Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yale magulio yenu yamekata? Muyapost tu nimewaachia podium
Hii ushirika ndio unaita stadium?[emoji33][emoji33][emoji33][emoji81][emoji81][emoji81]
images-54.jpg
 
Majukwaa ya ushirika yapo pande 3 na stadium ina uzio pia [emoji2522][emoji28][emoji28][emoji28]

Huwezi linganisha na mazizi yenu aka viwanja vya gulio [emoji23][emoji23][emoji23]
Tz kuna stadium tano pekee...nitarudi kuwachambua sasa nimeona stadium moja imepostiwa mara mob....sai niko job [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom