Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama chama chake kilikuwa na na nia ya kutengeneza mazingira ya kuwarudisha watoto shule Mbona sheria ingebadilika tu. Maana bungeni majority ni CCM! Ni yeye tu ndiye alikuwa na mawazo binafsi.

Tena alifanya vizuri kutogusa hiyo sheria. Maana ingekuwa ni mfano mmoja mbaya sana angeonesha.
Anyways, sijajua ninaongea na mtu mkomavu na mzoefu kiasi gani kuhusiana na kulea na kutunza watoto wachanga. Ni experience tofauti sana. Kama hujawa na uzoefu waulize wazoefu. Maana miundombinu lazima iwekwe kwa ajili yao. Watu wa kuhudumia n.k.
 
Tena alifanya vizuri kutogusa hiyo sheria. Maana ingekuwa ni mfano mmoja mbaya sana angeonesha.
Anyways, sijajua ninaongea na mtu mkomavu na mzoefu kiasi gani kuhusiana na kulea na kutunza watoto wachanga. Ni experience tofauti sana. Kama hujawa na uzoefu waulize wazoefu. Maana miundombinu lazima iwekwe kwa ajili yao. Watu wa kuhudumia n.k.
Kwanini ingekuwa mfano mbaya kama hiyo sheria ingebadilishwa? Mimi mnanichekesha mnapotoa kauli kama hizi bila kueleza hoja zake.

Unaniuliza kama Nina experience ya kulea mtoto mchanga? 😂😂😂😂😂 why? Kwasababu unafikiria kuwa kuruhusu watoto waliojifungua kurudi shule inatakiwa waanze masomo huku wakinyonyesha watoto wao?
 
Dar ina electric SGR Nairobi hamna,

Dar ina BRT Nairobi hamna,

Dar ina Masoko ya kisasa Nairobi hamna,

Dar ina Machinjio za kisasa Nairobi hamna,

Dar ina three level interchange Nai hamna,

Dar ina cable stayed bridge (mtasema Nairobi haina bahari, excuses as usual [emoji1787][emoji1787])

Ila Nairobi ina Fellis Wheel Dar hamna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dunia hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu viko Dar na haviko Cairo or Jozi or possibly even in some developed cities, so Dar is above them?🤔🤔, reasoning uchwara hii😂😂😂😂😂., there is what we call comparison and contrasting, sio lazima zifanane or Nairobi iwe na beach., the key is general infrastructure and economic output in relation to the populace. Where do u place Dar using this criteria?., Very useless city, level ya akina Kinshasa na Lagos, useless megacities 😂😂😂
 
Tuwe inferior kwenye huu ufukara? 😅😅😅

Mpaka leo serikali inajenga mud public premises 😂

Most of your politicians are hiring choppers to access their constituencies because of lack of roads Halafu mnasema mna kilometers 2000k za lami 🤣🤣🤣🤣

Looking at the low end to feel better yet u are dead😂😂😂😂.,
 
Na kweli hakuna battle, cc tayari tupo level yetu tuna infrastructures ambazo only zipo Europe, tuna electric sgr, tuna functional brt nyinyi hamna, ss battle inatoka wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
So electric sgr ndio maendeleo pekee kuliko diesel? Kwanza nionyeshe leo imebeba container ngapi?😂😂😂😂 Sasa mwenye electric car ako better than mwenye fuel car? It is just a mechanism of powering the engine dogo na the use, uko na akili fupi kweli., 😂😂😂😂😂😂., one brt vs more highways., interchanges, expressway, bypasses/ring roads etc., 😂😂😂., Na vyote umetaja mumekusanya Dar, BRT Dar, flyovers Dar, SGR Dar bado, kulikoni😂😂😂😂
 
Hebu weka picha ya hiyo boat tuone [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pigia TPA simu wakuonyeshe.,😂😂😂😂., ama serikali ya CCM, hao ndio wametoa pesa zenu za Kodi kukuja Kenya wewe lofa ukizubaa tu pale Tandale na hadithi za vijiweni, uchumi wa Mombasa county unapata faida wewe ukiendelea kulia lia humu ukitafuta picha😂 😂😂😂
 
Dar ina electric SGR Nairobi hamna,

Dar ina BRT Nairobi hamna,

Dar ina Masoko ya kisasa Nairobi hamna,

Dar ina Machinjio za kisasa Nairobi hamna,

Dar ina three level interchange Nai hamna,

Dar ina cable stayed bridge (mtasema Nairobi haina bahari, excuses as usual [emoji1787][emoji1787])

Ila Nairobi ina Fellis Wheel Dar hamna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dunia hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo naona umejitekenya na kucheka mwnywe
 
Nyie mna commuter rail au upuuzi? Jengeni wacheni upumbavu, cc tunayo commuter rail ya mkoloni kama nyie lkn tuna mpango wa kujenga mpya yn yetu wenyewe na co ya mkoloni alafu tujisifu eti tuna commuter rail ni upumbavu.

Mind u, hakuna infrastructure yoyote iliyopo Nairobi zen ukaikosa Dar ila kuna infrastructure zipo Dar but Nairobi hamna kama unabisha twende kazi ila kama haubishi basi tuache [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutajie[emoji23][emoji23]
 
Wanataka tuanze kuwasililiza watu wa NGOs ambao kwa kiasi kikubwa wapo kimaslahi zaidi, inapofika suala la utaifa hakuna kupepesa macho tuataambiana ukweli kwamba kuna mambo hatupaswi ku compromise bali ni kupeana black and white tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwn hyo shule tz ni kw ajili ya NGOs[emoji23][emoji23]
Yani leo umetema upuuzi kuliko siku zote, maisha ya mtoto wa kitanzania badala uyatetee we unapinga kiboya hvo...
Ndio manake ukapewa matege
 
Mji wenu hauna BRT, Electric SGR, High Class Bus Terminals, Kimji kidogo tu, halafu mko mbele kwa lipi?
Electric sgr ni nn? High class bus terminals ni nn? Mji mdogo na maendeleo wapi na wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
The dunbest comment ever
 
Tuwe inferior kwenye huu ufukara? [emoji28][emoji28][emoji28]

Mpaka leo serikali inajenga mud public premises [emoji23]

Most of your politicians are hiring choppers to access their constituencies because of lack of roads Halafu mnasema mna kilometers 2000k za lami [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Swala la chopa kenya mbona kawaida sana, si hara marehemu alikua akikombia chopa kenya..yani zimejaa mpka bei ya kukodi ni kawaida tu sana..
 
Na kweli hakuna battle, cc tayari tupo level yetu tuna infrastructures ambazo only zipo Europe, tuna electric sgr, tuna functional brt nyinyi hamna, ss battle inatoka wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna functional sgr nyie pia hamna[emoji23][emoji23]
Mna force kuita electrical sgr ili mjitwike kileleni lkn kibaya zaida hakuna kitu km hicho..km unabisha niletee aina tofauti tofauti za sgr ikiwepo hyo elecric
 
Sasa ona ulivyo boya kishenzi 😂😂😂😂 fanya utafiti kabla ya kukurupuka 😂😂😂, ingia ata YouTube ujionee mwenyewe, ama website ya KENHA or KURA., Lizembe na lishamba lya gongo la mboto linajitia hamnazo kujifariji😂😂😂😂😂.😝, Utalazimisha mambo Hadi lini? jikubali tu sio hatia kukua na chache kuliko mwenzako😂😂😂😂.,

1617996302118.jpg

1612103991446.jpg

1619336882537.jpg

1619336882537.jpg

1619325945580.jpg

1616061697865.jpg

1615048151879.jpg



Igunga hiyo, hizi road quality ni kizungumkuti kwenu, mtakaa sana kuzipata, overcooked data is all you got 🤣🤣

 
Kuna vitu viko Dar na haviko Cairo or Jozi or possibly even in some developed cities, so Dar is above them?[emoji848][emoji848], reasoning uchwara hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., there is what we call comparison and contrasting, sio lazima zifanane or Nairobi iwe na beach., the key is general infrastructure and economic output in relation to the populace. Where do u place Dar using this criteria?., Very useless city, level ya akina Kinshasa na Lagos, useless megacities [emoji23][emoji23][emoji23]
Anasema nairobi haina three level interchange[emoji23][emoji23]
Yani walitaka tujenge vile vile km ile yao la sivyo dar ipo juu[emoji2960]
 
Sasa ona ulivyo boya kishenzi 😂😂😂😂 fanya utafiti kabla ya kukurupuka 😂😂😂, ingia ata YouTube ujionee mwenyewe, ama website ya KENHA or KURA., Lizembe na lishamba lya gongo la mboto linajitia hamnazo kujifariji😂😂😂😂😂.😝, Utalazimisha mambo Hadi lini? jikubali tu sio hatia kukua na chache kuliko mwenzako😂😂😂😂.,

View attachment 1766187
View attachment 1766188
View attachment 1766194
View attachment 1766194
View attachment 1766197
View attachment 1766198
View attachment 1766201
Bila thika road kuwa featured Kenya nzima ni uozo

Mimi naleta barabara za mbali vijijini sio za miji mikubwa

Hii barabara ya Iringa ni thika tu ndio inaweza kupambana nayo 😅

 
Back
Top Bottom