Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nilichokiona hapa ni ushamba na ulimbukeni na lack of exposure.. pale DMI kuna wakenya kibao
Kwani kuna shida, hata mimi nikitaka kuenda kama Greenwich Maritime Institute, mfano. Si ni hela itaongea, ama ni vipi. So wao kuwa huko sioni issue jomba. Popote kambi!
 
Mbona hamruhusiwi kuenda huko, sasa si mtu akirudi Bongo kusalimu raia na atake kurudi, balaa hiyo sababu hatoweza?

China Haijafungua mipaka yake kwa Raia yoyote ( huwezi kupata Visa sasa hivi) ( Isipokua wachache wanaomeet criteria ya kuingia China) sasa hivi ni labda uwe na residence permit ambayo imekua issued China na Umepata Chanjo ambayo imekua developed China. Kwa Hiyo kwa wabongo waliopo China wengi wana Residence permit mbalimbali na wengi wamepata chanjo Kwa hiyo Hizi directs flights watakua wanaongia na kutoka kama wanaenda posta na Daladala. [emoji41]
 
Hata Hivyo ATCL itakuala shavu la Chinese nationals wote waliopo nchi Jirani, watakuja Bongo kuondokea hapa kwenda kwao.
Jirani mwingine labda! 🤣

Screenshot_20210503_194037.jpg
 
Back
Top Bottom