Eti nianze kusema "Kenya inatuzidi kwenye ushuzi flani" hiyo haitakaa itokee nawaambia, mm ninachojua na nilichofundishwa shuleni tangu darasa la kwanza, form 4, form six, mpk chuo kwamba hakuna nchi duniani hapa tamu kama Tanzania na iko hivyo akilini mwangu mpk cku nakufa, hii nchi Mungu anaipenda sana, unaweza kuona corona imesumbua dunia nzima mpk nchi wanazosema wao ni za ahadi lkn hapa imegonga mwamba, locust invasion imeishia Kenya, kimbunga Jobo kimeishia huko huko hapa kwetu kilitaka kuingia lkn Mungu kwasababu anaipenda nchi hii akaagiza jeshi la malaika mfano wa upepo likaenda kukifukuzia mbali, sasa leo eti atokee mtu aanze kuniambia eti Tz cjui ninini, never in my life bora kufa maamaee.
Sent using
Jamii Forums mobile app