The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Issue iko hivi mkuu, hawa wakunya humu tulikuwa tukiwaambia kila siku kwamba JNHP ikiisha na LNG tutakuwa tunawauzia umeme wa bei rahisi pamoja na gesi wakawa wanapinga na mmoja wao ni huyo Bwana Mapesa a.k.a spokesman of the Government of Kenya pamoja na Tony254 lkn leo wamegeuka baada ya kuona serikali yao imeomba kitu kile kile tulichokuwa tunawaambia hapa, sasa roho imewauma sn cz wanaona kwamba tunaenda kuwatawala kiuchumi.Kwa akili zenu za kijinga mnachekelea. Hiyo ni ishara ya wazi kuwa you guys are very stupid. You never think of the bigger picture. Hiyo gesi mnapaswa kuihitaji kwa ajili ya viwanda na uchumi wenu kama anavyoitaka Museveni. Instead na hizo akili zenu ndogo itakuwa mnataka kuwa tu madalali ili mfanye exports! A very stupid neighbour we have. Very short sighted.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app