Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee nenda kalale hujui kueleza.
Nimekuuliza GUVU maana yake ni nini!?
Wewe unaleta nguvu ya watu.
NIAMBIE NGUVU NI NINI!?

Unajua maana ya Maana!?

Ukiambiwa kutaja maana ya kitu, kwenye sentensi yako hutakiwi kuingiza neno la hicho kitu tena.

MF: ukiulizwa Nini maana ya msichana?
Huwezi kusema msichana ni mwanamke msichana.

Kwa kipimo cha maswali hayo nimegundua uelewa wako ni duni.

Pata elimu kwanza ndio uje ujaribu. Kwa sasa hujui unachokiongea.

Mungu akusaidie.
😂😂😂😂😂😂😂😂 hiyo “GUVU” nani aliandika? Mimi? Maana mimi sikuandika. Mimi nimeandika “nguvu” kwenye post yangu Kwa hiyo nilivyoona umenijibu na kuandika “GUVU” nikajua ni typo uliyoandika wewe.

Kwanza, “GUVU” ni neno la Kiswahili? Na linamanisha nini?

Halafu, Kwa hiyo Kati ya vitu vyote nilivyoandika umeona kukosoa jinsi ninavyojibu maswali?

Who do you think you are mpaka nikujibu Kwa kutumia formalities?

Wewe nimeshakwambia ni mtoto tu. Na nilikuita Kobe kiakili kwasababu uko slow kiakili! Na nilikuwa Sawa.

Ukiwa slow hata uelewa wako ni duni! Kumbe nilikuwa nadili na circus clown..

Adios.
 
Mzee niambie maana ya GUVU!?
Zaidi ya hapo utakuwa unatuletea porojo. Hujui unachokiongelea.
 
Mzee niambie maana ya GUVU!?
Zaidi ya hapo utakuwa unatuletea porojo. Hujui unachokiongelea.
Hiyo “GUVU” niliandika mimi? Sasa Mbona unanilazimisha nitoe Maana yake? We sijui jitu la wapi! You are actually psychotic! You need help ASAP!
 
Democracy ni mind game tuliletewa Africa kama obstacle ya kuendelea mbele, hakuna mafanikio yoyote ya kimaendeleo kwenye so called democracy, kama ingekua hivyo basi kusingekua na umasikini mkubwa kwenye nchi za kidemokrasia

Wazungu wenyewe democracy wameiunda wakiwa tayari wlishapiga hatua kubwa za kimaendeleo good decades ago na wengine hata leo hiyo democracy hawafati ndio maana Markel na Putin wapo madarakani miaka mingi sasa na nchi nyingi za ulaya zipo na mifumo yao ya asili ya utawala
Hakuna democracy kwenye umaskini, tuondoe kwanza umaskini ndo tushughurike na democracy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshaugeuza huu uzi uwanja wa mabishano ya siasa utadhani hamfahamu lilipo jukwaa la siasa.

Alianza wanafunzi wenye mimba kuruhusiwa kuendelea na masomo kwenye shule za serikali leo yupo kwenye demokrasia!

Nyie mnaomquote ndo mnasababisha aendelee kuanzisha mada zake za siasa humu.
 
Chuma ichoo

FB_IMG_1619891286053.jpg

FB_IMG_1619891282423.jpg
 
Naelewa unachokizungumzia. Kwasababu Marekani kuna uhuru wa kumchora picha za katuni Rais akiwa uchi? Kuna mahali nimeandika kuwa demokrasia inaweza kuwa aspect ya tamaduni. Wamarekani wengi wako liberal! Kwa hiyo uhuru wa kujieleza ni asili yao.

Huku kwetu sheria za nchi zinaweza kulinda hadhi ya viongozi ili kutunza “utumaduni” wetu. Lakini kwa wakati huo huo tunaweza kutumia demokrasia kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Aya ila natumai haupo genge moja na wale wapigania demokrasia wa twita wakina kigogo na wenzake
 
Hakuna democracy kwenye umaskini, tuondoe kwanza umaskini ndo tushughurike na democracy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo viongozi wana ruhusa ya kuvunja haki za binadamu kwa sasa halafu baadae ndio tutashughulikia suala la demokrasia?

Maendeleo ya nchi sio madaraja na highways na interchange peke yake. Kutengeneza nchi yenye uelewa wa usawa na kulinda haki za binadamu ni maendeleo pia. Demokrasia ikifuatwa katika utekelezaji wa maendeleo tunatengeneza kizazi cha watu watakaoendeleza kazi yetu mbeleni. The future starts now, not later!
 
Hakuna democracy kwenye umaskini, tuondoe kwanza umaskini ndo tushughurike na democracy.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji375][emoji375]...hata USA na EUROPEAN CONTRIES walitafuta wealth kwanza...chukulia colonization of africa....baada ya accumulate a lot wealth ndo sa hivi wanatuimbisha wimbo wa demokrasia tena kinafiki kabisaa...we need to be serious
 
Demokrasia inazuiaje ujenzi wa uchumi?
 
[emoji375][emoji375]...hata USA na EUROPEAN CONTRIES walitafuta wealth kwanza...chukulia colonization of africa....baada ya accumulate a lot wealth ndo sa hivi wanatuimbisha wimbo wa demokrasia tena kinafiki kabisaa...we need to be serious
Tuambie ni jinsi gani demokrasia inazuia ukuaji na maendeleo ya kiuchumi! Kwasababu kuna correlation kubwa kati ya demokrasia na maendeleo ya kiuchumi!
 
Kwa hiyo viongozi wana ruhusa ya kuvunja haki za binadamu kwa sasa halafu baadae ndio tutashughulikia suala la demokrasia?

Maendeleo ya nchi sio madaraja na highways na interchange peke yake. Kutengeneza nchi yenye uelewa wa usawa na kulinda haki za binadamu ni maendeleo pia. Demokrasia ikifuatwa katika utekelezaji wa maendeleo tunatengeneza kizazi cha watu watakaoendeleza kazi yetu mbeleni. The future starts now, not later!
Mkuu mm nakuelewa sana tu ila haya mambo ya democracy ni very complicated, jiulize tu kwann wali introduce that mentality after being developed?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mm nakuelewa sana tu ila haya mambo ya democracy ni very complicated, jiulize tu kwann wali introduce that mentality after being developed?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliwadanganya kuwa nchi zenye demokrasia haziku-practice democracy mpaka zilivyoendelea kiuchumi?

Demokrasia ni ya zamani sana. Na nimeuliza swali kwanini mnadhani demokrasia ni mbaya katika kijenga na kuendeleza uchumi? Mniambie halafu na mimi nitatoa hoja zangu.
 
Friend, democracy is as African as it is American/ European or whatever. Post-colonial democracy may have been introduced by other powers, but that does not mean that democratic processes were never practiced in Africa before we were colonized!

The thing about Africans like you who think that you’re “woke” is you think that Westerners are always introducing “new things” on the continent. Things that have never existed here.

I don’t blame you because as Africans, we have lost so much of our original identity that today we think that some things were never ours/ practiced by us.
Kwani we unanielezea democracy gani..? Inaonekana hujui hata historia ya democracy .. rudi kwenye maandiko ya historia ya democracy alaf uje hapa uitetee. Democracy tunayoipinga sisi ni hii from US, mifumo yetu ya kiutawala zamani hailandani kabisa na hii democracy from IMF and WB . Soma historia ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom