Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MATAGAA
MATAGAA
MATAGAA
MATAGAA
MATAGAA
MATAGAA
MATAGAA
MATAGAA

Wafuate Magu Jehanamu->>

Deal za watu wenye uhai zmeanza kupigwaView attachment 1773570
Sikieni hiii pimbi hio ilikua deal ya magufuli 🤣🤣🤣👇👇 na mumeingia mule mule alipopataka

F9D7D790-4FE3-4B1B-BFC4-54F6ADFC3FCE.jpeg

C5CCF17B-47D0-40F2-9594-6566A11726A2.jpeg
 
Wakenya wavivu sn wa kufikiri eti wanashangilia sisi kuwauzia umeme na gas yn wanahisi gas yetu wao ndiyo watakuwa mawakala km walivyofanya kwenye mazao, ss hawajiulizi kwamba gas hiyo hiyo tunayowauzia ndio hyo hyo inayopatikana kwa wingi hapa kwetu, yn customer watoke wanapotoka eti waache kuja kununua gas Tz kwa bei rahisi eti aende Mombasa akanunue kwa bei ya juu, hawajui kwamba sisi ndiyo tutakao control bei ya gas hapa EA wakileta fyoko fyoko tunashusha bei

Au labda cjaelewa, hebu wakuu nielewesheni hawa kima wanashangilia nini hapa mana km wanashangilia kupata unafuu wa maisha toka kwa baba zao Tz sawa ila km wanashangilia kuuza maana yake nini? Si utopolo huu hawa kima wanaleta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani tumefurahi kupata soko la kudumu sasa bado uganda nae soon ata saini 😅😅😅 rwanda na burundi magari kutwa yako dar yakichukua LPG 😃😃😃😃
Na musisahau kuhusisha investors wa Kenya kwa hizo deal,na zingine Kama hizo,pia nyie TZ muje muinvest Kenya pia😃
 
Wakenya wavivu sn wa kufikiri eti wanashangilia sisi kuwauzia umeme na gas yn wanahisi gas yetu wao ndiyo watakuwa mawakala km walivyofanya kwenye mazao, ss hawajiulizi kwamba gas hiyo hiyo tunayowauzia ndio hyo hyo inayopatikana kwa wingi hapa kwetu, yn customer watoke wanapotoka eti waache kuja kununua gas Tz kwa bei rahisi eti aende Mombasa akanunue kwa bei ya juu, hawajui kwamba sisi ndiyo tutakao control bei ya gas hapa EA wakileta fyoko fyoko tunashusha bei

Au labda cjaelewa, hebu wakuu nielewesheni hawa kima wanashangilia nini hapa mana km wanashangilia kupata unafuu wa maisha toka kwa baba zao Tz sawa ila km wanashangilia kuuza maana yake nini? Si utopolo huu hawa kima wanaleta

Sent using Jamii Forums mobile app
Wao wanafkiri ni project ya mama kumbe wamesahau ni project alikua nayo magufuli na kaizungumza sana kwenye hotuba zake sasa wao wanasahau wanafkiri ni mama ndio kafanya yote hayo sasa wanahisi kama amekwenda kinyume na magufuli 🤣🤣🤣 yani ni wajinga hawana mfano
 
Na musisahau kuhusisha investors wa Kenya kwa hizo deal,na zingine Kama hizo,pia nyie TZ muje muinvest Kenya pia😃
Tha main owner ni TPDC na ndio controler wa hio business hapa tanzania na ndio mtoa zabuni wa bomba la gas hapa tanzania na ndio wanaouza gas kwa tanesco, dangote na viwanda vyote hapa tanzania 🤣🤣 na pia ni kampuni ya serekali inayoendesha faida🤣🤣🤣👇👇👇

Back
Top Bottom