Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,806
- 34,479
So what? Is it the first time France is having a civil unrest? Did it collapse during those days?France is collapsing
So what? Is it the first time France is having a civil unrest? Did it collapse during those days?France is collapsing
Hakuna basi linatengenezwa Kenya.atleast kuna mambo sikuyajua, sikuwah kujua kua marcopolo zote nchini zinatoka AVA kenya
Leta ushahidi hapa. Huu ni.mjadala.wenye watu akili timamubadala yake nilijua zinatoka south africa, tanzania leo nchi ya 6 kwa umaskini duniani
Huu siyo uzi.wa machawa wala wakaza fuvu.tumefikaje hapo mm sijui waulize machawa majibu wanayo kuna mambo mengi sana tumerudi nyuma ikiwemo mpaka below poverty line, tanzania kmeshika mkia kwenye nchi zenye furaha, tanzania imeshika mkia kwenye nchi zinazofanya kwenye demokrasia ambayo awali hatukifika hii level. sasa hvi kila
mtu chawa kuanzia msomi mpaka wajinga
TZ ina-export SUKARI.kwasasa.leo tumefika hatua tunaua viwanda vya sukari kwa kutoa vibali kuingiza sukari kiholela, how its possible leo tunaagiza mchele kutoka india na pakistan for 16.5m usd kwa mwaka over 43billion
Punguza hii illusioms ya uchawa.kwenye kusifia ntasifia na kwenye kukosoa i will do the same, uchawa ni cancer ya nchi hii, lakini wacha inyeshe tujue panapovuja
wana spidi sio poaHata ya Zenji kuna ukarabati unaendelea
Nanyi mlikuwa mnamuita hero ghala Leo mnamuona adui.😂😂
Uzalendo ndio kipaumbele,kiafrika hakuna nchi lets say akiongoza mtu fulani ndio itakua kama europe au america never,nchi zote za kiafrika maisha yetu yanashabiiana so hata sioni sababu ya kuichukia nchi ambayo vijukuu vyangu vitakuja kuishi sababu tu ya siasa za chuki!Hata mm pia lakini siwezi kuichukia nchi yangu Tanzania
Well put!Tatizo wanadanganya ili waonekane wako mbele kwa kila kitu na viongizi wao wanawafahamu nn wanacho kitaka
India yenye watu over 1 plus billion ndio yenye 14 million ya watu wanaishi kwenye umasikini?
Ya 7 kwa umaskini duniani halafu ya 12 kwa nchi zenye uchumi mkubwa afrika bila kusahau afrika ina nchi 52,sasa hizi nchi 40 zilizokua chini kiuchumi dhidi ya TZ zina hali gani!na ukiangalia miradi inayoendelea TZ kwa wakati mmoja hamna nchi ukanda huu inaweza kuendesha miradi yote hii kwa wakati mmoja,dar 80% ya barabara ziko under construction zile za tanroad na taruraYaani unachukua viposts vya wana harakati huko IG wakirifaa toka kwa takwimu za Mabeberu.
Nchi za kisoshalist or still maintain soshalist principles, namely:
China
Russia
North Korea
Vietnam
Tanzania
Belarus
Cuba
Hizi nchi hata zipige hatua vipi ni lazima ziscore low kwenye rating agencies zote za westerners kuanzia:
Human rights
Maendeleo
Democracy
Freedom
Governance
Safety
And so on.
Ni mtu tu mwenye limited understanding asiyeona wala kutambua hili.
Na source yao ni World Data Lab. 😂😂😂Ya 7 kwa umaskini duniani halafu ya 12 kwa nchi zenye uchumi mkubwa afrika bila kusahau afrika ina nchi 52,sasa hizi nchi 40 zilizokua chini kiuchumi dhidi ya TZ zina hali gani!na ukiangalia miradi inayoendelea TZ kwa wakati mmoja hamna nchi ukanda huu inaweza kuendesha miradi yote hii kwa wakati mmoja,dar 80% ya barabara ziko under construction zile za tanroad na tarura
Tatizo hawa watu huokota takwimu bila kuapply reasoning.Ya 7 kwa umaskini duniani halafu ya 12 kwa nchi zenye uchumi mkubwa afrika bila kusahau afrika ina nchi 52,sasa hizi nchi 40 zilizokua chini kiuchumi dhidi ya TZ zina hali gani!na ukiangalia miradi inayoendelea TZ kwa wakati mmoja hamna nchi ukanda huu inaweza kuendesha miradi yote hii kwa wakati mmoja,dar 80% ya barabara ziko under construction zile za tanroad na tarura