenye mazao, ss hawajiulizi kwamba gas hiyo hiyo tunayowauzia ndio hyo hyo inayopatikana kwa wingi hapa kwetu, yn customer watoke wanapotoka eti waache kuja kununua gas Tz kwa bei rahisi eti aende Mombasa akanunue kwa bei ya juu, hawajui kwamba sisi ndiyo tutakao control bei ya gas hapa EA wakileta fyoko fyoko tunashusha bei [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au labda cjaelewa, hebu wakuu nielewesheni hawa kima wanashangilia nini hapa mana km wanashangilia kupata unafuu wa maisha toka kwa baba zao Tz sawa ila km wanashangilia kuuza maana yake nini? Si utopolo huu hawa kima wanaleta [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga na utoto zitakuuwa siku mojaππππ., Kaa ukingoja uone., wewe nikama kiumbe cha ichoboy01 πππ , mnafana sana πππ., so relax wacha kuhema sana.,
Mnahangaika Sana nyie mataga,basi mnajiganya mnataka kumpangia Rais cha kufanya.ni muhimu kujikinga na corona.. lkn mama asituletee maswala ya lockdowns
naona kama anataka kwenda kinyume na JPM
angalieni replies (quotes) za hii tweets
kusema ukweli, hizi habari zinafikirisha sana. Letβs wait and see
Na ndege zimepigwa chini Safi sana
Maza bhana [emoji848] eehh eh kazi kweli kweli
Marehemu mumewenu kwa nini alikuwa anataka kubadili katiba aongoze milele kama sio mpenda madaraka?Samia amekwisha potea njia tiyali...Nimwenye kupenda madaraka na kuzulula basi...
Mataga mtapata Sana tabu ,zamu yetu kula bata na yenu kuugulia.Cool! Speech za mwanzoni tu, zilionesha muelekeo.
Nasikia, amedai kwa IMF kuwa uchumi umeporomoka to 4 point something, pia anahitaji covid mkopo na kuomba IMF kupiga tafu projects za Bwawa la Nyerere na SGR.
Nazi hakiki hizi taarifa.
Kwa sasa, group kubwa la Wazungu wameanza kusifia approach zake na kudai, "she is different from her autocratic predecessor"
Group hili la Jeffrey Smith, ukiona wanasifia, ujue tumeisha.
Wakenya kujeni miwekeze zaidi Tzn maana mnatuletea pesa,ajira,teknolojia na kutufundisha aggressiveness kwenye biasharaI do love the pipeline deal, Uhuru is very clever.
Nawashangaa wanaohadaika na hizo takwimu za kwamba tumewekeza kidogo Kenya kuliko wao walivyowekeza kwetu. The fact that tunauza zaidi kwao kuliko wanavyouza kwetu makes more sense than anything else.Kenya hakuna kitu mtanzania anaeza kuja invest, mfanyabiashara anaekeza sehemu kuna soko na raw materials zikiwepo usifkiri mtu anakuja kuinvest ovyo tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo tullow ameinvest kwenye turkana oil sasa wamejivua wanakimbia washajua hakuna kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tullow Oil suspends Kenyan oil-export program
Tullow Oilβs export and testing of Kenyaβs crude under a pilot plan ended June 2, as timelines for development in the East African nation slowed.www.worldoil.com
Infrastructure zenu nyingi hujengwa kwa BoT hivyo pesa yake haiwezi kuwa reflected kwenye bajeti. Nyerere aliwahi kusema kuwa "serikali iliyojaa rushwa haiwezi kukusanya kodi".Hio mkopo inaenda kwa Infrastructure,Nikama unaanzia Biashara unakopa pesa alafu Biashara inajilipia Deni yenyewe[emoji14]Think out of the Box Guyz
Alafu wapo na kelele kumbe ni mafiii matupu mji wenyew bora Uganda
Nairobi ni chafu, potholes everywhere, dusting on air all over, roads are pathetic and presidential motorcade filled with heaps of shit from back to forth, how on earth Toyota Noah allowed to join the damn motorcade? Full of second hand Japanese tetanus scraps [emoji706][emoji706][emoji706]
Bunge la Kenya ni kama kikao cha madiwani. π€£ π€£π€£View attachment 1774242