sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,548
- 2,448
Migori stadium ata iko afadhali kuliko hii takatak[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Migori stadium ata iko afadhali kuliko hii takatak[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Hiyo ni pitch level ya mombasaSasa ukiulizwa hii ni stadium au kidimbwi utasema nini?..sababu hata haionekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]
Mimi nimekuelewa kiongozi,Masaki haikuwaplanned kuwa na majengo marefu marefu kama ilivyo sasa,siku hizi ofisi kila mahali na si makazi tena ile posh neighborhood....nimekua kwenye mazingira hayo utotoni mwangu so I know.
Mzee unaanza kutuletea mashamba ya maua sasa. Stadium iko wapi hapo!?Migori stadium ata iko afadhali kuliko hii takatak[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]View attachment 1768444
Zizi la ng'ombe as usual 🤣🤣🤣Migori stadium ata iko afadhali kuliko hii takatak[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]View attachment 1768444
Hii mijitu sijui ya wapi, ipo primitive and backwards kichizi 🤣🤣🤣Mzee unaanza kutuletea mashamba ya maua sasa. Stadium iko wapi hapo!?
Sisi huku tunayaita maeneo ya wazi, watoto wanacheza lede pale, yeye anaita Stadium 🤣 🤣🤣sijui ni uhaba wa ardhi!!!? Mstari wa Ikweta uliondoka na akili zao.Hii mijitu sijui ya wapi, ipo primitive and backwards kichizi 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Imebidi nizame Google tu kuyaelewesha haya majitu pori 😂Sisi huku tunayaita maeneo ya wazi, watoto wanacheza lede pale, yeye anaita Stadium 🤣 🤣🤣sijui ni uhaba wa ardhi!!!? Mstari wa Ikweta uliondoka na akili zao.
Nilijua mtaishiwamuanze kuleta viwanja vya shule watu wakiwamekalia fence[emoji33][emoji33][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji81][emoji81][emoji81]Hii mijitu sijui ya wapi, ipo primitive and backwards kichizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamependa wenyewe kukaa hivyo na sio kwamba wamekosa majukwaaNilijua mtaishiwamuanze kuleta viwanja vya shule watu wakiwamekalia fence[emoji33][emoji33][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji81][emoji81][emoji81]View attachment 1768502
Umeshiwa mazizi. Mbona kimya kimezidi. Tunakuruhusu uingie Nairobi. Maana umetepeta ndembendembeNilijua mtaishiwamuanze kuleta viwanja vya shule watu wakiwamekalia fence[emoji33][emoji33][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji81][emoji81][emoji81]View attachment 1768502
Sasa hivi wanachungulia na kutoka.Ngoja niwasamehe tu sababu kichapo mlichopata kinawatosha kabisa, siku nyingine mjue tu tukikaa kimya haimaanishi unyonge
Watanzania hatuna sifa ya bragging kabisa so when calm do not confusing with weakness, hakuna angle yoyote Kenya watatupita kwenye maendeleo
Tanzania ilikua power House ya huu ukanda tokea uhuru, msifikiri ndio tunatoka shimoni kama ninyi
Nyerere aliiacha hii nchi na maendeleo ya kufa mtu, sio viwanda vingi, mashamba makubwa, stronger cooperatives, miundombinu na hali nzuri ya maisha
Most of your mazizi yamejengwa juzi kati wakati Tanzania hizi stadium 90 percent zilijengwa na Nyerere
Ushirika Stadium Moshi
View attachment 1768506View attachment 1768507View attachment 1768508View attachment 1768509
Hata hivyo yumewavumilia sana kwenye hii battle kwa sababu tulikua tunakubali tu watume mazizi yao sisi tunatuma standard stadiumsSasa hivi wanachungulia na kutoka.
Mumebaki kupost random picture tuu...ukiulizwa hizi pictures ni za viwanja vingapi utasema kipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... kwenye viwanja wacheni tuuNgoja niwasamehe tu sababu kichapo mlichopata kinawatosha kabisa, siku nyingine mjue tu tukikaa kimya haimaanishi unyonge
Watanzania hatuna sifa ya bragging kabisa so when calm do not confusing with weakness, hakuna angle yoyote Kenya watatupita kwenye maendeleo
Tanzania ilikua power House ya huu ukanda tokea uhuru, msifikiri ndio tunatoka shimoni kama ninyi
Nyerere aliiacha hii nchi na maendeleo ya kufa mtu, sio viwanda vingi, mashamba makubwa, stronger cooperatives, miundombinu na hali nzuri ya maisha
Most of your mazizi yamejengwa juzi kati wakati Tanzania hizi stadium 90 percent zilijengwa na Nyerere
Ushirika Stadium Moshi
View attachment 1768506View attachment 1768507View attachment 1768508View attachment 1768509
Wew unatupostia malisho ya mifugo tuuMigori stadium ata iko afadhali kuliko hii takatak[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]View attachment 1768444
Hii kesi tushamaliza kwa idadi kenya ina vingi sanaHata hivyo yumewavumilia sana kwenye hii battle kwa sababu tulikua tunakubali tu watume mazizi yao sisi tunatuma standard stadiums
Japo bado nina stadiums za kutosha kibindoni ila acha niwasamehe tu sababu ni kama kupiga bomb mortuary [emoji378] [emoji3545] [emoji3517] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitajipanga na battle ya viwanda sasa
6 Kenya Stadiums vs 36 Tanzania stadiumsHii kesi tushamaliza kwa idadi kenya ina vingi sana
Yale magulio yenu yamekata? Muyapost tu nimewaachia podiumMumebaki kupost random picture tuu...ukiulizwa hizi pictures ni za viwanja vingapi utasema kipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... kwenye viwanja wacheni tuu