Hakuna kitu kama “wengi wao wanapenda communism”
Kwenye nchi kama hizo, wanaofurahia uongozi usio na demokrasia ni wale wanaofaidika moja kwa moja na uongozi huo na wasioelewa haki zao.
Bali wale ambao ungozi unawakandamiza ndio huteseka! Hebu fikiria Uyghur muslims. Wanachukuliwa kinguvu kutoka kwenye nyumba zao halafu wanapelekwa kwenye camps ambapo wanafundishwa ku-behave kama wachina halisia. Wanakuwa-brainwashed kuamini kuwa dini yao sio nzuri na pia wanafungwa vizazi ili wasizae na kuongeza Idadi ya waislamu. Na kama walikuwa na watoto, hao watoto wanaibiwa halafu wanapelekwa kwenye nyumba za kulelea watoto za kichina Kwa lengo la kuwakuza kwenye ya tamaduni tofauti na za Kwao. Sasa imagine uwe kwenye position ya hawa jamaa Na Ndio utafahamu kuwa demokrasia sio illusion. Au nenda North Korea halafu utanielewa zaidi.
Mnaishi kwenye hii nchi mnachukulia kila kitu for granted! Yes, demokrasia Tanzania haina nguvu sana (Mama anajaribu kuipa nguvu) lakini there are worse places.