Unakurupuka bila kushirikisha ubongo😅😂😂😂😂.,Kwasababu kashakamatwa patamu tulia mzee urambe dawa 🤣🤣🤣🤣
We mpumbavu bundle za you tube zipo tena ni bora kuliko zenu so usione waliotoa takwimu ni wajinga km wewe.Mkuu Venus Star sekta ya telecomunications tumewazidi kw karibia kila kitu..
*Ubunifu
*Huduma bora
*Miundombinu bora(mitandao)n.k
Tulia urambe dawa kwanza unafkirir watu wanaongea bila evidence hapaUnakurupuka bila kushirikisha ubongo😅😂😂😂😂.,
Maneno matupu kwangu wala hayaniyumbishi, hapa ni mwendo wa screenshots kutoka kw mitandao yenu mnayotumia..We mpumbavu bundle za you tube zipo tena ni bora kuliko zenu so usione waliotoa takwimu ni wajinga km wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili fupi imejianika tena😂😂😂., Kuna mahitaji ya nchi, na sio tu flyover, CCM imewafilisi hadi ubongo , in Tanzania lazima u sacrifice mahitaji ya sehemu kwanza, utatoa pesa wapi? Your annual income iko wazi and National budget pia., Sasa wewe mwenye unajiona mjanja na akili ndefu start breaking down vis a vis recurrent expenditure nione the far u can go!., start am here..,Kama tunajenga Magufuli bridge pale Kigongo Busisi kwa 667bn tunashindwaje kujenga hizo flyover za $45-100m? Hivi huko Kenya shule zenu hufundisha ujinga ee!
Mzee mbona wewe na Yosef Festo mnapotea pamoja na kuonekana kwa pamoja. Mnauhusiano wowote!?Maneno matupu kwangu wala hayaniyumbishi, hapa ni mwendo wa screenshots kutoka kw mitandao yenu mnayotumia..
Utafunzwa Kiswahili humu., Umeona difference from their screenshot, Kshs 23(Tsh500) kwao ni 150mb Kenya 20 ni 200 mb!., mafala kupindukia. Facts ndio dawa, mwendo wa weka ni weke😂😂😂Maneno matupu kwangu wala hayaniyumbishi, hapa ni mwendo wa screenshots kutoka kw mitandao yenu mnayotumia..
Leta vitu kama hivi tuone.Utafunzwa Kiswahili humu., Umeona difference from their screenshot, Kshs 23(Tsh500) kwao ni 150mb Kenya 20 ni 200 mb!., mafala kupindukia. Facts ndio dawa, mwendo wa weka ni weke😂😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516]That's why i always say Kikwete's government was ten times better than Magu's....kwanzia kwenye uchumi hadi kwenye infrastructure Kikwete aliweza sana.Mambo mengi yameenda kombo toka Magufuli aingie madarakani,eg.. wawekezaji kuikimbia inchi,utekaji,mauji,chuki baina ya wanainchi,uchumi kuporomoka kwa kasi....nk
Haya sawa nimesoma gazeti, Sasa weka screenshot ya data bundle we compare., 😅😂😂😂., harakisha..,Tulia urambe dawa kwanza unafkirir watu wanaongea bila evidence hapa
View attachment 1767935
Haya sawa nimesoma gazeti, Sasa weka screenshot ya data bundle we compare., 😅😂😂😂., harakisha..,
Weka peupe mention network pia so I can confirm from their website., Kama ni zile special offers ama normal rates., Propaganda kwangu haipiti!😂😅😂😂.,
Nimeona leo tigo sijajua Airtel na mitandao mingine [emoji116][emoji116]