Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Usijaribu kuamsha simba iliyo lala[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Kiflyover cha mita mia moja, kimechoka mbaya[emoji23][emoji23]View attachment 1768694
Usijaribu kuamsha simba iliyo lala[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Kiflyover cha mita mia moja, kimechoka mbaya[emoji23][emoji23]View attachment 1768694
Unalilialia nini ....[emoji23][emoji23] km kizuuuMama kanyaga twende achana na majinga yapo humu yanaaibika sasa,tafuta fursa kokote tuchanje mbuga na Kenya wako vizuri kwenye biashara.
Hahaha waganda bana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Asanteni sana tumefurahi
Hapa Naona Three or four beautiful buildings izo zingine Ni Uswazi mtupuAmka na wallpaper nzuri uweze refresh ubongo
View attachment 1768528
Msalaba wa yesu Christo,Very very Creative,Modern CrossSiku wakenya mkipata kitu kama hiki. Haki mtakesha kwenye social media
View attachment 1768578View attachment 1768579View attachment 1768580
Funguka kkhaya sasa madudu ndani ya nchi kama tulivyoyatabiri wazalendo sasa yanaanza kutokea taratibu...
daaahh
Msalaba wa yesu Christo,Very very Creative,Modern CrossSiku wakenya mkipata kitu kama hiki. Haki mtakesha kwenye social media
View attachment 1768578View attachment 1768579View attachment 1768580
Njoo Boma Ke uone maajabu usituletee Ushuzi hapaKwenye sector ya venues pia Tanzania tupo njema
Huwezi kupata venue kama hii nje ya Nairobi wakati hapa ni Morogoro Tanzania
Hii venue inaichapa bomas tatu mzuka
View attachment 1768592View attachment 1768593View attachment 1768595View attachment 1768596View attachment 1768597
Madudu gn hayo.haya sasa madudu ndani ya nchi kama tulivyoyatabiri wazalendo sasa yanaanza kutokea taratibu...
daaahh
🤭🤣🤣🤣Picha za upande, naleta aerial pic, save hio pia. Buahahaha😂😂😂View attachment 1768667
🤭🤣Picha za upande upande za editing, bado sana kwenye interchanges, huu ndo uhalisia wenuView attachment 1768720
Maajabu ya makutiNjoo Boma Ke uone maajabu usituletee Ushuzi hapa
Hayo makuti Ndio yanaleta wazungu wanaleta pesa Inaongeza GDPMaajabu ya makuti
Too shallow mindset.Hayo makuti Ndio yanaleta wazungu wanaleta pesa Inaongeza GDP
Why
Lakini mwishowe polisi akaweka wazungu ama wako tele lazyland ???😂😂😂😂Tanzania map in ETS2, watanzania tunazidi kuiweka mahali pazuri East Africa katika haya mambo ya game map development, pakua hapa map ya ets2 based on Southern Highlands in Tanzania, don't forget developer wa hii map ni mtanzania mandhari ni ya Tanzania na magari ni ya Tanzania, pakua hapa map yako [emoji116][emoji116]
View attachment 1768970View attachment 1768977View attachment 1768979View attachment 1768980View attachment 1768981View attachment 1768982View attachment 1768983View attachment 1768984View attachment 1768986View attachment 1768987View attachment 1768988View attachment 1768989View attachment 1768990View attachment 1768992View attachment 1768993View attachment 1768994View attachment 1768995View attachment 1768996
Sent using Jamii Forums mobile app