Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unadhani mimi ni mtoto wa Darasa la nne? Kwamba Sijui world history? [emoji23][emoji23]

Pre-colonial democracies did exist in Africa. I just didn’t specify where.

Halafu, niambie ni wapi Mifumo yetu ya Kiutawala Leo ina-reference techniques za Mangisina na chief Mkwawa. I really wish we had them but even Our constitution has traces of British laws for gods sake!

Wewe ndio ukasome....

Na unadhani sifahamu structural adjustment program?

Government run institutions are almost always inefficient and corrupt. And I’m not saying kwamba we should strictly run our economy based on one ideology. I’m saying, we need to examine which ideology will suit our best interests and improve our economy! Maybe we could use different ideologies at the same time.
So ulikuwa umejitoa ufahamu....
 
Mkuu..Mim tu hiyo nimechomeka nikijua utafikiri nje ya box..

Umesema"kivp dmkrca inazua ukuak na maendeleo ya kiuchumi....hivi hao watu si ndio huohuo mfumo huwaweka madaraki...

Af nch unazozungumzia at least s afraca ni umaskini ndio unaonukia sijajua maendeleo gani unayosema....au ni ya jirani wa kaskazini uchumi wa capital flight ?....uchumi lazima uakisi maisha ya watu...sio tu kuwa na masifa ya gdp kubwa ya kifukara....economic prosperity ya south africa ina ambatana factors nzito na si dmcrca tu.....analysis yake ni kubwa sizan kama utanielewa
African democracies sio Afrika kusini tu. Kuna Ghana, ambayo last I checked ina uchumi mkubwa kuliko Tanzania.
 
The best 007 nilikuuliza swali ila mpaka sasa hujanijibu. You can criticize America all you want, but I want to know why you think that Democracy is bad for economic growth and development in Tanzania.
Demokrasia si mbaya....ila tunachokiona ni aina ya demokrasia iliyopo africa na inavyotumiwa na mabeberu kuundermine our devlpmnt....lakini isingekuwa hivyo demokrasia ni tamu sana....ndo mapana The best 007 akasema firstly we have to be powerful so as we can implement ourself
 
Mpumbavu (wapumbavu) Mtu anayeshindwa kuelewa jambo hata akielezwa, juha, zuzu, jura, nyange, baghami, bahau, hambe, maarasi, zebe, mbumbumbu.
Walker255
 
Guys, it’s very toxic kama nitaendelea “kuwakwaza” kwa maoni yangu ambayo ni kinyume na yenu.

Birds of a feather flock together. Kwa hiyo siwezi kujihusisha na watu ambao clearly hatufanani mawazo.

Ni vyema kama nikiwaacha muendelee na “uzalendo” wenu.

Nina mambo Mengi tu ya kuni-keep busy kila siku kuliko kukwazana na “wazalendo”

Kwa hiyo hii ni kwaheri. Sio kama enzi zile, no. This time I’m not coming back.

Kwa jinsi hii nchi ilivyo kwa sasa ni ngumu kuwa na mawazo tofauti na wengi
Wenu na bado nikachukuliwa kama mtu mwenye akili timamu. Wengine hadi mnasema mimi sio mzalendo.

Tafakarini maana ya uzalendo kabla ya kulitumia Hilo neno kila wakati. Uzalendo sio kufanana kifikra, Bali ni mapenzi kwa nchi yako kwa Hali na Mali, hata kama mawazo yako hayatafanana na wengi.

Haya, kwaherini.
 
Kwa nini usiwe specific. USA iliiba rasilimali za wapi? Usifananishe serikali za watu na firms!
Mkuu si umesema unajua historia wee...mbona yuwauliza maswali kama mtu asiyejua kinachoendelea..

Kuwa specific unajua au hujui historia....ili tujui jinsi gani ya kukurudisha kwenye reli....@The best 007 katuambia wewe ni mzalendo
 
Kongo, Songhay Kingdom in Mali had forms of democracy.

Wewe hunielewi. Ni wapi nimesema kuwa tufate mfumo mmoja wa utawala? Na kama unasema kuwa Hatuwezi kutumia njia moja? Kwa nini una-resent democracy? Haufahamu umuhimu wa demokrasia kwenye kukuza maendeleo na uchumi wa nchi?
Tatizo docrsia unayotetea wew iko modified by beberu na si ile pure
 
Kweli. Demokrasia ya leo sio kama ya zamani lakini principle ya nguvu ya umma bado ni ile ile. Kitu ninachoshangaa ni pale mnapodhani kuwa demokrasia ni mbaya kwa maendeleo ya kiuchumi. Nipeni arguments Zenu. Unajua hapa tunafundishana? Mimi sio lecturer!

Ukiwa na wigo la uchaguzi, kulala kwenye Kochi or kitandani, ukilala chini ni maamuzi binafsi.

Sasa, niambie, una uhuru gani ikiwa unafanya kazi zaidi ya tatu or mbili ili tu upate hela ya kujikimu?

Kwenye madaftari yako, kuna kitu umeandika juu ya "economic freedom"??

Ndio hali halisi ya maisha kwa mataifa mengi kama Marekani, Canada, na Ulaya.

A life where, almost everyone is being forced by circumstances to take more than two or three jobs beyond their own will just to earn a living, is that democracy?
 
Serikali ya Marekani haiibi au kununua mafuta kutoka mashariki ya Kati! Marekani has its own oil.

What the US government does is use its military to control certain oil markets na kuzuia militant governments from accessing oil, which would give them profits to fund their terrorist groups!
Where terrorist group come from?.....kwa nini miaka ya nyuma hayakuwepo?...kwa nini yameemerge after downfall of socialist bloc especially ussr?....unajua hujui au unatuchora tu...
 
Democracy ambayo hao waliyoianzusha wanai violate democracy gn hii, democracy ya kuiba mali za wanyonge from Africa? What is the true meaning of democracy? Kwamba kuhakikisha bara tajiri linazidi kuwa maskini? Au ndo democracy ya kuhakikisha asiyejua asijue daima, what is the meaning of democracy? Nmekuja kugundua democracy ni mkenge tulioingizwa waafrika ili tuzidi kuwa maskini. Hao walioanzisha democracy Rais wao anachaguliwa na wachache bila kujali kura zilizopigwa na wengi, huu ni mkenge tunaoingizwa waafrika kupitia elimu yao walio ifix at 90 drgree, mm cwezi kuingia mkenge huu japo nmesoma elimu yao hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Walker ni mzalendo na siwezi kukubali kuona unabadilika kirahisi hivi kisa mtu flani amekukwaza, najua unaelewa nachomaanisha, nakubali kwamba u know many things because u r an ellite, ss unakokwenda siko mkuu, mm huwa sipendi kumklash mzalendo mwenzangu hata akikosea najua nifanye nini ili tuende sawa lkn mkuu u r not going in a right track, I really appreciate you that's why I'm busy begging you to remember where r we from and where r we going, so don't forget that.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wew umenihamasisha kumuelimisha huyu jamaa kwa kuwa umeniaminisha ni mzalendo....sitoagi mda kiasi hiki kuwainisha asiye elimika.....
 
Back
Top Bottom