Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni lazima kuwainisha ni aina gani ya haki zapaswa zilindwe kutokana na utu na maadili yetu ..... HR are unlimited...
 
Kwani we unanielezea democracy gani..? Inaonekana hujui hata historia ya democracy .. rudi kwenye maandiko ya historia ya democracy alaf uje hapa uitetee. Democracy tunayoipinga sisi ni hii from US, mifumo yetu ya kiutawala zamani hailandani kabisa na hii democracy from IMF and WB . Soma historia ndugu yangu.
“Mifumo yetu ya kiutawala” ni ipi hiyo? Kwasababu mimi kama msomi ninatambua kuwa “mifumo yetu kiutawala” sio originally ya kwetu! imekuwa adapted from our former colonial rulers ama other global powers! Sasa Democracy ya IMF na WD unayozungumzia ni ipi? Unaongelea masharti ya mikopo?
 
Nani aliwadanganya kuwa nchi zenye demokrasia haziku-practice democracy mpaka zilivyoendelea kiuchumi?

Demokrasia ni ya zamani sana. Na nimeuliza swali kwanini mnadhani demokrasia ni mbaya katika kijenga na kuendeleza uchumi? Mniambie halafu na mimi nitatoa hoja zangu.
Soma historia ya dunia acha kuwadanganya watu, dunia haikuwahi kuwa democracy hii tunayoitafsir sasahiv, tena hata nchi moja
 
Soma historia ya dunia acha kuwadanganya watu, dunia haikuwahi kuwa democracy hii tunayoitafsir sasahiv, tena hata nchi moja
Kweli. Demokrasia ya leo sio kama ya zamani lakini principle ya nguvu ya umma bado ni ile ile. Kitu ninachoshangaa ni pale mnapodhani kuwa demokrasia ni mbaya kwa maendeleo ya kiuchumi. Nipeni arguments Zenu. Unajua hapa tunafundishana? Mimi sio lecturer!
 
Tuambie ni jinsi gani demokrasia inazuia ukuaji na maendeleo ya kiuchumi! Kwasababu kuna correlation kubwa kati ya demokrasia na maendeleo ya kiuchumi!
Nita base africa...ebu nambie kitendo cha kumuua gaddafi kimeleta demokrasia waliokuwa wanaihubiri?

The so called demokrasia in africa mostly ndo chanzo cha civil war....mfano kenya..wanatumia hiyo demokrasia kuweka watu wao ili for easy exploitation...mikataba mibovu...utitili wa vyama kazi kula ruzuku...USA wanavyama vngp? Uk.,canada je?....so nambie how can you make economic progress while political unrest,puppet leadership...always bussines as usual...how Mkuu we....

Theoretical ni nzuri...lkn aina ya demokrasia wanayoiplement africa hubakwa na wenyewe...ila demekrca iliyopo kwenye vitabu ni nzuri sana.....Anyway si jukwaa la siasa....anzisha uzi jukwaa la siasa nakuja kuchangia
 
Marekani hii ambayo mtu mweusi ni nyani?

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂 Hapo huongelei democracy. Unaongelea racism! Na sio Marekani nzima ni racist kwa watu Weusi. Ndio bado kazi ni kubwa lakini USA impepiga hatua kuondoa oppression na ndo maana hata leo kuna compensation kwa vitukuu vya waafrika amabao ancestors wao walikuwa slaves. Pia Kama kulikuwa kuna wizi wa maeneo yao, sasa hivi yanarudishwa.
 
“Mifumo yetu ya kiutawala” ni ipi hiyo? Kwasababu mimi kama msomi ninatambua kuwa “mifumo yetu kiutawala” sio originally ya kwetu! imekuwa adapted from our former colonial rulers ama other global powers! Sasa Democracy ya IMF na WD unayozungumzia ni ipi? Unaongelea masharti ya mikopo?
We unaonekana hujui kitu wewe, shame on you.. soma historia ya dunia utajua nini namaanisha nikisema way back tulikua na mifumo yetu ya kiutawala kabla ya wakoloni, tz for example zamani tulitawaliwa na machifu mf, mkwawa, chifu mangungo wa msovero, chifu mangisina n.k aina yao ya utawala haikuzingatia mifumo ya kidemocrasia, baada ya wakoloni kuja mf germany wao wakatutawala kwa aina yao kabla british hajapewa atusimamie maamuzi ya (versailles peace treaty) lakini baadae US alivyopata status ya world super power 1945 ndio aka introduce hii democracy tuliyonayo sasahiv, na wakati tunapata uhuru sisi huku Africa wakaleta mfumo wa utawala indirect ambao ni Neo colonialism, implementation zake sasa tulishurutishwa kupitia program za structural adjustment program by IMF and WB .. je masharti yalikua yapi.?
1 tuwe na democracy
2 biashara huru 3 privatization n.k . Kwahyo we mjomba before hujaja kueleza huo upuuzi wako unatakiwa ujue kwanza historia ya dunia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo huongelei democracy. Unaongelea racism! Na sio Marekani nzima ni racist kwa watu Weusi. Ndio bado kazi ni kubwa lakini USA impepiga hatua kuondoa oppression na ndo maana hata leo kuna compensation kwa vitukuu vya waafrika amabao ancestors wao walikuwa slaves. Pia Kama kulikuwa kuna wizi wa maeneo yao, sasa hivi yanarudishwa.
Marekani ambayo Rais anachaguliwa na wachache?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nita base africa...ebu nambie kitendo cha kumuua gaddafi kimeleta demokrasia waliokuwa wanaihubiri?

The so called demokrasia in africa mostly ndo chanzo cha civil war....mfano kenya..wanatumia hiyo demokrasia kuweka watu wao ili for easy exploitation...mikataba mibovu...utitili wa vyama kazi kula ruzuku...USA wanavyama vngp? Uk.,canada je?....so nambie how can you make economic progress while political unrest,puppet leadership...always bussines as usual...how Mkuu we....

Theoretical ni nzuri...lkn aina ya demokrasia wanayoiplement africa hubakwa na wenyewe...ila demekrca iliyopo kwenye vitabu ni nzuri sana.....Anyway si jukwaa la siasa....anzisha uzi jukwaa la siasa nakuja kuchangia
Okay umekijosoa mwenyewe kwenye maandiko yako. “Aina ya demokrasia wanayoimplement Africa hubakwa na wenyewe”

Tatizo ni watu. Sio mfumo. Mbona kuna successful democracies Africa? Look at South Africa, Botswana, Ghana...they have all experienced rapid economic growth AND development! Wao wamefanya nini?

Na angalia nchi kama Zimbabwe. Wakati wa Mugabe hakukuwa na Democracy. Zimbabwe matatizo ya kiuchumi kibao!
 
Back
Top Bottom