Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaongea ni kama Tanzania ina uchumi mkubwa kushinda Kenya.
Unaongelea uchumi gn wa karatasi au on ground, mana ukiangalia tupo mbali sn zaidi yenu anzia kwenye Ikulu jinsi ilivyo, Govt facilities etc, kuna cku zililetwa gari wanazotumia police wa Tz humu mkabisha kabisa, hyo ni ishara kwamba we are super power in EA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na musisahau kuhusisha investors wa Kenya kwa hizo deal,na zingine Kama hizo,pia nyie TZ muje muinvest Kenya pia😃
Kenya hakuna kitu mtanzania anaeza kuja invest, mfanyabiashara anaekeza sehemu kuna soko na raw materials zikiwepo usifkiri mtu anakuja kuinvest ovyo tu 🤣🤣🤣 huyo tullow ameinvest kwenye turkana oil sasa wamejivua wanakimbia washajua hakuna kitu 🤣🤣🤣🤣🤣

Hatubishi Tena[emoji14]Hio Gesi pia Inatu Benefit,Jaribu kuwaza hivi"Maviwanda,Upishi,Magari,Stima itayobaki excess Tutauza"Kenya Ina Advisers wanao ona mbali Yani Making Futuristic Desicions,come to think of it it's a win win situation
Mngekuwa mna advisers wanaoona mbali msingekuwa the failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujenzi wa nyaya za Umeme kati ya Kenya na Ethiopia umekamilika. Tutanunua umeme wetu kutoka Ethiopia. Sisi hatuna haja ya kununua umeme kutoka Tanzania.

Cc Geza Ulole

Tony na wenzie na nchi yao mda huu
IMG_1620153531.461268.jpg
 
Tha main owner ni TPDC na ndio controler wa hio business hapa tanzania na ndio mtoa zabuni wa bomba la gas hapa tanzania na ndio wanaouza gas kwa tanesco, dangote na viwanda vyote hapa tanzania 🤣🤣 na pia ni kampuni ya serekali inayoendesha faida🤣🤣🤣👇👇👇

Kwa kila Kampuni Ukiwa na Pesa utaweza nunua shares😛Nayo Suluhu amesuluhisha kwa kutuvutia investors wa Kenya Tanzania🔥🔥🙏
 
Kwa kila Kampuni Ukiwa na Pesa utaweza nunua shares😛Nayo Suluhu amesuluhisha kwa kutuvutia investors wa Kenya Tanzania🔥🔥🙏
Sio kirahisi kwa sasa kwasababu ni kampuni ya umma na inajiweza 😂😂😂 kwa sasa tulieni tuwaletee gas ili zile pesa za kuagiza nje tuzichukue sisi tujenge nchi zaidi 😄😄
 
Kenya hakuna kitu mtanzania anaeza kuja invest, mfanyabiashara anaekeza sehemu kuna soko na raw materials zikiwepo usifkiri mtu anakuja kuinvest ovyo tu 🤣🤣🤣 huyo tullow ameinvest kwenye turkana oil sasa wamejivua wanakimbia washajua hakuna kitu 🤣🤣🤣🤣🤣

Wat you don't see😛Others see it,Hapo ndipo Watanzania munapoanguka you make silly silly desicions
 
Wat you don't see😛Others see it,Hapo ndipo Watanzania munapoanguka you make silly silly desicions
Tanzania bado kuna opportunity kibao sana bado watanzania wanafursa ndio maana unaona kila siku idadi ya millionares inapanda tanzania ina millionare wengi zaidi ukichukua kenya uganda rwanda and burundi combined 🤣🤣🤣🤣 tanzania ina unemployment rate ndogo zaidi east and central africa
 
Je unajua kenya debt to GDP ratio iko kwenye red line sasa hvi?? Leo munakopa 1.5trillion kwenye budget 🤣🤣🤣👇 kenya imekwisha
Hio mkopo inaenda kwa Infrastructure,Nikama unaanzia Biashara unakopa pesa alafu Biashara inajilipia Deni yenyewe😛Think out of the Box Guyz
 
Back
Top Bottom