Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kikihboy hii ni wami bridge 512m 👇👇
73AEED1A-56D0-4719-BF50-800ADEB1E42B.jpeg
0AC4C577-A9B2-42DD-BF19-6639F74950D3.jpeg
C3117AA2-163C-4D1B-8CF5-B49E4CB21DDF.jpeg
 
Wataalamu wanasema ulitoka upepo kusikojulikana ukaenda kukifukuzia mbali kimbunga Jobo, hii nchi ni zaidi ya tunavyoijua, leo hii Wakenya na dunia kwa ujumla hawaamini kwamba hii nchi ni blessed, Magufuli alitamani kuieleza dunia kwamba hii nchi ni ya namna gn wakamfanya wanavyojua wao (kwasababu nafsi yangu inagoma kabisa kuamini) sasa watz wazalendo tuzidi kuisemea mema nchi hii, tuwaambie hawa wasoijua kwamba hii nchi ni ya namna gn mpk waelewe, hakuna kurudi nyuma kamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikishindikana naachana na hii battle, simple like that, eti atokee fala mmoja anifanye nianze kuigeuka nchi yangu kisa tu kuna mtu ananikwaza, huo usenge siwezi narudia tena ikishindikana naachana na hii battle lkn co kwenda against na the promised country a.k.a Tanzania frankly siwezi kabisa na haitakuja kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
"Promised country" 🤣🤣🤣
 
Yategemea ni amani gani unayoiongelelea. Sio "kuvaa ngozi ya kondoo kumbe ndani mbwa mwitu"
Tanzania ni nchi yenye amani iko ivyo, Watz ni watu wakarimu wanaojali kitu kinaitwa Consideration, hakuna raia wema km Watz hata waisraeli hawamudu kuwa km Watz take it from me.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee nenda kalale hujui kueleza.
Nimekuuliza GUVU maana yake ni nini!?
Wewe unaleta nguvu ya watu.
NIAMBIE NGUVU NI NINI!?


Unajua maana ya Maana!?

Ukiambiwa kutaja maana ya kitu, kwenye sentensi yako hutakiwi kuingiza neno la hicho kitu tena.

MF: ukiulizwa Nini maana ya msichana?
Huwezi kusema msichana ni mwanamke msichana.

Kwa kipimo cha maswali hayo nimegundua uelewa wako ni duni.

Pata elimu kwanza ndio uje ujaribu. Kwa sasa hujui unachokiongea.

Mungu akusaidie.
Walker255 yani jomba umetoa funzo mpka mi mwnywe nimejikuta kumbe kuna mengine sijui..

Mwenzako saiz hku kaishiwa na nguvu kabisa, manake kw majibu ya level hyo basi wale bendera kufuata upepo watakuchukia sana[emoji23][emoji23]
Wakwanza Venus Star umekula nondo la maana sana jomba[emoji2960][emoji2960]pole sana lkn
 
Mzee nenda kalale hujui kueleza.
Nimekuuliza GUVU maana yake ni nini!?
Wewe unaleta nguvu ya watu.
NIAMBIE NGUVU NI NINI!?


Unajua maana ya Maana!?

Ukiambiwa kutaja maana ya kitu, kwenye sentensi yako hutakiwi kuingiza neno la hicho kitu tena.

MF: ukiulizwa Nini maana ya msichana?
Huwezi kusema msichana ni mwanamke msichana.

Kwa kipimo cha maswali hayo nimegundua uelewa wako ni duni.

Pata elimu kwanza ndio uje ujaribu. Kwa sasa hujui unachokiongea.

Mungu akusaidie.
Mzee hapa mnaongelea demokradia wala sio wrestling[emoji23][emoji23]
Yani naona umeamua kujitoa kwnye reli kw kusudi ili uonekane na wewe bado unaweza ukaendeleza mjadala...
Jamaa kamaliza kila kitu walai, Walker255 unafaa sana kuwa mshauri wa baadhi ya viongozi hapa africa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo “GUVU” nani aliandika? Mimi? Maana mimi sikuandika. Mimi nimeandika “nguvu” kwenye post yangu Kwa hiyo nilivyoona umenijibu na kuandika “GUVU” nikajua ni typo uliyoandika wewe.

Kwanza, “GUVU” ni neno la Kiswahili? Na linamanisha nini?

Halafu, Kwa hiyo Kati ya vitu vyote nilivyoandika umeona kukosoa jinsi ninavyojibu maswali?

Who do you think you are mpaka nikujibu Kwa kutumia formalities?

Wewe nimeshakwambia ni mtoto tu. Na nilikuita Kobe kiakili kwasababu uko slow kiakili! Na nilikuwa Sawa.

Ukiwa slow hata uelewa wako ni duni! Kumbe nilikuwa nadili na circus clown..

Adios.
Jomba nimekuvulia kofia katika maswala ya elimu kuhusu demokrasia
 
Okay.

1. Nguvu
Nguvu ya watu ni feature ya demokrasia kwasababu watu Ndio wanao uwezo wa kuchagua wawakilishi wao (viongozi) na viongozi hawa wanafanya mambo ambayo ni best interest za watu wote kwa usawa.

2. Njia Halali
Ni pale viongozi huchaguliwa na wananchi kwa Haki na usawa. Pale njia za mkato kama kuiba kura zinapotumika katika uchaguzi basi sio hali ya kidemokrasia.

3. Nani anayetoa uhalali wa njia hizo
Sheria za nchi!

4. Kipimo cha uhalali kimewekwa na nani?
Serikali
Pitia hapa mzee, yani usipoelewa alichokiandikia walker basi kuanzia leo mpla kuendelea nitakuona tahira la level zake aisee
Hakuna democracy kwenye umaskini, tuondoe kwanza umaskini ndo tushughurike na democracy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom