Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza, ningependa ku-address kauli ya request yako. Uzalendo wangu na realness yangu vinahusiana na nini na swali lako? Yaani unamaanisha kuwa kwasababu msimamo wangu uko kinyume na wa hayati Magufuli ndio maana mimi sio "real" ama mzalendo? Viongozi sio watakatifu na sio miungu na sio malaika. Baadhi ya policy zao sio effective and well thought out. Kwa hiyo mimi kuwa na msimamo tofauti na ule wa Magufuli kuhusi hili jambo haimaanishi kuwa mimi sio mzalendo kwa Tanzania, bali inamaanisha kuwa nina mawazo mbadala.

Okay, sasa twende kwenye sababu zangu za kupingana na sera ya kuwafukuza shule watoto wa kike waliopata ujauzito. Tanzania ipo sheria iliyopitishwa mwaka 2002 inayoruhusu ufukuzaji shule wa wanafunzi wanaofanya makosa kinyume na maadili (ngono) na pia wanafunzi wanaoingia kwenye ndoa. Na Magufuli alipoingia madarakani akashinikiza sheria hii kwa maneno yake mwenyewe kuwa hatoruhusu mwanaunzi yeyote aliyepata ujauzito kurudi shuleni. Lakini pia nataka utambue kuwa kauli hii ilikuwa kinyume na ilani ya CCM ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 iliyojikita kutengeneza mazingira ya kuwasaidia watoto waliopata mimba waweze kurudi shuleni.

Arguments zangu zimegawanyika kwenye vipengele viwili:

1. Ubovu wa sheria tajwa
2. Hasara zitokanazo na kufukuza shule watoto waliopata ujauzito


Kwa akili ya haraka haraka utaona tatizo la sheria tajwa hapo juu. Tukiweka pembeni tendo la ngono kati ya watoto kwa watoto (kwasababu hii ni consensual most of the time), "makosa kinyume na maadili" yanayokabili watoto yanahusisha watu wazima wanaoshawishi watoto wa kike na kuwapelekea kupata ujauzito, na pia kuna kesi za ubakaji. Kwa hiyo hata kama mtu mzima akimpa mimba msichana wa shule kwa ulaghai wa pesa ama chakula (kumbuka umasikini unachangia kwenye ulaghai), bado sheria itamfanya mtoto afukuzwe shule. Na sheria hii kandamizi bado inamlazimisha mshichana aliyebakwa na kupata mimba kuachishwa shule japokuwa kosa halikuwa lake! Pia usisahau kuwa sheria hii inawalenga watoto wa kike wanaoolewa wakiwa shule. Kwa hiyo hata zile ndoa za kulazimishwa na wazazi ( hizi sana sana hutokea kwenye jamii za vijijini), bado mtoto atafukuzwa shule. Na ndio maana mkisikia watu wanataka katiba mpya ujue mambo ya katiba ya sasa ni mabovu kiasi hiki.

Magufuli alikosea kushinikiza ufukuzaji wa watoto wa kike waliopata ujauzito shuleni na pia alienda kinyume na ilani ya chama chake mwenyewe. Obviously, he was very old-school ama kwa lugha ya mtaani mnaita "mkoloni." Na pia Magufuli alikuwa very religious, kwa hiyo mambo ya mimba shuleni kwake aliona ni kama dhambi. Na hivyo moja kwa moja akatoa kauli ya kusimamisha masomo wale watoto wa kike wanaopata mimba wakiwa shule. Suluhisho lake lilikuwa na nia ya kuleta hali ya uoga kwa wanafunzi nchi nzima ili wasijihusishe na matendo ya ngono ambayo hupelekea ujauzito. Lakini tatizo hili ni complicated sana kwasababu matendo ya ngono kati ya wanafunzi sio sababu pekee inayopelekea mimba za utotoni. Kama nilivyoeleza hapo juu, kuna umasikini, kuna ubakaji, na pia kuna mila na desturi za ndoa za utotoni. Na bila kusahau, jamii na familia zetu za kitanzania hazitoi elimu kwa watoto kuhusu ngono. Unakuta mzazi anamuacha mtoto ajiongoze mwenyewe kisa anaona aibu kuongea naye wazi wazi kuhusu mambo haya.

Ukimfukuza mtoto wa kike shule, unamsindikiza kwenye shimo la umasikini. Na cycle ya poverty inaendelea kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na haitaisha, unless kuwe na some sort of luck. Kiufupi approach ya Magufuli inalenga "kukomesha" ili kutoa fundisho kwa wengine. Lakini ukiangalia kiundani unamkomesha mtoto chini ya miaka 18 ambaye hana chochote cha kumuendeleza kimaisha maana ni mtu tegemezi. It's pathetic! Akitoka hapo anaweza hata akafukuzwa nyumbani kwao na unakuta anaishia kujiuza au kuuza karanga ili amlishe mtoto wake. Sio umasikini huu?

Kutokana na data za TAMISEMI, kumekuwa na ongezeko la watoto wanaopata mimba wakiwa shuleni. Kwa hiyo hii idea ya kufukuza mwanafunzi shule haina effect katika kutokomeza tatizo au kulipunguza.

Nitatoa mapendekezo yangu baadae tena. I am a very busy man.
Kiongozi. Kauli yangu ya wewe kuwa real na kuwa mzalendo haihusiani na wewe kuwa na maoni tofauti na sijui Magu au mimi au mwingine yeyote. Huo ni mtazamo wako tu.

Mimi nimehoji uzalendo wako kwa kuzingatia upotoshaji unaofanyika kuhusu suala la "wanafunzi wanaopata ujauzito kutotakiwa kurudi shule". Sikuhitaji maelezo mengi ambayo msingi wake ni sentensi moja ya uongo.

Najua unajua vema kiswahili na matumizi yake. Sasa nilichobaini ni kuwa umeamua kuwa miongoni mwa wale ambao si wazalendo bali wanaigiza tu uzalendo. Ukiwa mzalendo wa kweli huna sababu ya kuizushia nchi/serikali yako kwa kisingizio cha uhuru wa maoni.

Uzushi wako wewe na wengine uko hapa: Serikali inazuia wanafunzi wanaopata mimba kuendelea na shule.

Ukweli ni huu: Serikali inazuia wanafunzi wanaopata mimba kuendelea na shule za umma (kwa msingi na sekondari). Bali wanaweza kuendelea na shule kwenye taasisi za binafsi au zile za umma kama watahiniwa binafsi.

Swali: Unapopotosha kitu ambacho kiko dhahili kama hicho unanufaikaje?
 
Hehehehehe Wakenya tafadhali sana, tunaijenga Tz kwa mikono yetu wenyewe, hii ni Chang'ombe flyover ipo km hii pale uhasibu yn zinaenda parallel, kwamba hii ikiisha juwa kwamba na ya uhasibu nayo imeisha, pia hapo chini inapita BRT phase 2, kabla haijaisha kutakuwa na phase 3 nayo inaanza, kazi inaendelea wkt nyinyi mnatumia chopper kuzindua daraja la mbao [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1765889View attachment 1765890

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hizo kitu zinajengwa pande zote za barabara iliyopo au ni upande mmoja tu. Au inapita katikati. Lengo langu ni kujua ikiwa itakuwa na lanes nne kama Mfugale au itakuwa na lanes za BRT pia kama Kijazi.
 
Leo ni issue za meli tu.

Kiwanda cha kutengeneza meli kujengwa kigamboni​


1619607412396.png
 
Kiongozi. Kauli yangu ya wewe kuwa real na kuwa mzalendo haihusiani na wewe kuwa na maoni tofauti na sijui Magu au mimi au mwingine yeyote. Huo ni mtazamo wako tu.

Mimi nimehoji uzalendo wako kwa kuzingatia upotoshaji unaofanyika kuhusu suala la "wanafunzi wanaopata ujauzito kutotakiwa kurudi shule". Sikuhitaji maelezo mengi ambayo msingi wake ni sentensi moja ya uongo.

Najua unajua vema kiswahili na matumizi yake. Sasa nilichobaini ni kuwa umeamua kuwa miongoni mwa wale ambao si wazalendo bali wanaigiza tu uzalendo. Ukiwa mzalendo wa kweli huna sababu ya kuizushia nchi/serikali yako kwa kisingizio cha uhuru wa maoni.

Uzushi wako wewe na wengine uko hapa: Serikali inazuia wanafunzi wanaopata mimba kuendelea na shule.

Ukweli ni huu: Serikali inazuia wanafunzi wanaopata mimba kuendelea na shule za umma (kwa msingi na sekondari). Bali wanaweza kuendelea na shule kwenye taasisi za binafsi au zile za umma kama watahiniwa binafsi.

Swali: Unapopotosha kitu ambacho kiko dhahili kama hicho unanufaikaje?
Ila wewe una matatizo ya akili. Kwenye sheria imeandikwa mtoto aliyepata mimba atafukuzwa shule unless kama anasomea private school?

Unataka kuniambia kuwa uongozi wa shule binafsi nchini haupaswi kufata sheria za nchi kwasababu wao ni “private” institutions?

Mpotoshaji sio mimi. Ni WEWE!

Halafu, wewe wala usihangaike na uzalendo wangu. Kwasababu I don’t give a damn about what you think of me. Tumeelewana?
 
Sasa ulitaka Magufuli avunje sheria ya bunge kwa kuwaruhusu wajawazito kusoma darasani kinyume cha sheria?
Mkuu, kwa kweli hakuna kitu kinanikera kama vile kuona mtu anajiita mzalendo halafu anashiri upotoshaji. Ni nafuu kuona upotoshaji ukifanyika na nyumbu wa kule jukwaa la siasa kuliko kuona mbongo akitumia jukwaa hili kuendeleza upotoshaji.

Suala la mimba liko wazi kubisa. Mpokeaji hazuiliwi kuendelea na shule bali kuna kuna channels kadhaa za hiyo shule (tena ni mbili tu: primari na sekondari za gvt) ambazo kwa ustawi wa jamii yetu hawezi kuruhusiwa kuendelea nazo.

Sijui kwa nini wanaamua kujifanya hawalijui hili.
 
Tukimaliza phase zote 5 za BRT tutakuwa nchi ya mfano Afrika hii, mind u treni ya umeme mapema mwaka huu itakuwa ina operate, yn mtu anatoka Europe anatoka pale JNIA anapanda BRT mpk Pugu anadandia nyoka wa umeme all the way anapotaka kwenda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni phase 6 mkuu. Na zikiisha hizo tunaingia kwenye light rail. Hiyo kwa namna itakavyokuwa hakuna nchi Afrika itaona ndani. Nasema hakuna, siyo SA wala Egypt watatusogelea. Km 266 tena huenda yote ikawa viaduct! Bongo sihami.
 
Mkuu, kwa kweli hakuna kitu kinanikera kama vile kuona mtu anajiita mzalendo halafu anashiri upotoshaji. Ni nafuu kuona upotoshaji ukifanyika na nyumbu wa kule jukwaa la siasa kuliko kuona mbongo akitumia jukwaa hili kuendeleza upotoshaji.

Suala la mimba liko wazi kubisa. Mpokeaji hazuiliwi kuendelea na shule bali kuna kuna channels kadhaa za hiyo shule (tena ni mbili tu: primari na sekondari za gvt) ambazo kwa ustawi wa jamii yetu hawezi kuruhusiwa kuendelea nazo.

Sijui kwa nini wanaamua kujifanya hawalijui hili.

Mpokeaji hazuiliwi kuendelea na shule bali kuna kuna channels kadhaa za hiyo shule (tena ni mbili tu: primari na sekondari za gvt) ambazo kwa ustawi wa jamii yetu hawezi kuruhusiwa kuendelea nazo

Huo “ustawi” wa Jamii unaozungumzia ni upi hasa? Maana Elimu Ndio ustawi wa Jamii na kama watoto hawapewi elimu wanayostahili kuipata huo ustawi unapatakina Vipi?
 
Ila wewe una matatizo ya akili. Kwenye sheria imeandikwa mtoto aliyepata mimba atafukuzwa shule unless kama anasomea private school?

Unataka kuniambia kuwa uongozi wa shule binafsi nchini haupaswi kufata sheria za nchi kwasababu wao ni “private” institutions?

Mpotoshaji sio mimi. Ni WEWE!

Halafu, wewe wala usihangaike na uzalendo wangu. Kwasababu I don’t give a damn about what you think of me. Tumeelewana?
kaka wanaruhusiwa kusoma private schools
 
It’s IMPOSSIBLE for the water on earth to spill into space because of gravity.

View attachment 1766376

Kwa jinsi hii picha ilivyokaa unaweza kusema kuwa upande wa “chini” wa picha Ndio maji yatajikusanya na hivyo kumwagika into space. Yaani hivi:
View attachment 1766378

Lakini ukiwa duniani, “chini” inamaanisha toward the earth. Yaani Kwenye ground, ambapo nguvu ya gravity (mvutano) inayazuia maji “kumwagika” nje ya dunia. Na pia ndio mvutano huo huo unatuzuia tusielee hewani. Kadri unavyokuwa mbali na uso wa Dunia na ndivyo mvutano unapungua. Ndio Maana astronauts wakiwa space huwa wanaelea because gravity ni sifuri.

View attachment 1766377

Kwa hiyo maji yanafata mvutano unaaonyeshwa na direction ya hiyo mishale.

naelewa bruh[emoji28].. i’m an engineer by professional.. hivyo navi elewa sana.. ndo mana nikasema ni ukuuu wa Mungu na science..
 
Chuma hamtakisahau, only 5 yrs in the office [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1765931

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama alivyoimba Dube, Rastas never dies. Ukiniuliza ikiwa Lucky Dube alikufa nakwambia NO, big NO. Magufuli pia hajafa na hatakufa kwa namna yoyote ile; iwe ni hapa duniani tulipo sisi au huko alikoenda kupumzika.

Kwa mujibu wa Lucky Dube, Rasta ni mtu yeyote yule alie conscious na masuala yake ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kwa ayemjua Magu na kuijua imani ya Rasta atakubaliana nami kuwa Magu alikuwa more than a Rastaman.

So to me ukiwa Rasta wa ukweli kama Magufuli au Dube hutakufa hapa duniani wala huko uendako. Duniani watu wataishi nawe milele, vizazi kwa vizazi; kama vile Musa, Daudi, Lucky Dube, Nyerere, Mandela, Magufuli, Gadaffi, nk.

Pia huko uendako utaurithi ufalme wa milele hivyo kifo utakisikia tu kwa wale wanaoishi kwa udhalimu na kukosa upendo kwa wengine.
 
JKT na ufugaji wa Samaki, shamba kubwa la ufugaji wa Samaki aina ya Sato ...

Na wao watuoneshe tofauti na kulinda mipaka jeshi lao linaweza kufanya nini kingine.?
Hivi kuna jeshi la Kenya linaweza kuzalisha kitu chochote cha maana kwenye real life. Kama hao Chita JKT juzi kati tu hapo Rais kasema hakuna mashamba ya umma ya mbegu za samaki na in one month wamekuja na majawabu tayari. Watakuwa wakizalisha both vifaranga na samaki wakubwa!

Kenyan army sijui hata kama wanaweza kulima vitalu vya mchicha! Naikubali sana attitude tuliyodevelop wabongo kuhusu kuijenga nchi.
 
Dar ina electric SGR Nairobi hamna,

Dar ina BRT Nairobi hamna,

Dar ina Masoko ya kisasa Nairobi hamna,

Dar ina Machinjio za kisasa Nairobi hamna,

Dar ina three level interchange Nai hamna,

Dar ina cable stayed bridge (mtasema Nairobi haina bahari, excuses as usual [emoji1787][emoji1787])

Ila Nairobi ina Fellis Wheel Dar hamna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dunia hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitoe ushamba mkuu, hiyo fellis wheel ndiyo nini ili nicheke vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna vitu viko Dar na haviko Cairo or Jozi or possibly even in some developed cities, so Dar is above them?[emoji848][emoji848], reasoning uchwara hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., there is what we call comparison and contrasting, sio lazima zifanane or Nairobi iwe na beach., the key is general infrastructure and economic output in relation to the populace. Where do u place Dar using this criteria?., Very useless city, level ya akina Kinshasa na Lagos, useless megacities [emoji23][emoji23][emoji23]
Mm naongelea physical infrastructures or man made structures siongelei natural features wacha kujifanya mwehu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1766054
View attachment 1766055

ichoboy01 blah blah eti "sisi tuko na company ya kujenga meli.." si mjenge huko huko kwenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].,
Huku bongo huwa tunatumia pia sabuni made in Kenya. Haimaanishi kuwa hatuwezi kuzalisha za kwetu. Huo ni mfano tu. Sasa nyinyi na viroho vyenu vya korosho vya kuzuia mahindi yetu mnadhani sisi pia tuko hivyo.

Hizo boti tungeweza hata kumwambia Songoro Marine anayetujengea meli kubwa tu atujengee ila kama tuliona tuwape hiyo kazi hakuna nongwa yoyote. Nyie mlipaswa kutupa tano badala ya kuonesha huo utoto.
 
naelewa bruh[emoji28].. i’m an engineer by professional.. hivyo navi elewa sana.. ndo mana nikasema ni ukuuu wa Mungu na science..
CAUTION: MAJOR INTERSTELLAR SPOILERS!

Kwasababu una knowledge kuhusu hii kitu, kuna exception nilishakutana nayo. Ni science fiction, but it’s physically possible. I find it very interesting.

Kwenye movie ya Interstellar, timu ya watu wanne walienda kwenye galaxy nyingine kupitia wormhole ili kutafuta habitable planets kuokoa the human race, Maana dunia ilikuwa inakufa taratibu.

Tayari NASA ilikuwa imeshatuma exploratory team miaka 10 nyuma ili warekodi data halafu watransmit duniani ili iwajulishe NASA ni sayari zipi zinaonyesha potential. Kati ya sayari 12, ni tatu tu ndio zilionyesha promise. Na sayari hizo ziko kwenye system moja (kama vile solar system) lakini badala ya kulizunguka jua, hizo sayari zinazunguka BLACK HOLE. Black hole ni nyota iliyofikia mwisho wa maisha yake na ku-collapse in upon itself kwa mlipuko unaoitwa supernova ( hard to understand, I know 😂😂😂) . Na black holes zina gravitational force kubwa mno kiasi kwamba hata mwanga hauwezi kukwepa mvutano Huo. Kwa hiyo kitu chochote “kinavutwa” na nguvu ya black hole.

Sasa moja ya hizo sayari inaitwa Miller’s planet na hiyo sayari ni water world, Yaani imetapakaa maji tu. No land kabisa.

Hii Ndio black hole na hicho kimpira kidogo kwa pembeni ndio sayari ya Miller’s
39BD2C87-C2E8-42A2-8E94-409F697077F8.jpeg


Kwa hiyo wakafika kwenye hiyo sayari ili waonane na Dr. Miller ambaye alikuwa ameshafika miaka 10 nyuma wamuulize kuhusu conditions za hiyo sayari na kuchukua data zilizokuwa zimekusanywa miaka yote hiyo.

Lakini kwa bahati mbaya, gravity ya black hole ni kubwa mno kiasi kwamba inakinzana na gravity ya sayari. Hivyo, Maji yanavutwa kuelekea direction ya nje ya sayari. WOW!

Kumbe Dr. Miller alipitiwa na mawimbi makubwa ya Maji muda alipofika tu. Na vyombo vyake vya kurekodi conditions vikaharibiwa.

Kwa hiyo maji yanaenda out towards space. Though hayafiki nje kabisa. Urefu wa mawimbi ya maji kwenye hiyo sayari unafika hadi kwenye mawingu.

A42B34AD-E231-4EDF-AC59-471100CD85FE.jpeg


Na kitu kingine kuhusu black holes ni kuwa gravity yake kali inapunguza mwendo wa muda. So, time slows down ukiwa karibu na black hole compared na mtu aliyeko mbali na black hole. Kwa hiyo Dr. Miller japokuwa duniani ilipita miaka 10, yeye huku ni dakika chache tu ndio zimepita. Ndio Maana walikuta mabaki ya vyombo vyake bado yako intact. Na yawezekana walichelewa kwa dakika chache tu kabla hajafa. 🤯

Anyways, Ndio sayansi hiyo.
 
Back
Top Bottom