President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,069
- 93,480
Mambo haya yanawaumiza sana wakenya. Itabidi mzoee tu.Picha za upande upande za editing, bado sana kwenye interchanges, huu ndo uhalisia wenuView attachment 1768720
Mambo haya yanawaumiza sana wakenya. Itabidi mzoee tu.Picha za upande upande za editing, bado sana kwenye interchanges, huu ndo uhalisia wenuView attachment 1768720
kahamisha goli 😂😂😂😂😂😂 haya tuelezee kwa jinsi gani hio bridge inatuumiza roho. Ushamba mzigo sana.Mambo haya yanawaumiza sana wakenya. Itabidi mzoee tu.View attachment 1768722View attachment 1768723View attachment 1768724
Mkifikia hapa nitag 🤣 🤣🤣kahamisha goli 😂😂😂😂😂😂 haya tuelezee kwa jinsi gani hio bridge inatuumiza roho. Ushamba mzigo sana.
Ninyi mwanaume mmoja tu akiamua kesho hakuna kutoka nje hakuna wa kupinga lasivyo mnachezea kichapo cha mbwa mwiziUsitumie tako kufikiria.
😅😅😅 Kuna dogma walimezeshana eti Nyerere alisema Nairobi ni London ya wa Tanzania 🤣🤣🤣 wakati Tanzania maeneo mengi ni kama ulaya toka uhuru
Mbona wasomali wanawaweka kinyumba wanaume wa KDF mbaya kabisa? Kila siku KDF wanaolewa Somalia na alshabebiNyinyi mna mazao kibao, si muwape lishe bora kwanza, huo mchezo sio wa kitoto ka hujafura vizuri! Sasa angalia kijana mkono soft, kumbo moja tu, ushavunja mkono wa dogo,! 🤣 🤣 🤣
Rais wake ndiye mentor wa rais wa sasa. Hilo suala la watumishi hewa na vyeti bandia lilikuwa very obvious. Kuna wakati ulifika vyeti feki vikawa na market price.Hivi huyu CAG alifanya kazi chini ya Rais gani vile???
Tufikie nini haswa hapo. IT expert mwenye hajui hesabu😂😂😂
Ebu tuwekee hayo maeno ya lazyland kama ulaya tucheke kidogo🤔😂😂😅😅😅 Kuna dogma walimezeshana eti Nyerere alisema Nairobi ni London ya wa Tanzania 🤣🤣🤣 wakati Tanzania maeneo mengi ni kama ulaya toka uhuru
Yaani Nyerere ndio wa kwenda kuishangaa Nairobi?
Kitu siwezi ni kubishana na mpuzi anayeongea mambo yasio na msingi! 🤣 🤣 🤣Mbona wasomali wanawaweka kinyumba wanaume wa KDF mbaya kabisa? Kila siku KDF wanaolewa Somalia na alshabebi
Si rahisi sana kung'amua kutokana na umbali wa picha yenyewe,not so sure, comment yangu imehusisha Masaki kwa ujumla wake tu kiongozi.hio ni masaki sehem gan? nimeuliza hili swali sijapata jibu
Tanzania ka Ulaya, pwahahahaha, huyo pumba hebu atembee kidogo atoke vijijini, ana akili kweli? Huko ni mbali, SA hapa tu, na bado hawafikii hata robo, dadeki nyie! 🤣 🤣 🤣 🤣Ebu tuwekee hayo maeno ya lazyland kama ulaya tucheke kidogo🤔😂😂
Tanzanians have the lowest IQ in east africa what do you expect, imagine Venus Star kwao yeye ni expert wa IT😂😂😂😂😂😂Tanzania ka Ulaya, pwahahahaha, huyo pumba hebu atembee kidogo atoke vijijini, ana akili kweli? Huko ni mbali, SA hapa tu, na bado hawafikii hata robo, dadeki nyie! 🤣 🤣 🤣 🤣
Mama kanyaga twende achana na majinga yapo humu yanaaibika sasa,tafuta fursa kokote tuchanje mbuga na Kenya wako vizuri kwenye biashara.
Si rahisi sana kung'amua kutokana na umbali wa picha yenyewe,not so sure, comment yangu imehusisha Masaki kwa ujumla wake tu kiongozi.
haya sasa kwa wale waliokuwa wanabeza ,,hivi vitu vilikuwepoHivi huyu CAG alifanya kazi chini ya Rais gani vile???
Ww ni mjinga uliye kidhir so hapo ndio umeleta aerial?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706][emoji706][emoji706]Picha za upande, naleta aerial pic, save hio pia. Buahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1768667
Akili mafiii ni mafiii tuuu ata uweke kwenye fridge[emoji706]Kiflyover cha mita mia moja, kimechoka mbaya[emoji23][emoji23]View attachment 1768694